fakenology
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 1,002
- 673
Ni WAPUMBVU Kwa sababu walipowafungia Venezuela na Iran walitumia vigezo gani na sasa hivi wanatumia vigezo gan kuwafungulia!Upopoma unao wewe. Kumbe basi tuseme EU na Marekani wanataka biashara na Venezuela na Iran. Yanini kusema ni wapumbavu wakati wanaenda kufanya exchange, yanini kuwaita wapumbavu endapo watakataa kufanya exchange na kujihusisha na anayefanya nao.
Kama biashara sio msaada kinachowaliza SWIFT kufungwa ni nini? Si sio msaada ule
Kwa sisi hatuwezi hata kidogo..
Kaa chini ukipata muda and chambua kila angle tunayotegemea afu uone ni Jambo ambalo linawezekana hivi karibuni!
Jibu ni hapana
Na kutegemea warus hilo nalo haliwezekani, nyie wenyewe hapo kila siku kwenda west kujiendeleza kiuchumi, elimu n.k.
Swali!
Unafikiri ni kwanini Kuna number kubwa ya wahamiaji wengi kutoka Africa kwenda us na sio Russia!
Hapa mkipatwa na majanga, macho yote magharibi [emoji3],
afu humu mnavimba kwamba mnataka muwe tegemezi kwa urusi, kwanza russia ana uchumi wa kumtegemea?
Bahati mbaya wanasaidia nchi ambayo within 24 months kunauwezekano mkubwa isiwepoG7 countries to provide $19.8bn in economic aid to Ukraine
Russia’s invasion of Ukraine touched on almost every topic of meetings this week.
This is what Russia's don't like to hear at all - mgomvi wako anasaidiwa uchao wewe unatumia raslimali za kwako how long are you going to survive bila kuathiri uchumi wako ? huku vikwazo vikiwa mgongoni mwako unatembea navyo.
$19.8bn ni Tshs Trillion 45.7.
Ni Bajeti yetu yote ya 2022 - 2033 kama ulikuwa haujui na chenji inabakia.
G7 wamechanganyikiwa[emoji4]The G7 countries do not intend to apply sanctions against the import of agricultural products from Russia.
This is stated in the statement of the G7 summit, which is chaired by Germany.
“We will continue to ensure that our sanctions packages are not directed against food and provide for the free flow of agricultural products, including from Russia, and the delivery of humanitarian aid,” the statement said.
View attachment 2275543
Ukraine wamepoteza wangapi?!?! Nyie Ndugu zetu mnaichukulia Russia kimzahamzaha....hivi hujui kuwa Ukraine imekuwa depleted kwenye jeshi lake?! More than 70,000 soldiers and militias wa Ukraine wamekufa na maelfu kwa maelfu wenngine wamekuwa majeruhi na wasio na uwezo wa kupigana....wenngine zaidi ya 15,000 wamekuwa mateka au prisoners of war....Imeshachukuliwa?? Usifurahi mapema... Ramani ninayoona inaonyesha theluthi 2. Kweli mafanikio kwa Taifa Teule baada ya miezi ya vita na kupoteza makumi elfu?? Amka, kaka!
View attachment 2275430
These tasks will be fulfilled," the Russian Foreign Minister said.(UKRO NATO wanatakiwa wazingatie hili)Lavrov on Kremenchuk: "The hangar was bombed, where American and European weapons and ammunition arrived."
"As a result of the detonation of ammunition, an empty shopping center standing nearby caught fire."
Thus, the more the West supplies weapons to Ukraine, which is designed to prolong the conflict, the more tasks Russia will perform on the ground.
"These tasks will be fulfilled," the Russian Foreign Minister said.
So he commented on Western media reports about the US plans to supply Ukraine with medium- and long-range air defense systems.
TushawazoeaMrusi anajiaminisha kwamba anaweza kumtwanga yoyote Duniani yule awe mwana NATO, awe US ama independent - haya ni mawazo ya hovyo kabisa.
Na kuonyesha UGAIDI wake ulivyokomaa jana akarusha kitu juu ya Duka kubwa bila kujali nani yumo nani hayumo !! hii ni dharau kubwa kabisa kwa ulimwengu - Putin soon atapata anachokitafuta.
Over !!
