Well said mwamba, binafsi nikiona swali au mjadala unao toka nje ya mambo ya hii operation, huwa naishia kupita kimya hata kama mtu kanitag. Ila kama mtu akiuliza swali linalohusiana na maudhui ya huu uzi, nitajitahidi tueleweshane vizuri kwa kadili ya uwezo wetu. tena wengine huleta swali, mada au mjadala kwa lengo la kutaka tu kubishana na siyo kueleweshana.Swadakta, nje ya mada uanzishwe uzi tufatane huko huko hadi kieleweke. Mie binafsi nakiri ile day tulikosea sana kuleta ule mjadala hapa. Lakini isiwe kesi muungwana akisahihishwa hutii na mie natii na kuunga mkono hoja kua nje ya mada zitengewe uzi hapa tubaki na Russia/Ukraine.
Wewe mwenyewe ni mbumbu tu kama wenzako una hoja dhaifu na mfu.Kufikiria nchi yoyote itakaa imalize kulipa deni lake ni umbumbu wa kiuchumi( kotokujua uchumi wa nchi unavyofanya vipi kazi).
Ili mradi nchi na serikali ipo nchi itaendelea kukopa tu madeni mapya huku ikilipa ya zamani.
Na hicho kinachoitwa deni la US ni Treasury bills na bonds ambazo nchi nyingine, makampuni makubwa na watu binafsi wananua kila Fed inapouza. Sio kama mikopo yenu ya Zimbabwe ya kuweka nchi rehani.
T-bills na bonds za US zinanunuliwa zaidi na Wajapan, Wachina n.k kwa sababu wanaamini watalipwa. IMANI ya wanunuzi kwa serikali ya US ndio mtaji wake, na hata siku wanunuzi wake wote wakitka walipwe hayo yote yanayoitwa madeni kwa mkupuo na US ikashindwa itakuwa ni kuharibika vibaya tu kwa uchumi wa dunia YOTE. Hayo ndio yatakuwa matokeo ya kushindikana kulipwa kwa deni la US[emoji1787].
Huu uzi una mbumbu wengi sana wa uchumi hadi unatia kinyaa.
Msimu wa Baridi ulaya ukifikaHii ni hatari kubwa ruble inaendelea kufanya yake.
[emoji845][emoji839]US dollar and EUR keep falling against the Ruble[emoji845]
View attachment 2276503
In physics we say that, Russian federation is inversely proportional to the westerns and Americans sanctions at the constant temperature and atmospheric pressure.GOOD NEWS
70 foreign banks from 12 countries joined the Russian equivalent of SWIFT.
This is reported by the Bank of Russia.
THE END OF UNIPOLAR ERA IS COMING SOON.GOOD NEWS [emoji2958]
Syria officially recognizes the independence and sovereignty of the DPR and LPR.
This was stated in the Syrian Foreign Ministry.
Hizo ndo nzuri azilete tena achague zile za kutisha.Duh hatariiii wanasagika ovyo, ila mjomba hizi za kufa kufa ziache mwamba. Zinatisha!
Mkuu kwani unatumia kiungo gani kuelewa hoja? Au ndo upo hapa kwa lengo la kubishana tu, baada ya kushiba viazi mbatata.Donetsk na Luhansik zisitambulike kama sehemu ya NATO kwani Ukraine ni sehemu ya NATO?
Hadi majeshi ya Putin yanaivamia Ukraine majeshi ya manazi wa Ukraine yalikuwa yameua raia wangapi?
Biolabs ngapi zimepatikana Ukraine tangu uvamizi uanze?
Miaka 355 iliyopita ni 1667, Russia walikuwa wanatengeneza meli zao. Hii ni karne 1 zaidi kabla taifa lenye jina la "UnitedShitState of America" a.k.abig Gayoh sorry big Boy halijapata uhuru wake mnamo 1776, Hear these out from Medvedev the bear π».
Medvedev β‘Today, the Russian branch of state shipbuilding is 355 years old. Largely thanks to the work and achievements of shipbuilders, our country has become a strong and independent power, which occupies a leading position in the world.
