Hapa umetumia sentensi chache sana kuongea fact, naamini tukiendelea hivi huu uzi utakuwa sehemu nzuri sana ya kujifunza mambo mbalimbali kutokana na hoja za wadau mbalimbali.Kuzuia kutumia USD ni sawa na kuzuia malipo mkuu. Hapo tumeboronga hilo halina utetezi, tunamfumba mdomo then tunamwambia ameshindwa kula? Ni upumbavu tunaofanya.
Inferiority 😜😜😜.Waoneshe unajua zaidi sasa....Kawadanganye watoto wenzio, Warusi weusi mnajiona mnajua sana vitu. FICHA UJINGA USIZUNGUMZE USICHOKIJUA
Hapa umetumia sentensi chache sana kuongea fact, naamini tukiendelea hivi huu uzi utakuwa sehemu nzuri sana ya kujifunza mambo mbalimbali kutokana na hoja za wadau mbalimbali.
Unajua huwa nawashangaa sana mnaopata ujasiri wa kutukana hapa Jf, mtandao ambao unatumiwa na asilimia kubwa ya watu wazima wengine ni waheshimiwa, wazazi, Viongozi wa dini, wazee wetu na n.kWarusi weusi mnasusiwa page hii msijione mna akili saaana. Katika nyinyi kuna wapumbavu wengi, hawajui kitu. Mnachojua ni kushambulia watu kwa majina ya fedheha. Mmeanza ID, mmehamia ushoga? Huo ni ustaarabu? Hamjadili mada mnashambulia mtu matusi, waondoke mjisifu mnapiga spana? Wengi katika nyie ni watu wa hovyo, wepesi mno. Nikupongeze Mkuu DeepPond, 1954 na Bwana Utam for your friendly. In JF we Discuss, argue with respect so as we can learn na tuburudike. Mnaleta mambo ya KIPUMBAFU SANA KWA UMRI WENU.
Ccm ni mafii[emoji90][emoji90][emoji90]“I wonder how the whites successfully convinced Africans that polygamy is a sin but gay is a human right” – Kim Jong-un
Kelele zote kumbe waoga sana eeh[emoji28]Gazeti la Uingereza laonya kuwa nchi za magharibi lazima zijishughulishe na kupatana na Urusi juu ya Ukraine badala ya kuitafuta vita vya nyuklia
View attachment 2274867View attachment 2274868View attachment 2274869
Kauli kama hizi ndio zinafanya biden awe anaangalia tv amejificha nyuma ya kochi. Maana mara anasikia jamaa wa urusi anasema atalipua satellite zote za nato, huku mwingine anasema atakata oxygen ya baltic national, mara tena polish mercenaries denazified by russian force, sijui 5 russian special forces imeua na kujeruhi wanajeshi 20 wa ukraine achilia mvua za iskander zinaendelea kishuka kiev
Nchi zetu za ulimwengu wa tatu zinategemea sana sarafu za kimataifa zilizo kwenye uhitaji mkubwa ili kuendesha uchumi wetu na hiyo inatokana na importating rate kuwa kubwa zaidi kuliko exporting rate, na kwenye kuimport sarafu zinazotumika zaidi ni international currencies ambazo mostly ni USD na Euro.Ivi sio kua Russia ndio kaaribu biashara ya Us maana mpaka kuzipata izo dollar ni kupitia biashara za kimataifa ambazo kwa ulimwengu wa tatu kama sisi tunakua tunapunjwa as tunatoa chenye thamani kubwa alafu tunapokea maratasi ambayo hayana uwiano na thamani ya bidhaa.
Labda kupotea kwa sarafu ya dollar ulimwenguni kutapelekea unafuu kwa mataifa maskini kama sisi kunufaika kwa rasilimali zetu mfano kutumika kwa gold kama means of exchange.
[emoji1787][emoji1787]USA ANAOGOPA SILAHA ZAKE NO 1 KUJULIKANA KUWA NI TOY KWA SILAHA ZA MURUSINa huu ni muda mzuri kupeleka hizo THAAD na PAC-3 kiev maana kumeanza kuwaka moto ndo tuzione
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Uchina kweli noma kila baada ya miezi sita wanafanya mamboSikiliza Russia na China walivyo mwacha kilanja wa dunia kweye hypersonic tech... Na amefail Mara ngapi...........
Siku chache zijazo nitaleta hapa deep sea tech, ambayo kwa Sasa ni Russia pekee mwenye uwezo huo.
View attachment 2274588
Hao wote ulio wataja ndiyo wahuni wenyewe ufirauni wote mkubwa kwenye hii nchi ni wao wanafanya hivyo acha hofuUnajua huwa nawashangaa sana mnaopata ujasiri wa kutukana hapa Jf, mtandao ambao unatumiwa na asilimia kubwa ya watu wazima wengine ni waheshimiwa, wazazi, Viongozi wa dini, wazee wetu na n.k
Binafsi huwa napata kigugumizi sana kuporomosha matusi kwa id nisiyofahamu mhusika wake, huwa nahofia unaweza ukajikuta unamtukana mtu ambae kiumri anaweza hata akakuzaa.
Nadhani binafsi tusi kubwa sana nalopenda kutumia ni neno "Ujinga" ambalo kimaana halisi siyo tusi bali ni ile hali ya kutokuwa na uelewa juu ya jambo flani. Ila hayo mengine yaliyobaki sijui tu wakuu huwa mnatoa wapi ujasiri wa kuyaandika kwa watu msio wafahamu.
Jamaa kazuiwa kutumia dola unadhani hao walipwaji wanataka kulipwa!!?Mbona unazunguka. Kina nani wamekataa kulipwa ndilo swali. Maana comment ilisema walikataa kulipwa, kina nani?
Sanctions hazimhusu creditor, huwezi nunua hati fungani za BoT kisha muda wa kulipwa coupon wakaleta longolongo yeyote isiyokuwa kwenye mkataba. Haijalishi kuna vikwazo, uchumi mbovu, mnajenga miundombinu au what.
That's why zinaitwa risk free na zina return ndogo
Acha kutoka nje ya mada MKUU kutupa pesa zamisaada hakuwaondoloi UPUMBAVU walio naoSiku zote huwa ni wapumbavu ndio maana huwa wanatoa hela tujenge vyoo. Ila Russia ni mjanja yuko ligi sawa na kina South Korea kwenye uchumi
INDONESIAMilango ya uani ile. Sijajua G20 inafanyika wapi
Na wewe unaona ni sawa kabisa kupewe msaada wa kujengewa choo kama kweli hao mabeberu wanawapenda inatakiwa wawape fomula waliopitia wakawa matajiri sio kutuletea msaada choo halafu tunashangiliaSiku zote huwa ni wapumbavu ndio maana huwa wanatoa hela tujenge vyoo. Ila Russia ni mjanja yuko ligi sawa na kina South Korea kwenye uchumi