daah hii enzi za O-level na A-level tumepiga Sana wale waoga wa baridi na wavivu kusubiri ndoo mabwenini. Kitu ni usini, mikononi na miguuni siku imepita na happy umehesabu umeoga.Kwaiyo wajerumani wameanza kuoga style ya kupiga passport kusevu garama[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]daah hii enzi za O-level na A-level tumepiga Sana wale waoga wa baridi na wavivu kusubiri ndoo mabwenini. Kitu ni usini, mikononi na miguuni siku imepita na happy umehesabu umeoga.
Mkuu unatumia App kuzi-upload hizi picha tunakosa uhondo, inaonekana moja tu jomba katika zote ulizoweka. Hii ndio shida ya App ukitaka kupandisha picha zaidi ya moja.Watu wenyewe ndio hawa,kuna mpiganaji hapa.?View attachment 2272235View attachment 2272237View attachment 2272238View attachment 2272236
MKUU hivi ile ishu kwel na ilikuaje kuajeeeWameachia Siyo Kwa kupenda mrusi kawafanyia kitu mbaya viongozi wa NATO waliokuwa kwenye mkutano Lithuania [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kuna video nimeona jamaa wanakimbizana
Jamaa wa NATO walikuwa wanafanya mkutano hapo Lithuania, sasa Putin baada ya kujua akiamua kuingiza ndege juu ya paa jamaa wakapoteana na mkutano uliishia hapo hapoπ€£π€£π€£π€£π€£MKUU hivi ile ishu kwel na ilikuaje kuajeee
Acha kabisa Mkuu, Russia kwenye nguvu ya kijeshi ni hatari hadi inawakera NATO na USA.Ha ha haaa,
Aisee ingawa ni kweli ameyasema hayo lakini umechambua vizuri na umeongeza vionjo ambavyo kwa kweli vimenifanya nicheke.
Umenichekesha hapa
[emoji3596]
Yani warusi huwa wananifurahisha sana, kabla hawajakupiga wanakupatia kwanza plan ya kipigo, sehemu watakapo piga, bomu watalo tumia na siku ya kipigo na hakuna kitu hata kimoja utaweza zuia. Kwangu mimi huyo ndo ana deserve kuitwa SUPER POWER siyo Super power wa kuvizia.
Aaah! Huyu Waziri ni muongo, Jeshi la Urusi lillishaishiwa silaha na chakula toka mwezi wa tatu huko, hadi wakulima wa Ukraine wakaanza kuvuta vifaru vya kirusi kwa trecta.Waziri wa Ulinzi wa Ukraine anasema majeshi ya Urusi yanamimina hadi makombora/mizinga 1000 kwa lisaa (kila saa moja) ili kuwavunja moyo wanajeshi wa Ukraine wakate tamaa na mapigano. Waziri huyo akaongezea kuwa kwa bahati mbaya Urusi haina uhaba kabisa wa silaha...yenyewe imamimina tu makombora.
Mwambieni ndugu Waziri wa Ulinzi atulie tuu...hiyo ndiyo raha ya kuingia vitani na mtu ambaye hanunui silaha hata moja, yeye anatengeneza silaha zake na anauza duniani tena kwa bei cheee. Wakati wewe unategemea silaha za kuuziwa na mabeberu kwa bei ghali zaidi lakini zenye ubora hafifu
View attachment 2272113View attachment 2272112View attachment 2272114
[emoji23][emoji23][emoji23]Baadae EU wakaja na taarifa ya draft document ya kuondoa blockage waliyoiweka kwenye mji wa Kaliningrad kabla onyo la Urusi halija Expire kwa Lithuania.Jamaa wa NATO walikuwa wanafanya mkutano hapo Lithuania, sasa Putin baada ya kujua akiamua kuingiza ndege juu ya paa jamaa wakapoteana na mkutano uliishia hapo hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wino utakuwa umekwisha mkuu hahahahahaHappy Federal reserve si waprint TU pesa kama walivozoea? Au wanakwama wapi?
Mdau itupie humu hiyo vΓdeo ili tucheke wote hahahahahaWameachia Siyo Kwa kupenda mrusi kawafanyia kitu mbaya viongozi wa NATO waliokuwa kwenye mkutano Lithuania πππππ kuna video nimeona jamaa wanakimbizana
Kile kibibi pale London ni dictetor au yeye tumuitaje maana katawala miongo 7 sasaKiongozi yeyote anayebadili katiba na kujipa mamlaka ya kutawala milele kama tunavyoona huko Uganda, Rwanda na kwingineko anastahili kuitwa dikteta tu, Putin alibadili katiba na kujipa utawala wa milele,ukiachana na Hilo, maamuzi yenye maslahi kwa umma uko Russia yanafanywa na mtu mmoja tu
Ahahaha,the Biden adminstration will pay the rest for you