Despite any difficulties and unprecedented external pressure.
The successes of domestic shipbuilding prove that we cannot be blocked or stopped. There are many strategically important orders and projects ahead.
New platforms and icebreakers, ships and installations will appear. Our shipbuilders will continue to make a major contribution to strengthening the security of the state, its socio-economic development."
ββSo In term of ship building, Russia ni 1 Century ahead of US au nimezungumza kishabiki wadau ππ₯±.
Ni kweli Urusi Taifa Teule ina maarifa kubwa jinsi ya kuona manowari zake zinazamishwa. Kuanzia Tushima (hapo walifyekwa na Japani ona Battle of Tsushima), kupigwa kwenye Bahari Baltiki na kushindwa kutoka kwenye Bahari Nyeusi wakati wa Vita Kuu ya Kwanza; kurudia mchezo huohuo wakati wa Vita Kuu ya Pili, Putin amejitahidi kutengeneza uwingi wa kuti aliorithi kutoka Urusi wa kikomunisti. Hata hivyo, manowari kiongozi ni Admiral Kusnetsov ambayo ingefaa kuwa makumbusho ya kijeshi katika nchi nyingine (soma china hatma yake), na manowari kiongozi kwenye Bahari Nyeusi ilikuwa Moskva, tunajua habari zake jinsi ilivyopotea kwa sababu kamanda yake alisahau haongozi nyambizi....Miaka 355 iliyopita ni 1667, Russia walikuwa wanatengeneza meli zao. Hii ni karne 1 zaidi kabla taifa lenye jina la "UnitedShitState of America" a.k.abig Gayoh sorry big Boy halijapata uhuru wake mnamo 1776, Hear these out from Medvedev the bear π».
Medvedev β‘Today, the Russian branch of state shipbuilding is 355 years old. Largely thanks to the work and achievements of shipbuilders, our country has become a strong and independent power, which occupies a leading position in the world.
Despite any difficulties and unprecedented external pressure.
The successes of domestic shipbuilding prove that we cannot be blocked or stopped. There are many strategically important orders and projects ahead.
New platforms and icebreakers, ships and installations will appear. Our shipbuilders will continue to make a major contribution to strengthening the security of the state, its socio-economic development."
ββSo In term of ship building, Russia ni 1 Century ahead of US au nimezungumza kishabiki wadau ππ₯±.
Afisa kipenyo kaweka mambo hadharani. Ahsante sana kwa video.Aisee bado watu mnaamini Mainstream Media,mpo wagumu kuelewaaaa....!Western Media information ni fake news mkuu.Hebu cheki huyuπ jamaa wa CIA aki-expose ukweli huo.Amkeniii,mtadanganywa mpaka lini?
Bwana mimi sijui nchi nyingi zinazoweka sasa fedha katika dhahabu. Una takwimu kidogo? Data za sasa ni hizi hapa: Gold reserve - Wikipedia na pia hapa Currency and gold reserves worldwideIlikuwa zamani ambapo USA alipumbaza Nchi nyingi zika page fedha zao katika dollar ya USA.sasa hivi Nchi nyingi zimeanza kuweka fedha zao katika zahabu na fedha zingine-so kudidimia kwa uchumi wa USA hakutakuwa na madhara makubwa kiuchumi kama unavyo taka kutuaminisha.
Mfumo wa dhahabu ulikuwa hakika ukishika noti ya pesa, benki kuu itaibadilisha kuwa dhahabu. Mfumo huu ulianza kukubalika mnamno 1880 katika nchi ya viwanda. Nchi nyingi ziliachana nao mnamo 1914 wakati Vita Kuu ilianza. 1944 walijaribu kurudisha katika mapatano ya Bretton Woods lakini waliacha kabisa mnamo 1973 wakati wa vurugugo wa bei ya mafuta.Yondo sista on the beatπππ
Turudi kwenye mjadala.
Dunia haijatoka kwenye mfumo wa gold kwamba ni kitu cha kushangaza.
Huko nyuma kabisa ilikua bidhaa kwa bidhaa tukaona tunapunjana nakupa kuku unachukua gunia la mahindi.
