MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Kwa mara ya Kwanza nimekupa like maana umeongea ukweliKuzuia kutumia USD ni sawa na kuzuia malipo mkuu. Hapo tumeboronga hilo halina utetezi, tunamfumba mdomo then tunamwambia ameshindwa kula? Ni upumbavu tunaofanya.
Med kama medAny attempt to encroach on Crimea will lead to a declaration of war on Russia, if a NATO country does it, World War III will begin - Dmitry Medvedev
Zelensky Hana akili nzuri anaweza kuripua hata wananchi wake mwenyewe akasingizia Russia ili tu apate huruma ya dunia anayo itafuta ambayo hajaipata Hadi sasaMnatia huruma eeh?
Kama mnaficha humo magari yenu ya kivita na silaha zenu afanyeje Sasa[emoji28][emoji116]View attachment 2275115
Namuelewa aeleweWewe jamaa mbona ghafla hivi umekuwa empty minded?
Kitaalam, Kitendo walichofanya Western kwenye SWIFT payment mechanism na freezing of Russians financial assets from the Fed Reserve and other international banks, kinapelekea kutokea kitu kinachoitwa "Force Majeure" na sio technical default on payment.
Tambua kwamba every country inakuwa na foreign reserve kwenye other countries like US or ECB. Kwa hiyo ukishafanya payment through SWIFT then Fed au ECB Wana allocate hiyo pesa kwenye respect account.
Sasa hao Fed au ECB Wana financial assets za Russia na hapo hapo hawataki kupoke SWIFT. Sasa unaitaje hiyo Kama default?
Embu uwage unajielimisha na usiwe na akili Kama za hao kina #Fuso.
Boris wa Uingereza awatamani wanasayansi wa Russia kwa bongo zao zilivyo juu zaidi ktk tafiti mbalimbali za magunduzi ya mambo anua ikiwemo makombora, (hypersonic missiles, Iskandar-M missile, Sarmat missles) na missile defence tech. Awaomba wanasayansi hao wahamie UK wakawapige brush wanasayansi wa UK wenye uwezo mdogo kimagunduzi
=====
View attachment 2275143
HeheheeeeGrand Master kala ban usiku wa jana.. Leo mchana kweupe Mwanamkiwi karejea... Mh huu uzi una mambo maziiiito mno [emoji23][emoji23][emoji23]
Inavyosemekana wapiganaji wa kigeni kutoka marekani na nchi nyengine wanauliwa na Nazist sasaivi kisha wanawachoma, mpaka sasa haijulikani sababu gani, huenda wameweka mkakati kuwa yyte anaekataa kupigana na kuonyesha kurudi kwao wanamuuwa
A crematorium was found in Azvostal where Azovites burned bodies of American and foreign mercenaries. Amongst the ashes, American sniper rifles were found. Fragments of American passports and other documents were also found. It is not understood why they burned them.
Marekani yasema Zelensky anataka kufupisha vita ya Ukraine kutokana na kupoteza askari wengi huku Russia ikizidi kujinyakulia ardhi (mikoa/majiji/miji)
Mwaka huu watasema ukweli tuuu...
View attachment 2275470
Russia was declared an enemy of NATO a long time ago.Lavrov on Kremenchuk: "The hangar was bombed, where American and European weapons and ammunition arrived."
"As a result of the detonation of ammunition, an empty shopping center standing nearby caught fire."
Thus, the more the West supplies weapons to Ukraine, which is designed to prolong the conflict, the more tasks Russia will perform on the ground.
"These tasks will be fulfilled," the Russian Foreign Minister said.
So he commented on Western media reports about the US plans to supply Ukraine with medium- and long-range air defense systems.
Yaani walijitutumua sana jana na juzi nikadhani wako vizuri kuukabili mziki, kumbe Hamna kitu!!!Duh, mwana kuli-find mwana kuli-get... Waleeeetwe ha ha ha ha!
Sidhani kama kuna mwanasayansi ama mfanyabiashara wa Russia atatamani kuwekeza nguvu ama mali huko West/UK. Maana wanajua hao West/UK walichowafanyia wenzao, tukianza na Mmiliki w klabu ya mpira y Chelsea ya Uingereza.Boris wa Uingereza awatamani wanasayansi wa Russia kwa bongo zao zilivyo juu zaidi ktk tafiti mbalimbali za magunduzi ya mambo anua ikiwemo makombora, (hypersonic missiles, Iskandar-M missile, Sarmat missles) na missile defence tech. Awaomba wanasayansi hao wahamie UK wakawapige brush wanasayansi wa UK wenye uwezo mdogo kimagunduzi
=====
View attachment 2275143
Ukitafakari sana utagundua Zelensky na Magharibi wote hakuna mwenye HURUMA wala UCHUNGU na Ukraine. Wangekuwa na huruma hakika kusingelitokea Mauwaji na Uharibifu mkubwa kiasi hicho. Angalia hata wanapokuwa kwenye vikao vyao au kutembelea Ukraine unakuta kuna muda wanafanya interaction wakiwa na tabasamu usoni.Zelensky Hana akili nzuri anaweza kuripua hata wananchi wake mwenyewe akasingizia Russia ili tu apate huruma ya dunia anayo itafuta ambayo hajaipata Hadi sasa