Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Ndo maana unaambiwa huna hoja, badala ya kulinganisha BRICS na G7 wewe unalinganisha BRICS na EU. Are you real serious?
Jana nilikushauri kabla hujajibu hoja tuliza akili kwanza usikurupuke kujibu, hakuna mtu anaekukimbiza hapa hadi ushindwe kuelewa hoja.
EU ni Muunganiko wa nchi baadhi za bara la ulaya pekee. BRICS&G7 ni muunganiko wa nchi kutoka mabara tofauti.
Sasa naomba nikuulize maswali kutoka kwenye vihoja vyako ulivyo andika.
☆G7 members wanatumia pesa moja kama EU?
☆G7 members wana mashindano ya mpira ya pamoja kama UEFA?
☆G7 member countries wana free movement kama EU?
Baada ya mashambulizi makali na kichapo kikali wavamizi Russia wameamua kukikimbia kisiwa Cha Snake islandView attachment 2277641
Basi we jitu wa Taifa Teule, furahia na kujifunza!Hio ndo maana ya ubinafsi? Kijana madam wako wa kiswahili alikua nani?
Umetaja Kaspersky umefanya niwafuatilie.Urusi leo nawasalimia Shikamooni wazee wa Kaspersky
Hapo alikuwa na maslahi,mbona hajaisaidia Sudan kusini,DRC,Mali nk mpaka sasa? Wakati Rwanda wanauana alikuwa wapi?
Je huna aibu kusambaza hapa msimamo wa Majorie Taylor Green, mmoja wa wabaguzi wakali nchini Marekani? Anayechukiwa na Wamarekani Weusi kwa kashfa anayosambaa??Mbunge wa Marekani alalamika kuwa NATO na serikali yao 'ya hovyo' ya US imewalazimisha waMpelekani kuwa kwenye vita na Urusi nchini Ukraine pasi na matakwa ya wamarekani. Mbunge huyo anasema bili kubwa wanalipia kuendesha vita hivyo vya Ukraine. Anasema ni muda muafaka raia wa Marekani waingie mabarabari ili wajiondoe ktk NATO na waepuke vita na Urusi.
View attachment 2277680View attachment 2277681View attachment 2277682
Siyo wewe tu mkuu hata Mimi jamaa kaniacha subiri niingie goggleWadau kama kuna wataalam wa hii mambo nisaidieni jibu nje ya mada... Kuna Pro-NATO kanipiga swali hapa. Maswali kauliza mengi ila haya kwanza nisaidieni nipate pa kuanzia tu
1. Homo erectus ni nini?
2. Homo sapiens ni nini?
3. Tofauti kati ya 1 na 2 hapo juu ni nini?
4. "Species" ni nini?
5. Kuna tofauti gani kati ya "Species" na "Genus".
6. Katika binadam tuliopo leo, kuna jamii ya Homo erectus?
7. Katika 'binadam' wa leo tupo species ngapi?
Kwa anaye faham hayo anaweza kunisaidia haya majibu hapa au PM. Nitashukuru.
CC. Bwana Utam Mtoto wa nzi King faisal lee van cliff kisiju pwani Galip Vrl Champagnee Jesus Mlokozi MR MAJANGA Mr Tyang 1954 babu na mjukuu manning PD_Magumba Sos21 na wengineo
Hongereni wa Ukraine kwa kukomboa kisiwa cha snake next mkakomboe mauripolBaada ya mashambulizi makali na kichapo kikali wavamizi Russia wameamua kukikimbia kisiwa Cha Snake islandView attachment 2277641
🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮Je huna aibu kusambaza hapa msimamo wa Majorie Taylor Green, mmoja wa wabaguzi wakali nchini Marekani? Anayechukiwa na Wamarekani Weusi kwa kashfa anayosambaa??
Hongera mfuasi wa Taifa Teule !
Njoo na points sio unakuja na ma dust been tu.[emoji1005] [emoji706] [emoji1005] [emoji706] [emoji1005] [emoji706] [emoji1005] [emoji706] [emoji1005] [emoji706] [emoji1005] [emoji706] [emoji1005] [emoji706] [emoji1005] [emoji706] [emoji1005] [emoji706] [emoji1005] [emoji706] [emoji1005] [emoji706] [emoji1005] [emoji706]
Russia ni mbinafsi pia uchumi hana wa kutegemewa, nchi za Africa haziwezi kumtegemea.
Exactly, kuachishwa kunyonya baada ya kuweza kula chakula laini ndiyo maandalizi ya kujitafunia makande mwenyewe. Self reliance👊💪Kuna kipindi hapo nyuma putin aliwahi kuongea kuwa kadiri west wanavozidi kuziwekea nchi nyingi vikwazo ndio zinazidi kuziimalisha hizo nchi maana nchi inalijifunza na kupats mbinu mpya ya kupambana na hivyo vikwazo..chuma kilipigwa sana nyundo ndio hizidi kuwa imara
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Unajua maana ya kukomboa?.hakuna aliyekomboa bali ni WARUSI wameondoka wenyewe na UKRAINE awawezi kufika kwenye icho kisiwa kwa sababu inabidi uwe na kikosi cha majiniHongereni wa Ukraine kwa kukomboa kisiwa cha snake next mkakomboe mauripol
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Umeanza vizuri ila kabla hatujafika mbali sana ikumbukwe hizo nchi ulizozitaja zilikuwa kwenye socialist yugoslavia kabla haijavamiwa na nato(takribani nchi 19) wakiongozwa na marekali kwa visingizio lukuki ikiwemo utetezi(ambao huu wimbo tunauelewa hasa kutoka kwa usa) haki za kibinadamu.Nilikuwa sifahamu vzr haya mambo naomba nieleweshe zaidi
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Kuacha kutegemea vitu vyao wakati hata tumeshindwa hata kutengeneza panado sio mapema hivi na tulivyo kwa sasa madawa yetu ya asili tumeyaacha na yalikuwa bora.