US kukwepa aibu lazma ataanzisha kutuma "Little Boy" pale Kremlin ila s-400, s-500 na s-550 hazitaruhusu upuuzi upenye so litaangushiwa baharini tu πππ halafu kitachompata yeye na wajinga wenzie Washington itakuwa vumbi tu πππ baada ya Satan-II kuangushwa mjiniinawezekana hii vita ikaisha bila nyuklia kutumika
πππ Kibaao kimewageukia mkuu, Sasa huko NATO Kila mtu analia njaa ya chakula na mafuta.
Ni ukweli usiopingika kuwa anabeep anaingia miguu huku kichwa kiko nje. Ni kweli anazo zenye range hiyo hata zaidi lkn ambazo sio effective. Zina interceptable kirahisi na ujue ikiwa zile watu wanaziamini kama uaminivyo wewe zikishindwa ni AIBU.Ujinga wa kwanza ni kufikiri ushindi kwenye vita unatokana na silaha tu. Gaddafi alikuwa amejaza masilaha ya Russia kwenye ghala zake lakini US walimdonoa kama Mwewe anavyochukua panzi bila hata boots on the ground.
Kwanza US wenyewe mpaka sasa wame beep tu katika aina ya Silaha walizotuma Ukraine. HIMARS walizotuma ni za range ya Km80 tu, wangetuma za Km500 waliweke eneo la Russia ndani ya target range ungeona Kremlin wakipiga kelele za Nyuklia Armageddon. Silaha za US kama makombora ya masafa marefu, nyambizi na fighter jets bado hazijagusa ardhi au maji ya Ukraine, Moscow pasingekalika na Homicidal dictator wao angebofya vitufe vya nuclear kujitoa mhanga na dunia yote inayomzunguka.
nimegundua US ni muoga sana hawezi kutuma chochoteUS kukwepa aibu lazma ataanzisha kutuma "Little Boy" pale Kremlin ila s-400, s-500 na s-550 hazitaruhusu upuuzi upenye so litaangushiwa baharini tu πππ halafu kitachompata yeye na wajinga wenzie Washington itakuwa vumbi tu πππ baada ya Satan-II kuangushwa mjini
Hivi ninyi huyu mtu mnam-entertain tuu,mimi nilishamuweka kwenye "ignore" list yangu,he is simply crazy.
Msemo wako bro, hapo ni kupoteza mda.Kapagawa anatafuta Excuse ya kujifariji kuionesha Russia ni Dhaifu... Hapo kaenda kutafuta andiko lenye mitazamo kama yake ya kindengereko kisa kaandika mzungu πππ.
Hawezi sababu vyuma vya maana hana yani urusi kamshika pabaya sababu anaweza akamzimia system zake tu nchi ikaenda gizani ghafla kisha akampiga kata funua za maana pasipo hata kutumia nyuklia πππ!nimegundua US ni muoga sana hawezi kutuma chochote
Wokome,these people are stupid beyond comprehension.Sasa kama wanajua this will happen,why don't they take action to mitigate the situation??????Yaani Western Governments nia yao ni kuua wananchi wao,no doubt about it.Wananchi wa nchi za Ulaya na Marekani waamkee,vitendo vya viongozi wao vinaonyesha wazi kwamba vina nia ovu ya kuwa-exterminate kama agenda ya NWO ya Global Depopulation inavyo-stipulate.Yaani watu wanapelekwa kwenye Slaughter Palour wanakenua tu,ajabu sana.
ila hii vita bhn... anabigwa mdogo anadhalilika mkubwa π€£π€£π€£Hawezi sababu vyuma vya maana hana yani urusi kamshika pabaya sababu anaweza akamzimia system zake tu nchi ikaenda gizani ghafla kisha akampiga kata funua za maana pasipo hata kutumia nyuklia πππ!
Liuthania atakula kipigo na msaada atakaopewa ni silaha tu.
Mkuu kwanza ninakusifu kwa kufuatilia vyanzo badala kunena tu!Ha ha ha ha haaaa! Ulipo tupo na spana juu. Nimefuatilia chanzo chako (Wikipedia) cha habari juu ya idadi za ndege vita. Chanzo chako cha habari kina mapungufu makubwa kiasi cha kutilia mashaka takwimu kilizotoa. Nitaeleza.