Habari njema sana hiiiView attachment 2275491[emoji635][emoji629] The termination of Russian gas supplies will lead Germany's GDP to fall by 12.5%.
5.6 million people will lose their jobs — another possible outcome of the "fight against energy dependence".
This is reported by Bild with reference to a study by analysts of Prognos AG.
[emoji3502]Steel, food and glass producers will suffer losses in the amount of 49 billion euros.
The disruption of supply chains may even lead to losses of 144 billion euros.
"Germany will slide into a deep recession," one of the researchers sums up briefly.
Na kukusanya genge la vibaka wenzake wa nato kuvamia vinchi vidogo visivyo na uwezoKutengeneza maradhi,vita , unyonyaji kwa muamvuli wa misaada hawana mpinzani.
Kama hajadanganya basi Hii statement ya Biden imemaliza expectation zangu.
Waweke na kwenye chakula kama wanaume kweliThe G7 countries do not intend to apply sanctions against the import of agricultural products from Russia.
This is stated in the statement of the G7 summit, which is chaired by Germany.
“We will continue to ensure that our sanctions packages are not directed against food and provide for the free flow of agricultural products, including from Russia, and the delivery of humanitarian aid,” the statement said.
View attachment 2275543
Kama hajadanganya basi Hii statement ya Biden imemaliza expectation zangu.
"We will not fight a war against Russia in Ukraine" Kinyume cha hii statement ni " We are not against Russia" Au " We are against Russia but we can not stop Russia".Ni mm tu kuchagua sentensi ipi chungu inafaa kumeza kirahisi.
Matarajio niliyobakiza ni kuwa Biden kadanganya au ni war technique otherwise ntakiri kuwa nimesapoti upande ulioshindwa. Ngoja nijifariji na hopes kuwa, ni mbinu za vita na hajamaanisha.
Ndio nini Sasa.View attachment 2275532
The G7 countries have declared their intention to reduce their dependence on Russia in the field of peaceful atom and related products.
Kwani hujaona nilivyomalizia?😃. Bado haijaisha mpaka iishe. Until hope is 0, japo huyu nightmare putin kaniprove wrong still kuna hope...........Imeisha hiyoo.
Collateral damage...nimeipenda mkuu huu msemo west wamekuwa wakitumia sana hasa inapitokea drones zao zimelipua mashule hospitali n.k na kuuwa raia wasio na hatia kuna kipindi waliuwa watu kibao kwenye harusi kama sijakisea itakuwa yemen. Hapa pro nato wasijifanye vichwa vinapoteza kumbukumbu harakaHakuna Cha war panic hapo...hizi ni propaganda za west....vita havina macho...kiutalaamu hiyo ni 'collateral damage'....Wakati USA na NATO wakipiga makombora huko Serbia na, Iraq baadhi yalitua kwenye shule, ubalozi , hospitali na majengo au makazi ya raia na kuua maelfu ya raia....Wao walikuwa wanasema hiyo ni collateral damage na siyo makusudi.....Na huko Ukraine ni hivyo kwa baadhi na sehemu nyingine Russia inaangamiza wapuuzi wanaojificha kwenye majengo ya raia..
AhahahahaMrusi anajiaminisha kwamba anaweza kumtwanga yoyote Duniani yule awe mwana NATO, awe US ama independent - haya ni mawazo ya hovyo kabisa.
Na kuonyesha UGAIDI wake ulivyokomaa jana akarusha kitu juu ya Duka kubwa bila kujali nani yumo nani hayumo !! hii ni dharau kubwa kabisa kwa ulimwengu - Putin soon atapata anachokitafuta.
Over !!
Hhh huo ndio ukweli mchungu MKUUKama hajadanganya basi Hii statement ya Biden imemaliza expectation zangu.
"We will not fight a war against Russia in Ukraine" Kinyume cha hii statement ni " We are not against Russia" Au " We are against Russia but we can not stop Russia".Ni mm tu kuchagua sentensi ipi chungu inafaa kumeza kirahisi.
Matarajio niliyobakiza ni kuwa Biden kadanganya au ni war technique otherwise ntakiri kuwa nimesapoti upande ulioshindwa. Ngoja nijifariji na hopes kuwa, ni mbinu za vita na hajamaanisha.