Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

💢 Military theorist Martin van Creveld named five reasons why Russia is winning the conflict in Ukraine. Die Welt published an analysis:

- There is no partisan movement in Ukraine. Kiev asks the West for weapons for ordinary military operations, and this "can only be a recipe for defeat";

- the Russians changed tactics: they switched to their traditionally most powerful weapon - a massive artillery deployment;

- the Ukrainian army has poor military-technical supplies, and the terrain in the region is favorable for the air power of the Russian Federation;

— Russia proved to be economically more resilient than the West expected: gold reserves are growing, and the ruble has reached a seven-year high against the dollar;

- The economic consequences of the crisis for the West are more serious than expected.

Van Creveld added that the confiscation of the property of Russian oligarchs in Europe undermines confidence in the Western legal system.

@NewResistance
 
USA hayo madeni sio muhimu kwake. Hata russia bado anadaiwa na USA kwa kupewa silaha
 
Swadakta kwamba "Si rahisi nchi kama USA kutoka na kusema we lost against Russia"...

Hicho ndio kilichopo mkuu later itasemwa tu kua "Ooh tunashauri Russia na Ukraine wakae mezani wayamalize" ila sio wao kutamka hadharani kushindwa.
Mkuu samahani lakini ushauri huu wakae na wazungumze nimeshasikia mara kadhaa kutoka viongozi wa nchi mbalimbali pamoja na nchi za NATO. Ila naona udhaifu pande zote mbili kutekeleua ushauri huo. Inasikitisha kweli.
 

Unateseka ukiwa wapi??
 
Mkuu samahani, ukileta hapa habari hii, unaona maana gani ndani yake? Data za mahali pa White House au nyumba ya chansella huko Berlin zimeshapatikana tangu miaka mingi hadi majiranukta zake, mfano Oval Office iko 38.89754268078931, -77.03654053107735 , na ofisi ya chansella Berlin iko coordinates 52.52012360996515, 13.369398844196745. Mtu yeyote anaipata kwa kutumia Goggle Maps.
Sijui unaonaje ROSKOSMOS wanataka kuonyesha nini? Kwamba wanajua kutumia Google Maps?
Wanataka kweli kusifiwa kwa elimu ambayo katika nchi nyingi inafundishwa kwenye shule ya msingi?
Tafadhali nisaidie!
 

Zile $40billn zilisaidia nini? Kama kila siku mtu analalamika[emoji23]
 

Kila siku mnapindua kauli zenu mlianza Russia hachukui wiki, mkaja mwezi, mkaja miezi 3 tukasikia mnasubiri achoke ili NATO waingie sahv tena atachoka mwenyewe.

Russia wanakwambia wametumia only 18% hii operation itaisha pale Ukraine atakavokwenda moscow kuomba msamaha au pindi tutakapo maliza chukua maeneo muhimu.

Hatimaye FUSO limejaza mafuta
 
Hiyo soon haijawahi kufika toka mwezi machi mnasema soon ila hamna kitu NATO watafanya
 

Hii coment inaonesha akili yako bado nyeupe ya kitoto hivi unajitegemea kweli?
 

Vijana wa Tanzania wa kizazi hiki wanapenda mserereko sana ndomana katika vijana 10 vijana watatu ukiwachunguza utajua uzima haupo. Nimegundua tunajadiliana na vijana ambao bado hawajua bado maisha wengi ni wanachuo au anakaa home bhs.
 
Hiyo soon haijawahi kufika toka mwezi machi mnasema soon ila hamna kitu NATO watafanya
Unasema kweli NATO wamechelewa kufanya mambo mengi ila yale machache waliyofanya yamesaidia kumkwamisha Putin tayari. Au unaonaje?
Si vile hawakufanya kitu. Wameleta yale makombora madogo ya mbegani yaliyofukuza jeshi la Putin Kyiv na Charkiv; ambayo pia yamezuia ndegevita za Putin kutawala anga.
Sasa wanaleta zawadi nyingine, tuone tu.
Propaganda ya Putin ilipiga makelele mengi na kutisha kuhusu yeyote anayeleta silaha - hadi sasa hawakufanya kitu kuzuia.
Tangu siku wanapiga mdomo kuhusu Lithuania, wanalialia eti "blockade" .... Hawakufanya kitu kwa sababu hawawezi.
 
Vijana wa Tanzania wa kizazi hiki wanapenda mserereko sana ndomana katika vijana 10 vijana watatu ukiwachunguza utajua uzima haupo. Nimegundua tunajadiliana na vijana ambao bado hawajua bado maisha wengi ni wanachuo au anakaa home bhs.

Ni wazee sema njaa zimeathiri namna ya ufikiri wao no excuse.

Niliangaliaga clip flan youtube vijana wakiafrica waliitwa kufanya mjadala wa ubaguzi wa rangi america.

Ivyo walikusanywa vijana kadhaa kutoka Africa nchi tofauti tofauti kutoka kujadili apo USA 1917 na walikua wana umri Kati ya 14-17 aiseee Africa waliishi watu ni point juu ya points imagine huo umri.

Sasa jiulize hapa kuna watu wa umri gani na wanatoa mashudu ganii?

Ndio ujue kua utashi hauna mahusiano yoyote na umri wa mtu.
 

Hayo ni mafumbo kumbuka kuna tension between west na east sasa apo ni ujumbe kwamba muda wwte tunawasha kiberiti.

Sasa kama mm wa huku namanyire nazifahamu izo location why iwe big deal kwa Russia kipindi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…