Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Duh, halijaisha tu mdogo wangu? He he naomba niwe wa mwisho wa kujibu.
 
Haki yao ya kikatiba ni pamoja na kujiunga NATO na EU.

Kuna kifungu kabisa ndani ya katiba yao kinachosema hivyo! Sijui kama unafahamu hilo!
Ndio uzembe nausema, kwa kutaka kujiunga walijua watapata matatizo na wakapuuza na vise versa ni vyema kwao ila wakaipotezea hyo fursa, hyo haki yao ya kikatiba ya kujiunga NATO naimani haisemi lazima,so wangechagua option iliyosalama, siyo kwa vile ni haki yao basi ndio waiclaim blindly huo ndio uzembe na ndio unawagharimu, sijui umeelewa???
 
Hakuna mbugila yeyote ambaye anaweza kusimama toe2toe na URUSI wewe kwenye hii dunia. Hayupo! Hata wakiungana. Na kama wanaweza kweli Medvedev keshasema wajaribu kusogea hapo crimea

The world's nuclear super power!
 
Kama Putin alikana kutaka kuivamia Ukraine wiki chache kabla hajaivamia kwa nini tuamini hayo mengine anayosema ni kweli na angetekeleza kama ingefanyika appeasement aliyokuwa anaitaka?
Unaonekana mvivu wa kujisomea, ukipata uvivu utacheki screen shot hyo
 
We will do but we will not do!

A lotta talking but nothing said
 
Sasa kama Finland inajiunga NATO kwa sababu ya Ukraine kuvamiwa na Urusi na Urusi haiivamii Finland wewe unawezaje kuendelea kuamini Ukraine inavamiwa na Urusi kwa kutaka kujiunga NATO??!

Unamaanisha intelejensia ya Urusi inayosifiwa sana na wapenzi wake haikujua uvamizi wa nchi majirani isiyo NATO itasababisha nchi nyingine zisizo NATO kutaka kujiunga na NATO kwa haraka zaidi??
 
URUSI haiaminiki tena, Mataifa jirani naye wameona mwokozi wao ni NATO. Kutoaminika ni jambo baya sana katika maisha ya mwanadamu ama Taifa.
 
Hata nyoka akijificha kichakani huwa tunakiwasha kichaka bila kujali kuna jongoo,sisimizi ama panzi wanaweza kuwa wanaishi mle😂😂😂!!!

Vita sio kombolela kwamba hadi utafutwe ulipojificha kazi ni moja tu. Ku locate silaha zilipo hata mkizificha kwenye kanisa.
 

On the Eve of NATO Summit, Russian Space Agency has Published Coordinates of key "Decision-Making centers" of the West.​


On the eve of the NATO meeting in Madrid, at which Russia is expected to be declared the most dangerous threat in the world, the Russian Space Agency made an interesting post to their web site: The GPS Coordinates of certain "decision-making centers" around the world.
While at the upcoming summit of the alliance, representatives of 30 participating countries and their sympathizers will declare Russia the number one evil, Roskosmos published entertaining satellite images - those same "decision centers" -- or rather, their coordinates -- just in case . . .

⠀⠀ 38.897542, -77.036505
⠀⠀ 38.870960, -77.055935
⠀⠀ 51.503049, -0.127727
⠀⠀ 48.870433, 2.316842
⠀⠀ 52.519903, 13.368921
⠀⠀ 50.879986, 4.425771

The coordinates are for:
  • The White House in Washington, DC
  • The Pentagon
  • #10 Downing Street in London, England
  • Le Palais d' Le Elysee in Paris, France
  • The German Chancellery (Bundeskanzleramt) in Berlin, Germany
  • NATO Headquarters in Brussels, Belgium
Now, most reasonable people would view this as a terse reminder that Russia can reach out and touch anyone they want; especially folks who are being intentionally "unfriendly" or even hostile.
Of course, the political weaklings of the West will likely start whining that this is some sort of threat, while in actual fact, it is merely a statement of reality.
Before the west goes and declares Russia to be the most evil one, perhaps they should look in the mirror at their own actions: Financing, inciting and fomenting the overthrow of the Ukraine government in 2014. Installing a puppet regime in Ukraine. Moving to bring Ukraine into NATO for the purpose of placing US missiles (aimed at Russia) on to Ukraine soil with a flight time of only about 5 minutes to Moscow. Telling Ukraine to "ignore" Russia's pre-special military operation ultimatum, and now, supplying deadly weapons to Ukraine, to be used to kill Russians.
It is the West that has done all these things. It is the West who is the aggressor.
Russia is reminding the West that Russia isn't some backwards, third-world country like Iraq they're playing around with. Russia isn't playing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…