Tukahama tukaja chumvi ilikua adimu sanaa zama izo mfano wa dhahabu.Sasa baadae zilipokuja kugundilika njia mbalimbali za kupata chumvi tofauti na ya kugema baharini iyo nayo ikafa.
Tukaja sarafu za shaba,fedha,dhahabu kila taifa na yake iyo nayo ikafa.
Ukaja mfumo wa gold nao hukutoa jibu kutokana na hiyo unequal exchange.
Ukaja huu mfumo wa makaratasi na sarafu kwa mbalii nao hautoi majibu ya uwiano wa kufanya biashara bado manung'uniko ni mengi.
Sasa mataifa yenye uthubutu wanataka kusimamisha fedha zao kwa ajili ya kufanya biashara.
Kwa hiyo ukiangalia huo mtiririko ni wazi dollar inaenda kutumika New York tuu maana inaenda kukosa nguvu na ushawishi wake.
Hivyo dunia tunaenda kuingia kwenye mfumo wa mseto wa sarafu kutoka mataifa au mabara yenge nguvu.
Katika jamii ambayo huwa nashindwa kuidescribe ni Ethiopians, wale Wahabesh yaaniSura na mwonekano wa wasomaliView attachment 2269252
Go to hell.Wewe ngoja niku-block tu kwa picha za kijinga unazoleta humu.
Hata hueleweki unataka kusema niniNi kweli Urusi Taifa Teule ina maarifa kubwa jinsi ya kuona manowari zake zinazamishwa. Kuanzia Tushima (hapo walifyekwa na Japani ona Battle of Tsushima), kupigwa kwenye Bahari Baltiki na kushindwa kutoka kwenye Bahari Nyeusi wakati wa Vita Kuu ya Kwanza; kurudia mchezo huohuo wakati wa Vita Kuu ya Pili, Putin amejitahidi kutengeneza uwingi wa kuti aliorithi kutoka Urusi wa kikomunisti. Hata hivyo, manowari kiongozi ni Admiral Kusnetsov ambayo ingefaa kuwa makumbusho ya kijeshi katika nchi nyingine (soma china hatma yake), na manowari kiongozi kwenye Bahari Nyeusi ilikuwa Moskva, tunajua habari zake jinsi ilivyopotea kwa sababu kamanda yake alisahau haongozi nyambizi....
Kuhusu manowari kiongozi ona hapa:
As of July 2021, Admiral Kuznetsov is out of service for a refit in Murmansk. In November 2018, it was damaged by a falling 70-ton crane from the floating dry dock PD-50 and a fire that killed two during the refit. The dry dock, which sank due to a power outage while holding Admiral Kuznetsov,[10] was vital to repairing the carrier,[11] which is not expected to re-enter service until 2022 at the earliest.[12] In 2021, the Vice President of the United Shipbuilding Corporation (USC), Vladimir Korolev, told the TASS news agency that the vessel was expected to begin post-repair sea trials in mid-2023 and rejoin the fleet later that year,[13] although this may have been pushed back a year or more due to delays.[14] In May 2022 it was reported that repairs to the vessel were scheduled for completion in Murmansk in September 2022[15] but after flaws were found in the work, the date for the return to service was pushed back to at least 2024.[16]
As of July 2021, Admiral Kuznetsov is out of service for a refit in Murmansk. In November 2018, it was damaged by a falling 70-ton crane from the floating dry dock PD-50 and a fire that killed two during the refit. The dry dock, which sank due to a power outage while holding Admiral Kuznetsov,[10] was vital to repairing the carrier,[11] which is not expected to re-enter service until 2022 at the earliest.[12] In 2021, the Vice President of the United Shipbuilding Corporation (USC), Vladimir Korolev, told the TASS news agency that the vessel was expected to begin post-repair sea trials in mid-2023 and rejoin the fleet later that year,[13] although this may have been pushed back a year or more due to delays.[14] In May 2022 it was reported that repairs to the vessel were scheduled for completion in Murmansk in September 2022[15] but after flaws were found in the work, the date for the return to service was pushed back to at least 2024.[16]
(Vyanzo unaweza kuangalia ukifungua makala katika wikipedia ya kiingereza..)
