Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin kama kawaida (digrii yake kwenye chuo cha KGB ni kuhusu uwongo na kugushi).
Nani anasema Ukraine ienendelee kupigana?
Nani anasema Ukraine iondoke kwenye mazungumzo na Urusi???
 

Attachments

  • IMG_20220701_104606_686.jpg
    1.3 MB · Views: 18
 
Marafiki wa Putin hapa hawawezi kukubali kasoro yoyote upande wa Putin. Kwao ni mungu fulani.

Kukubali jeshi lake lilifanya kosa la kijinga kushambulia Kyiv bila mpango, kuwa na mipango mibovu ya jeshi la anga kwa siku ya kwanza - hawawezi. Maana kwao ingekuwa kumtukana kamungu huyu.

Usiwape maelezo marefu - hawawezi kuelewa. Hawafuati akili au elimu - wanafuata dini yao ya Uputin.
 
Vipi tukujibu au tukuache na Upumbavu wako [emoji276]?
Tafadhali usaidie ujinga wangu!
Nchi gani ya NATO ilizuia Ukraine kuongea na Warusi?
Nani aliwaambia waendelee kupigana?

Tafadhali jina, tarehe, mahgali, chanzo chake. Karibu sana!
 
Mrusi kwa kweli ni hatari Sana, safari hii Mmarekani kapandiwa huko kwenye mtandao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji635][emoji1258] Russian hackers Killnet said they brought down the site of the US Federal Tax Payment System.

Hii ni aibu kwa US sehem nyeti kama hiyo inakua hacked ni aibu kwa taifa kama US.
 

Nipe na mimi nisome hzo makala,
 

NATO wapi unaowazungumzia ndugu Yangu?? Hawa hawa ambao ni waoga na dhaifu?? Sasa mnaogopa nini mataifa 30 mnaishindwaje Russia taifa 1. Kijana hao NATO ukicombine bado hawana uwezo wa kupigana na Russia wataishia vikwazo na kelele uwezo hawana.

Kama wanauwezo waingie uwanjani
 

Hio inapaishwa tu hakuna kitu
 

Hizo ni posho za vita, mmesahau mlichofanya kule afghanistan na libya??
 

Acha kukaza fuvu hilo misaada inayokwenda huko ukraine unafikiri ndege hakuna? Na wewe unaamini takwimu walizotoa nikweli?? Kinachoonekana kwenye takwimu hakinaga uhalisia 100%. Usifanye kichwa chako kiwe kama kabati la kutunzia nywele na meno.
 
Tafadhali usaidie ujinga wangu!
Nchi gani ya NATO ilizuia Ukraine kuongea na Warusi?
Nani aliwaambia waendelee kupigana?

Tafadhali jina, tarehe, mahgali, chanzo chake. Karibu sana!

Sheeenzi kbs, sasa ulishindwa nini kuuliza hilo mwanzo ukakurupukia KGB kutoa degree ya uongo sijui ushuzi gani huko as if umewa-accredit kwa kazi hiyo. Mmh?

Haya usikae hapo kindezi, kasikilize speech ya NATO Secretary wenu Jens Stoltenberg kwenye mkutano wao wa NATO hapo Madrid, uwahoji kwanini wamesema hivo. Sio kusubiri hapa huku umekaza msuli wa kalio kukurupikia taarifa usizozijua.

Eti ooh tarehe, "mahgali" [emoji23][emoji23][emoji23] na chanzo shinoko, Kwanza "mahgali" ndio mdudu gani huo [emoji276]...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…