Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Leo zimeonyeshwa nyumba zitakazojengwa Marliapol na kugawiwa Bure kwa wananchi wote
Мариуполе показали строительство и дизайн первых домов и квартир, которые жители получат бесплатно.
[emoji4]
Ha ha ha hapo ukiwauliza nani mwenye tech kubwa watakwambia US [emoji23]Hii ni aibu kwa US sehem nyeti kama hiyo inakua hacked ni aibu kwa taifa kama US.
Mbona unakuja tena na ule uwongo kuhusu dhahabu ya Iraki? Hauna ukweli wowote. marekani walifanya mabaya mengi kule Iraki lakini hawakuiba dhahabu!
(Kinyume: jeshi lao lilikamata lori lenye dhahabu, watumishi wa Saddam walijaribu kuiba. MArekani walifanya utafiti na kurudisha yote Baghdad)
Alicholeta FUSO ni sahihi kabisa, tena huyu anaelewa kanuni za vita kushinda wewe. Kuiba ni marufuku, kuna mikataba ya kimataifa kibao. Inaonekana wewe bado uko zama za mawe; ukimwita "mtoto" unaonyesha tu elimu yako.
Nchi za dunia zimekubali mikataba ya Hague tangu 1899. Hivyo ni marufuku kwa askari kuiba mali katika nchi nyingine (looting), ambayo ni jinai. Kisheria tofauti ni amri ya mkuu wa jeshi anayeagiza kuchukua mali (requisitions). Hatua hii inahitaji tangazo rasmi halafu ni lazima kutoa risiti kwa vitu vinavyochululiwa, vinapaswa kufidiwa baadaye.
Tena kitu kingine ni fidia (reparations) zinazokubaliwa baada ya vita wakati wa mkataba wa amani .
Walichofanya Warusi Ukraine hadi sasa yote ni mwizi mtupu na hivyo jinai. Sheria iko wazi.
Wakifauli kuificha kama mfano wako waKongo hakuna anayeshtaki hivyo hakuna kesi. Lakini sheria iko wazi. Mahakama ya Kimataifa ya Haki ilihukumu Uganda ilipe $ milioni 325 kwa DRC kama fidia ya wizi wakati wa vita.
Achana na mawazo yako ya kishamba, Bwana, nyakati zinabadilika.
Vipi tukujibu au tukuache na Upumbavu wako [emoji276]?
Hatusingizii mtu! Tuna ushahidi Tena kutoka kwenye vyanzo vyenu pendwa ikiwemo Reuters!Tafadhali usaidie ujinga wangu!
Nchi gani ya NATO ilizuia Ukraine kuongea na Warusi?
Nani aliwaambia waendelee kupigana?
Tafadhali jina, tarehe, mahgali, chanzo chake. Karibu sana!
Hivi kwanza huwa hawaoni aibu kushindanisha mataifa 30 vs taifa 1 hawa watu [emoji23][emoji23][emoji23]NATO wapi unaowazungumzia ndugu Yangu?? Hawa hawa ambao ni waoga na dhaifu?? Sasa mnaogopa nini mataifa 30 mnaishindwaje Russia taifa 1. Kijana hao NATO ukicombine bado hawana uwezo wa kupigana na Russia wataishia vikwazo na kelele uwezo hawana.
Kama wanauwezo waingie uwanjani
Zinatakiwa kurudishwa kwa mmiliki Halali!Hizo ni posho za vita, mmesahau mlichofanya kule afghanistan na libya?? View attachment 2278371
Ha ha ha hapo ukiwauliza nani mwenye tech kubwa watakwambia US [emoji23]
Leo Jomba ugonganishe Semi na Vitz, Unaona kabisa Vitz imepondeka halafu unadai Vitz iko strong kuliko Semi?
Ha ha ha hapo ukiwauliza nani mwenye tech kubwa watakwambia US [emoji23]
Leo Jomba ugonganishe Semi na Vitz, Unaona kabisa Vitz imepondeka halafu unadai Vitz iko strong kuliko Semi?
Hivi kwanza huwa hawaoni aibu kushindanisha mataifa 30 vs taifa 1 hawa watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe Ndugu yangu inaelekea ni mweupe kwa masuala mengi..Mbona unakuja tena na ule uwongo kuhusu dhahabu ya Iraki? Hauna ukweli wowote. marekani walifanya mabaya mengi kule Iraki lakini hawakuiba dhahabu!
(Kinyume: jeshi lao lilikamata lori lenye dhahabu, watumishi wa Saddam walijaribu kuiba. MArekani walifanya utafiti na kurudisha yote Baghdad)
Alicholeta FUSO ni sahihi kabisa, tena huyu anaelewa kanuni za vita kushinda wewe. Kuiba ni marufuku, kuna mikataba ya kimataifa kibao. Inaonekana wewe bado uko zama za mawe; ukimwita "mtoto" unaonyesha tu elimu yako.