ππππππππππUmeiongelea GER wakat mie nimeizungumzia EU
Kuhusiana na Ger uko sawa ila pia mbadala wa GAS ya RUSSIA unawezekana sana ila sio leo wala kesho napia nisuala la gharama kubwa
Nandio maana juzi hapa tumeiona safar ya MKUU wa EU kule TEHRAN wanataka wamalizane na IRAN kuhusiana na JCPOA ili wauziane mafuta maana IRAN hawauzi mafuta EU sababu ya VIKWAZO
Ila kwenye hilo anakwamisha US maana hataki kagoma kukubali kuliondoa SEPAH kwenye kikundi chaugaidi ambalo ndio takwa pia linalokwamisha IRAN kurejelea ama kuuheshimu mkataba
RUSSIA kwasasa anauza mafuta INDIA na UCHINA jamaa wanabeba wese lakutosha kuliko hata walokua wanabeba EU shida kidogo jamaa wanapata kwabei cheee
GER+EU wengi wanaihitajia GAS ya RUSSIA maana nirahisi kuliko popote watapoamua kuifata
Kuufata GAS nje ya RUSSIA kutapandisha gharama EU
Nlichokiona huu mgogoro US anaidhoofisha EU ila sijajua nikwamakusudi anafanya hv ama kwabahati mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππNa agenda moja tu, kuunganisha vichwa vyote hivyo ili kukabiliana na kichwa kimoja Vladimir Putin. Hakika huyu Mwamba Putin siyo mtu wa kawaida.
Kwamba majinga pamoja na miguvu yao wanayowatishia mataifa madhaifu huku wakijiita super power wameshindwa kupambana na mtu Mmoja Putin mpaka waungane ni ushahidi tosha. Putin ndiye mwenye nguvu zaidi duniani kwa sasa.
ππππππ€π€π€π€π·πΊπ·πΊAisee! Kweli USA ni Super power na inaitesa sana Russia kwenye hii operation, Asingekuwa USA Ukraine isingeshinda haya mapigano hapa chini;
βAliipatia Ukraine Javelin ikakomboa mji wa kharson
βAliipatia Ukraine Switch blade drones ikakomboa mji wa mariupol na black sea yote.
βAliipatia Ukraine $40b ikakomboa jimbo la luhansiky
βMwezi uliopita aliipatia Ukraine makombora ya masafa marefu ikateketeza maghara ya silaha za warusi kwenye kambi za jeshi za Urusi.
βWiki iliyopita aliipatia Ukraine silaha zilizo saidia kukomboa mji wa Severodonetsk ambao kwasasa upo chini ya jeshi la Ukraine baada ya majeshi ya urusi kuamuriwa na putin ya withdraw vikosi vyake kwenye mji huo.
βJana USA kafanya kikao cha G7 kilichopelekea Moscow kumiminiwa mvua ya makombora na jeshi la Ukraine mpaka meya wa Moscow akakubali uwezo wa Ukraine kwa silaha nyingi zisizo isha.
Yani hii USA ni hatari sana naamini kabisa hii wiki wakishapeleka hizo, missiles and Air defense systems Jiji la Moscow na Petersburg litakiwa chini ya jeshi la Ukraine na vikosi vya Urusi vitageuzwa panya wa shimoni hapo Ukraine.
Note; Huu ni mfumo mpya wa kuwajibu Pro-NATO ili wasikimbie uzi na kuanzisha ID mpya maana wanayo yaandika hapa hata mtoto wa kidato cha pili mkondo F, hawezi umiza kichwa kujua huo ni ugoro.
#Slava Ukraine [emoji1255][emoji23][emoji23][emoji23].
Dah!π―Russia yasema ipo tayari kuingia mzigoni na NATO woote (nchi 30 dhaifu kwa pamoja), yasema sasa hivi inatumia asilimia 18 tu ya jeshi lake huko Ukraine.
View attachment 2274405View attachment 2274406