MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Hakika ulikuwa sahihi na yeye alikuwa op(out of point) a.k.a kuingia Chaka.As I expected, Angekuwa first one to react kwenye comment yako. Probably atakuwa first one kureply kwenye hii comment too. You know what bro, I know each and everything that it's out of topic.
Ngoja nikupe story fupi, It's a week now. Tulitoka nje ya mjadala mimi, bro Galip Vrl na bro kisiju pwani. Tulizungumza mengi mwisho tukaamua kutokukubaliana maisha yaendelee, Hatukupeana maneno ya kashfa, up to day tunaheshimiana na kaka zangu hao.
Someone akanifata PM kuhusu ile issue tuliokuwa tunaizungumzia. Alivyonifuata kule nikaona ni busara pembezoni bila kukera wengine.
Mjadala ukaanza key terms miongoni mwazo ni hizo, mwisho wa siku tukakubaliana kukutokubaliana. So what happen? Kanibandika majina kadhaa ambayo anayatumia sana kwenye huu uzi moja wapo "Mbwiga".
Of course sio Pro-NATO ni pro-Russia na tatizo kubwa lililopo ni u-much knows, kuna watu wana kasumba hapa kwa kuona kua Pro-Russia wapo sahihi kila kitu mkipishana we ni mweupe.
Ambapo in facts kote alikuwa chaka, Yes if am wrong mtaniambia. Nawapa mifano kadhaa.
1. Akaniambia Race ni species za binadam
View attachment 2276251
[emoji842]Infact sio kweli, we all knows kua Race na Species ni term 2 tofauti.
View attachment 2276249
2. Akadai kua kuna species za binadam ya kizungu na kiafrika na nyinginezo.
View attachment 2276257
[emoji842] Hapa napo akaingia chaka, we all knows kua kuna only one human species to date. Ambae ni Homo sapiens sapiens, all modern human being tupo kundi hili.
View attachment 2276272
Eti kwamba kuna Species 4 za binadam kweli????
View attachment 2276312
Hivi kweli leo hii wadau mtu asimame awaambie species za binadam ni waafrika, wazungu, Mongolian n.k mtamuelewaje?
Halafu mtu kama huyo kisa yupo upande wa Russia anajiona kama anajua kiviiile nje ya mawazo yake basi si kweli.
Yote 9 mi sikuona issue yoyote, alinipa majina kadhaa pale kama, "Mweupe" hamna kitu wewe, mara mbwiga n.k kisa nini? Kumuelewesha kua anachokifaham sio sahihi.
Ikafikia hatua ananiambia eti niende Quora nikasome, damn wadau hivi Quora na JF kuna tofauti gani? Lile ni jukwaa kama jukwaa hili la hapa any1 is free kuandika analojisikia.
Nikapuuza nikayaacha hapo hapo nikaendelea na wana hapa kwenye majadiliano ya Russia vs Ukraine
Mdau wetu katoka nayo kule kahamia kwenye thread hapa. Kila mda mtamskia oooh team mashudu. Nikavunga tu coz sipendi league na skirt. Inakaribia weak sasa halimuishi. Imekua kama uhasama hivi [emoji23].
Sasa leo nafungua page kadhaa hapa nakutana nalo tena, Kaanza hapo kutoa adress ya mbwiga kisha machuma chuma.
You guys mnamjua machuma chuma kua ni T14 Armata, yes Mbwiga kama hamkuelewa ni Qibsyl
Sasa em ifike hatua ukiheshimiwa jiheshim, Ukisitiriwa sitirika. Sipo hapa kuwania tuzo kwa mtu yoyote ya ujuzi. Sipo hapa kuwania Tuzi za likes wala compliment kua najua saaaana! NO
Naamini sijui kila kitu ila kamwe sitozungumza kitu nisicho na hakika nacho, ninaye mkera kuna button ya Ignore pembeni. Ani-block, Vijembe vya ******* sitaki.
Tubakini kwenye uzi, kua team flani hakutufanyi tuwe tunajua kila kitu, tuelekezane kwa adab as martured people. Na tukiamua kutoekuelewana, heshima iwepo hatufanani so tusilazimishe kufanana.
Hayo mambo si yameshaisha mbona unayaleta tena,twende mada husika kwenye huu uziHakika ulikuwa sahihi na yeye alikuwa op(out of point) a.k.a kuingia Chaka.
Halafu watu wa PCB, CBG, CBA,CBN na other tertiary level.
Kuna watu wa PCM, PMM na PMG hawawezi kuwa watamu kwenye hayo mambo na waliobobea engineering studies ukizitoa Genetics engineering na Molecular biology, biolab technology
Ingawa sio kila vinavyoweza kuzaliana vinakuwa classified kama species Moja.
Rejea issue ya Simba na Simba Milia, Punda na Pundamilia.
Kongole sana.View attachment 2277445
Mliwaalika au kuwaomba?Russia hawezi ku fight on our behalf my dear,wangekuja kutusaidia huku kongo tuwe na amani kama kweli wanatusqidia
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Sheria ya JF hairuusu kuexpose vitu mlivyoongelea PM hilo ni la kwanza.
Cha pili watu wanaona wewe ndio mkosewaji kwa sababu umeripoti wa kwanza bila kuangalia upande wa pili.
Vip na mm nitume screen shot za wewe kukomalia waarabu ni lugha bila kufikiria ni mtu alikua anajadiliwa yaani bila kufungu mdomo kuzungumza unasema huyu ni muarabu.
Hivyo vyote nilivyokuambia ni katika kutaka kuona jinsi ya kukuelekeza wala sio kuingia deep na ndio maana ulivyosema homo sapiens na homo erectus ni mambo ya origin ya binadamu.
