@Yoda , FUSO na UPOPO kamsaidieni Super power wenu ku restore mfumo wake wa huduma ya kodi unaochezewa na Vijana wa putin kama gemu la nyoka kwenye simu ya kiswaswadu.View attachment 2278975
[emoji631] Russian hackers took down the entire network of the US Federal Tax Service, it has not yet been restored.
Payments, declarations, tax reports were submitted through the site, now everything is happening in a slow, "paper" mode. [emoji3538]
HujachelewaNilikuwa pro NATO ila kwa aya yanayoendelea nahamia rasmi team Russia
Kweli aisee
View attachment 2278975
[emoji631] Russian hackers took down the entire network of the US Federal Tax Service, it has not yet been restored.
Payments, declarations, tax reports were submitted through the site, now everything is happening in a slow, "paper" mode. [emoji3538]
Kwamba itafanywa barabara ya kwenda Kaliningrad! Ndiyo maana Ujerumani anawapiga biti Lithuania waache mchezo huo wa hatari!There is Intel- information showing that Russia intends to wipe out Lithuania altogether.
Chombo kipya in town hiki, Mali ya kampuni moja hapo Israel. Wanadai ni kifaa Radar chenye uwezo wa kuona behind walls, Yaliyo nyuma ya ukuta. Inatumia AI-based algorithm ku-detect uwepo wa kiumbe hai lel say mateka au enemy ndani ya jengo.xavior 1000 huu ni mfumo gani sijaujua vjzuri tuelimishane Qibsyl
Sasa walitaka wadondoshewe mabomu ya mishaki au afkeki😂😂😂??? Mabwege kweli hawa, vitani sio Picnic!
Unalinganisha vitu viwili tofauti kabisa.Apple imekuwa kampuni ya kwanza US kufikia thamani ya USD Trillion 1 mwaka 2018 miaka 7 baada ya Steve Jobs kufariki, ilifikia thamani ya USD Trillion 3 mwaka huu. Yani thamani ya apple January mwaka huu ilikuwa ni kubwa karibia mara 2 zaidi ya GDP ya Russia.
Jielimishe zaidi wewe na wenzakoUnalinganisha vitu viwili tofauti kabisa.
Market Cap na GDP Ni vitu viwili tofauti kabisa.
Kapagawa anatafuta Excuse ya kujifariji kuionesha Russia ni Dhaifu... Hapo kaenda kutafuta andiko lenye mitazamo kama yake ya kindengereko kisa kaandika mzungu 😂😂😂.Unalinganisha vitu viwili tofauti kabisa.
Market Cap na GDP Ni vitu viwili tofauti kabisa.
Unalinganisha vitu viwili tofauti kabisa.
Market Cap na GDP Ni vitu viwili tofauti kabisa.
Kapagawa anatafuta Excuse ya kujifariji kuionesha Russia ni Dhaifu... Hapo kaenda kutafuta andiko lenye mitazamo kama yake ya kindengereko kisa kaandika mzungu [emoji23][emoji23][emoji23].
Tuletee risiti inayoonyesha kuwa umeweza kulipa kodi sasa kupitia mtandao huu wa "irs".Ogopa matapeli na vishoka, kodi za federal US zinalipiwa Internal Revenue Service (IRS).
www.irs.gov
Hivi ninyi huyu mtu mnam-entertain tuu,mimi nilishamuweka kwenye "ignore" list yangu,he is simply crazy.Mkuu Yoda, Hayo yote uliyoandika hapo yanapatikana nchi gani?
Mtu anayekuzidi kila kitu kupambana nae ni ngumu sana hasa kama anakuzidi teknolojia😂😂😂 kweli NATO ni kama baskeli ya kunolea kisu