Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Hao ndio makaka wanaoishi Kwa Shemeji ... dada yao akiachikia nao hawana kitu wanaachika na wanakosa makazi..... lazima watetee misaada maana bila ya msaada wa shemeji yao hawaish.Inanishangaza sana, hakuna sehemu sisi as Pro-Russia tuliposema tunataka kumtegemea Urusi, What we have said ni kua, Tunataka kujitegemea while Russia tukimchukua kama mfano wa kuigwa.
Sasa how comes hawa Chai kwa baba kulala kwa Shemeji wanasema Russia hawezi kutegemewa? Tumeomba maombi ya kumtegemea Russia? Jibu ni Hapana.
The weirdest of all, Maneno kama hayo yanatoka kwa jinsia ya kiume, kweli? Mbona we have Shangazi ngaboru kila siku anahubiri kujitegemea, She's a Woman ila anajua faida ya kujitegemea. Mtoto wa kiume kila siku unalilia na kupigia debe msaada? Unalilia utegemezi? Really? Ndipo tulipofikia huku jamani?
Asee These "black Yankee" with Single Digit IQ wanasumbua sana πππ, wamekuwa mithili ya taka taka ambazo unapata wasi kuziweka hata kwenye 'bin' lisije likaoza. So the only remaining Option is to "burry" them.
Ushauri wangu kwa Pro west, Ishambulieni Russia kwa kuipiga Ukraine, but nje ya hapo MNAJIVUA NGUO mno.
Hakikisheni mnaweka siraha za maana za kupangua Iskander. Kukiachia Inaweza ikawa cheap kuliko kukaa pale. Strategy.
Wacongo ni mandezi Sana,Wazungu walimfanyia ushenzi huo Lumumba na majuzi mfalme wa Belgium amekuja hapo Congo na wametenga mamilioni ya $$ kumpokea na bonge la sherehe,wale Ni mataahira tu.Full StopDah...imeniuma Sana Patrice Lumumba alipozikwa leo rasmi ...na kilichozikwa ni jino lake moja tu lililorudishwa 'majuzi' tu kutoka Ubelgiji...mwili wa Lumumba aliyeuawa kikatili na wasaliti kwa njama za wazungu uliyeyushwa kwenye Sulphuric acid ( nadhani ilikuwa ni oleum) miaka hiyo ya 1960 mwanzoni...wazungu ni washenzi kabisa...
Kuna hofu fulani genius Putin alisahau (alishindwa?) kuandaa Iskander za kutosha kabla ya kuanza safari.Hakikisheni mnaweka siraha za maana za kupangua Iskander. Kukiachia Inaweza ikawa cheap kuliko kukaa pale. Strategy.
Jisomee:Wadau kama kuna wataalam wa hii mambo nisaidieni jibu nje ya mada... Kuna Pro-NATO kanipiga swali hapa. Maswali kauliza mengi ila haya kwanza nisaidieni nipate pa kuanzia tu
1. Homo erectus ni nini?
2. Homo sapiens ni nini?
3. Tofauti kati ya 1 na 2 hapo juu ni nini?
4. "Species" ni nini?
5. Kuna tofauti gani kati ya "Species" na "Genus".
6. Katika binadam tuliopo leo, kuna jamii ya Homo erectus?
7. Katika 'binadam' wa leo tupo species ngapi?
Kwa anaye faham hayo anaweza kunisaidia haya majibu hapa au PM. Nitashukuru.
CC. Bwana Utam Mtoto wa nzi King faisal lee van cliff kisiju pwani Galip Vrl Champagnee Jesus Mlokozi MR MAJANGA Mr Tyang 1954 babu na mjukuu manning PD_Magumba Sos21 na wengineo
Ninastaajabu na kushangaa kwamba bado hujaijua Marekani vizuri.
Core principle yake ya international geopolitics iko hivi: ^Everyone's America's friend and partner as long as her goals are furthered and not hampered nor threatened therein. Therefore, US has no permanent enemy nor permanent friend!^
Mantiki yake ni kwamba, hata kama taifa fulani lingekuwa jahili na safihi kama nini, maadam Marekani anafaidika na ubia husika, uongozi wa nchi hiyo utaendelea kuneemeka na kudumu miaka nenda rudi.
Samahani mkuu, wapi umepata picha eti Urusi inamiliki anga?Snake Isiland ni Aircraft carrier isiyoweza kuzamishwa, huo ndio umuhimu wa kile kisiwa. Russia inamiliki anga na maji hakuna faida yoyote NATO wataipata kwa Putin kukiachia
Ni sawa ndugu lakini pia wanasaidia..
Ingawaji ya hiyo principle inayoisema.
Hongera Taifa Teule na Dume Mkuu Putin - mlifaulu kubadilisha ramani!! Uswidi na Finland zilikuwa nje ya NATO kwa miaka 70, sasa wameomba kuinga wakapokelewa.Opinion | NATO Gets a Military Upgrade With Finland and Sweden
The alliance adds the Nordic nations, but Europe is still contributing too little.www.wsj.com
Kweli bila jitihada ya genius Putin isingewezekana !!!!!!
Putin alichofanya ni ujinga wa karne, ameipa NATO Finland na Sweden kwenye sahani!.
Ni afadhali wangegongwa na treni wangesalimika kidogo kuliko kumpamia Putin kichwa kichwa.
Lakini na yeye si amepata Crimea na ule ukanda wa Donbas.
Samahani mkuu, wapi umepata picha eti Urusi inamiliki anga?
Jambo la ajabu ni hadi sasa Urusi imefeli kudhibiti anga. Kama ingemiliki, tusingeona tena ndege 1 ya Ukraine hewani (maana ina ndege za Kirusi za zamani tu). Kinyume chake tuliona ndegevita za Ukraine zilishambulia Snake Island mara kadhaa; juu ya Ukraine (mbali namstari wa mapigano) huwezi kuona ndege za Kirusi ambazo zinazuia mwendo wa magari, vifari, wanajeshi kwenye nchi kavu.
Kuna roketi tu zinazorushwa kutoka mpakani, baharini au ndani ya Urusi. Zinafika hadi magharibi ya Ukraine na kuleta hasara, lakini hazileti udhibiti wa anga.
Sehemu hii ya vita imeenda kweli vibaya kwa Urusi hadi sasa.
Au una habari za kinyume? Tafadhali utueleze!
Wacongo ni mandezi Sana,Wazungu walimfanyia ushenzi huo Lumumba na majuzi mfalme wa Belgium amekuja hapo Congo na wametenga mamilioni ya $$ kumpokea na bonge la sherehe,wale Ni mataahira tu.Full Stop
Mkuu, sikusema Ukraine inamiliki anga. Nilisema Urusi inashindwa kumiliki anga juu ya Ukraine. Ukraine haiwezi, imebaki na ndege chache tena za zamani. Lakini Urusi ilifeli kuharibu vituo vyote vya roketi za SS-300 kwenye siku ya kwanza, vituo kadhaa vimebaki.Kama mmedhibiti anga sasa si mkomboe maeneo yaliyochukuliwa kma umeweza kumiliki anga inamaana unauwezo wa kufanya chochote. Sasa mbona maeneo yana megwa daily na kuna taarfia wanajeshi 6000 wa Ukraine wame surrender mnafeli wapi chief?? Kama anga mmemiliki