Nchi za dunia zimekubali mikataba ya Hague tangu 1899. Hivyo ni marufuku kwa askari kuiba mali katika nchi nyingine (looting), ambayo ni jinai. Kisheria tofauti ni amri ya mkuu wa jeshi anayeagiza kuchukua mali (requisitions). Hatua hii inahitaji tangazo rasmi halafu ni lazima kutoa risiti kwa vitu vinavyochululiwa, vinapaswa kufidiwa baadaye.
Tena kitu kingine ni fidia (reparations) zinazokubaliwa baada ya vita wakati wa mkataba wa amani .
Walichofanya Warusi Ukraine hadi sasa yote ni mwizi mtupu na hivyo jinai. Sheria iko wazi.
Wakifauli kuificha kama mfano wako waKongo hakuna anayeshtaki hivyo hakuna kesi. Lakini sheria iko wazi. Mahakama ya Kimataifa ya Haki ilihukumu Uganda ilipe $ milioni 325 kwa DRC kama fidia ya wizi wakati wa vita.
Achana na mawazo yako ya kishamba, Bwana, nyakati zinabadilika.
Telegram hutumii?Wewe unatumia au umewahi kutumia "tech" gani ya Mrusi??
Mimi nimetumia iPhone, hp, Dell, Microsoft, GPS, Boeing, WhatsApp, Uber vya US
Hii aliielewa Tsh na Grand Master tu... Hawa wengine walivaa miwani nyeusi ha ha ha.Unajua hawa watoto wa ajabu sana kitendo cha Mataifa 30 kupambana na taifa 1 ni ushindi kwa Russia. Babu yao tu anawakataaView attachment 2278390
Kwa kauli ya babu yao kwa mtu mwenye akili ameshang’amua. Hawa watoto waliokua na maziwa ya kopo hawawezi kukuelewa.
Telegram hutumii?
We nishakwambia mahaba yamekuzidi akili. Mtoto kazaliwa na Neema kachukuliwa kalelewa na Jesca. Amekuwa unamuita mtoto wa Jesca una akili kweli wewe?Wewe unatumia au umewahi kutumia "tech" gani ya Mrusi??
Mimi nimetumia iPhone, hp, Dell, Microsoft, GPS, Boeing, WhatsApp, Uber vya US
Acha kuzunguka zungukaMkuu, sikusema Ukraine inamiliki anga. Nilisema Urusi inashindwa kumiliki anga juu ya Ukraine. Ukraine haiwezi, imebaki na ndege chache tena za zamani. Lakini Urusi ilifeli kuharibu vituo vyote vya roketi za SS-300 kwenye siku ya kwanza, vituo kadhaa vimebaki.
Nimeona maelezo mawili
1) Uongozi wa jeshianga wa Urusi unakosa ubora, hawakukazia kubomoa SS300 zote siku ya kwanza
2) Marubani wa Urusi wanakosa uzeoefu wa kutosha, maana wanafanya mazoezi nusu hadi 2/3 ya wakati tu kama marubani wa NATO (ona hapa).
Huh tena usimwambie habar za telegram, Ujue kuna vitu vingine vya kijinga sana kufanyia ulinganisho.Telegram hutumii?
Mnafikiri putin ni mseven....hawa mashoga kichapo watakula na hawana cha kumfanya, kama wao ni wanaume wamvamie na kumkamata kama walivyofanya kwa sadam au gadafMwisho wa vita hii ni aibu kwa Putin, na awe tayari kupandishwa mahakama ya kimataifa kwa uhalifu wa kivita, hawatamwacha salama huyu bingwa.
Ukitaka kuvamia nchi jipange, kwanza ni lazima jeshi lao uweke mapandikizi walau nusu hivi ili kazi yako iwe nyepesi.
Unavamia nchi ambapo Jeshi 100% linaitii serikali yao utapata taabu sana, Mrusi ajifunze kwa Marekani alipoenda Iraq ama Libya.
Sasa Mrusi anasingizia NATO kwamba wana Proxy war wakati kumbe approach yake ilikuwa ya hovyo.
Sisi atumjui huyo unaye muongelea sisi tunamjua satan 2 basi...huyo unaye muongelea wewe labda ukamtafute Mtaa wa lumumba kwa wavaa nguo za kijaniMimi siongelei Satan II
the RS-28 Sarmat known as "Satan II", which is a Russian liquid fueled, MIRV equipped super heavy intercontinental ballistic missile (ICBM)
Hapana,namuongelea Shetani,a being!
Hakunaga urafiki kama uwo uyo lazima atahukumiwa kwa sheria za russia kama wale wa UK wawiliNaamini ataachiwa mapema huyu. Israel inazingatia sana usalama wa raia wake na Russia haina shida na Israel, pamoja na huu mgogoro kuanza bado hawakuvunja makubaliano yao nchini Syria. Israel ataendelea kushambulia silaha za Iran zinazopitia Syria kwenda kwa wanamgambo wapinzani wa Israel na Russia hatoizuia