Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bhiyalage masika, mzee wa Pro Russia naona unawatesa pro NATO.
 

Mjomba shusha hata summary [emoji23]
 
Germany na Russia wanajuana vizuri sana kwenye biashara. Wakati Russia anaipatia Germany cheap gas, Germany inampatia components na finished products. Sijawa na muda mwingi ila katafute trade zinazofanywa baina ya nchi hizo mbili uone jinsi Germany inavyompatia machineries na electronics, etc.

Kuna uzi nilicomment Olaf Scholz alivyofanya ziara ya kwanza nje alienda Senegal ambapo Total wako na mradi wa gesi unafunguliwa mwakani. I bet kama Ya mradi wetu ungeanza kipindi cha Magu tungeona wazungu wanajikomba sana kwetu muda huu. Senegal ni kama ya tano kwenye gas reserve sisi ni kama wa sita au saba hivi kwa Afrika.

Wategemezi wa gesi ya Russia wote wanatafuta alternatives na zikipatikana Russia atakosa kuitumia kama trade war. The same na China anavyoona US anatumia USD kwenye migogoro kama fimbo na zinatafutwa solutions.

Tangu 2014 Urusi kajipanga anaongeza gold reserve kwenye bullions za central bank, sanctions alijipanga nazo muda. Sasa na hawa wameanza kujipanga, few years later tutaona matokeo
 
Hapana Mjomba si kweli, Mach ndio Speed ya Sauti 1,235KM kwa saa au Meter 343 kwa sekunde... So unaposikia Speed ya Mach 9, jua ni Speed mara 9 ya sauti.
Umejitahidi Mkuu Ila naomba nikuongezee ufahamu kidogo tu........ Kuna tofauti Kati ya mach ( unit ya speed 340m/s) na mach number ( ratio of supersonic speed / speed of sound)

Mach Number= Object Speed/speed Of Sound

Nadhani umeelewa nilicho kiandika mwazo Mkuu.
 
Mbuta nangaaa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. We ni wa arusha jamaa
 
Uyo borris ni kichaa mbona bado kuanza kuokota makopo tu wewe unaona yuko sawa yule?? View attachment 2273747
⚔️ Lisichansky cauldron

The things for the UAF near Lisichansk are very bad. N.P. Volcheyarovka came under the control of the Allied Forces. There are battles on the southern outskirts of Lisichansk, in the area of the gelatin plant. Fierce battles have unfolded for the locality of Berestovoye, there is also movement towards the locality of Verkhnekamenka and the neighboring Lisichansk oil refinery. The only escape route for the APU is through Seversk, but even there the fire control of the road is carried out. The militants of the Armed Forces of Ukraine in the area of Lisichansk are doomed to an unknown death. In general, the fall of the Lisichansk-Severodonetsk agglomeration may become a "point of no return" for the Ukrainian Armed Forces,which can trigger a "domino effect" in all key areas. The Allies could make a speed advance to Artemovsk/Bakhmut in the very near future
 
‼️The commander of the 1st battalion of the 24th ombr company,Senior Lieutenant Yuri Bunkov,was demilitarised by the Russian military in the area of Lisichansk‼️

He didn't have time to escape from the positions

The more officers they lose the faster the war could come to an end
 
Mkuu rudi ukasome, kukosea si dhambi ila ubaya ni kutetea makosa.

Speed of Sound ni 340M/s

Supersonic maana ake ni speed zaidi ya sauti. Any speed beyond 340M/s inaitwa Supersonic. Kuna level itafika itaitwa Hypersonic n.k

Mach number zinatoka kwa kugawanya speed husika kwa speed ya sauti.

Lel say nina Object inasafiri 1,360M kwa sekunde.

Hii ni sawa na Mach 4, yani Given speed(Super sonic speed) over Speed of sound

Mach = 1,360m/s ugawanye kwa 340m/s, You get 4...

Sasa we utagawanya vipi 10 kwa M upate 5 kisha useme hii 5 ni sawa na about 40 hivi ya M...

Kubali kuelekezwa kama kitu hujaelewa. Ulichoandika mwanzo umeyumba mjomba.
 
Tofautisha Kati ya MACH vs MACH NUMBER......Google kidogo utaelewa unakwama wapi... otherwise naona uko smart mkuu
 
Mtaisoma number
❗️Russian Hackers from Killnet Hacks Lithuanian Government Websites - report

Tax authorities, some govt agencies, as well as online accounting programs have reportedly come under attack, the Russian hacking group have claimed.

Prior to the hack, Killnet promised that more than 500 Lithuanian companies would find themselves in “terrible conditions” if authorities didn’t lift the ban on the import of sanctioned goods to Kaliningrad from other regions of Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…