Nikakuambia mimi siko uko nataka kutumia terminology izo kuonyesha mmgawanyiko wa jamii watu/ binadamu.
Kwamba kuna wenye utashi(mwamfika,muarabu,machina)
Alafu kuna wasiokua na utashi (sokwe,nyani,tumbili,etc)
My point was kukutoa kwenye arabs as lugha balii umfikirie anaeongea au mmiliki wa hiyo lugha chotara au wakujifunza au kuhamia hakumfanyi kua muarabu.
Sasa kidunia haitumiki neno homo sapiens kuelezea jamii za kibinaadamu bali neno race.
Kidunia ndio wamegawanya nne ila kila taifa linamaamuzi yake kutokana na jamii za kibinaadamu zipo nyingi.
Sasa hapo nimeonyesha umwamba wapi kama sio kunionea.
Mimi kutumia neno species,genes sijui animali kingdom ni katika hali ya kutaka kukutoa kufikiria neno arabs as lugha balii mtu.
Mimi sina lig yyte na nyie ila naona mafumbo m nilijuaje kwamba Pro NAto ni mimi ni kwamba sijishtukii ni ukwelii battle ilikua bado inaendelea Kati yangu na nyie.
Wewe ukianzisha mimi namaliza katika hali ya wewe kuumia ukipuuza na mm pia sina muda nafanya yangu.
Kama ni muungwana futa reply za PM maana sitaki kukuchoresha kwa moderators.
Nasema tu: Maarifa ya karne za jeshi la maji la Urusi ni zaidi kushindwa, si kushinda. Mifano nilitaja.Hata hueleweki unataka kusema nini
Watapita Kama hawaoni,Hatimaye wamefungashaa....
Baada ya kukikalia kwa muda kisiwa cha Snake; Warusi wameamua kuondoka wenyewe bila bugudha. Hii ni habari njema kwa wote. Kisiwa hiki ni muhimu wa nchi zote mbili zinazozozana katika mikakati yao ya kiulinzi.
View attachment 2277441
Kwao ^rapprochement^ ni halali, lakini wengine wakifanya ni haramu. Really? Double-standard at play.rapprochement between China and Russia is contrary to the interests of NATO
[emoji16]Snake Island latest?
Bata batani...Wajeda wa Ukraine wapo kisiwani hapo wakila raha !!Watapita Kama hawaoni,
Waje na sababu zao, Kuna mrussi mmoja wa makambako kasema et sio eneo muhimu
Tunataka walete magazeti yao kwenye hili[emoji16]
Hakikisheni mnaweka siraha za maana za kupangua Iskander. Kukiachia Inaweza ikawa cheap kuliko kukaa pale. Strategy.Bata batani...Wajeda wa Ukraine wapo kisiwani hapo wakila raha !!
View attachment 2277461
Kyiv residents enjoy a drink in a bar depicting artwork of a Ukrainian soldier gesturing towards a Russian warship off Snake Island. Photograph: Oleg Petrasyuk/EPA
‼️Russia MOD statement about Snake Island...Although bad for PR,the West will use it‼️Hatimaye wamefungashaa....
Baada ya kukikalia kwa muda kisiwa cha Snake; Warusi wameamua kuondoka wenyewe bila bugudha. Hii ni habari njema kwa wote. Kisiwa hiki ni muhimu wa nchi zote mbili zinazozozana katika mikakati yao ya kiulinzi.
View attachment 2277441
The ^religion^ spoken of here is obviously a blatant hypocrisy, deadly selfishness, and unfettered capitalistic attitude.He come quickly with his religion
Russia ni mbinafsi pia uchumi hana wa kutegemewa, nchi za Africa haziwezi kumtegemea.Russia hawezi ku fight on our behalf my dear,wangekuja kutusaidia huku kongo tuwe na amani kama kweli wanatusqidia
Hapo wanamwaonea wananchi tu. Kama tunavyojua vyama vya mpira havina siasa, inakuwaje wanaingia kwenye siasa?Kaka vita ina gharama kubwa mno kwa siku, sisi tulipigana vita miaka ya 70 lakini toka hapo uchumi ukayumba hadi leo.
Tena hii vita haiishii kwenye Uchumi, Mrusi aanze kujiandaa kufanya yafuatayo:-
- Kuanzisha mashindano yake maana FIFA hatutaki kumwona sura yake
- Kuanzisha UEFA yake maana hatutaki kumwona sura yake
- Kuanzisha Olympic yake maaha hatutaki kumwona sura yake.
- Michezo yote inayohusisha Umoja wa Ulaya na NATO hatutaki sura yake.
Yaani ni hivi ndugu zangu Dunia ya leo usijifanye mtemi utaumia - huwezi kujitenga na wenye nguvu wenzako, atapata madhara mengi mno huyu anayejiapiza kwamba ni mtemi wa Dunia subirini anguko lake.
Sawasawa.....Uncle Sam View attachment 2277460
Hizi vipi nazo mtaita propaganda? Ama mtaamini![emoji3][emoji845]Russia MOD statement about Snake Island...Although bad for PR,the West will use it[emoji845]
[emoji829]️On June 30, as a goodwill gesture, the Armed Forces of the Russian Federation finished fulfilling the assigned tasks in Snake Island and withdrew the garrison that had been operating there. [emoji829]️The Russian Federation has demonstrated to the international society the absence of any obstacles for the efforts of UN to establish a humanitarian corridor for transporting agricultural products from Ukraine. [emoji829]️This solution will prevent Kiev from speculating on an impending grocery crisis citing the inability to export grain due to total control of the northwestern part of the Black Sea by Russia.
Now it is up to the Ukrainian side that is still not clearing the Black Sea coastline, including the harbour waters.