Kwenye chanzo hicho, inasemwa kufikia February 2022 Ukraine ilikuwa na :
I)Trainer aircraft 15, Surveillance 3, Attack/Close air support 31, na attack 12. Chanzo halisi cha habari ya Wikipedia ni "World Air Force 2022" ambayo mleta habari pale Wikipedia akisoma hiyo habari tarehe 14/12/2021! Bahati mbaya hatwambii kama Ukraine haikupokea ndege za namna hiyo tena kati ya December 2021 mpaka February 2022 ! Mashaka haya.
II) Unmanned aerial Vehicles(UAV) 6. Chanzo halisi cha habari hiyo kilichapishwa tarehe 5/10/2020! na mleta habari Wikipedia akisoma chanzo hicho cha habari tarehe 13/09/2021!! Halafu hapo hapo anatwambia kuwa mpaka February Ukraine ilikuwa na UAV 6 tu!
Kwa hiyo, maelezo mafupi haya juu ya takwimu ulizotupa binafsi naona yanatosha kutokukubaliana na maelezo yako kuwa Russia wanatudangaya juu ya takwimu wanazotoa. Hivyo, binafsi nadhani, wewe Mkuu ndiye unataka kutudanganya! Ukileta takwimu akikisha uwe umezichimba sawa sawa na kuzipiga msasa vinginevyo tutakutoa Baru Nazo ! Ha ha haaaa!
Tuendelee na mjadala.
Chukua hii hapa tena muendelee kujisokota nayo.Msemo wako bro, hapo ni kupoteza mda.
Shanghai Stock Exchange ina Market Cap ya Over 7 Trillion Dollar, kwa hiyo Shanghai Exchange ni kubwa kuliko mataifa yote duniani with exception ya US na China?
New York Stock Exchange, NYSE ina market cap of over 27 trillion dollar, so hiyo nayo ni kubwa kuliko taifa la US lenyewe? Hizo Exchange mbili, NASDAQ na NYSE zina total of Market cap ya over 49 trillion dollar, kwa hiyo zenyewe ni taifa la US mara 2 Plus Japan na Germany?
Mh, Huko ni zaidi ya kupagawa, ni zaidi ya kudata. Wasipokonda mwaka huu hawatanenepa hawatokonda kamwe.
Na mimi leo niseme URRRRRAAAAA ha ha ha "Iskander", Mvua iendelee kunyesha tuone panapo vuja. Russia endeleza mkong'oto hadi LGQBTQA+ waingie wodi ya wazazi kudai haki zao.
Mkuu, nisipokosei sana viongozi wq nchi unazotaja wanasikia madai ya idadi kubwa ya wananchi wao wachukuie hatua kali zaidi kusaidia Ukraine. Naona nch mbalimbali ambako viongozi walikemewa sana eti walisita mno. Mfano Ujerumani, Uholanzi. - Nchi nyingine kama Uswidi na Finland viongozi walibadilisha msimamo kuhusu NATO kutokana na madai ya wanachi wao.Wokome,these people are stupid beyond comprehension.Sasa kama wanajua this will happen,why don't they take action to mitigate the situation??????Yaani Western Governments nia yao ni kuua wananchi wao,no doubt about it.Wananchi wa nchi za Ulaya na Marekani waamkee,vitendo vya viongozi wao vinaonyesha wazi kwamba vina nia ovu ya kuwa-exterminate kama agenda ya NWO ya Global Depopulation inavyo-stipulate.Yaani watu wanapeleka kwenye Slaughter Palour wanakenua tu,ajabu sana.
They should go to the streets.Kiongozi asiyefaa anaweza kuondolewa by Peoples' Power,ni ujinga tu uliokithiri.So wasubiri wafe!!!!!!????Mkuu, nisipokosei sana viongozi wq nchi unazotaja wanasikia madai ya idadi kubwa ya wananchi wao wachukuie hatua kali zaidi kusaidia Ukraine. Naona nch mbalimbali ambako viongozi walikemewa sana eti walisita mno. Mfano Ujerumani, Uholanzi. - Nchi nyingine kama Uswidi na Finland viongozi walibadilisha msimamo kuhusu NATO kutokana na madai ya wanachi wao.
Tafadhali ukumbukle: Nchi hizo kuna uchaguzi, si vigumu kuondolewa kwa njia ya kura.
Pia katika nchi hizo hawana uwezo kudhibiti runinga, redio na magazeti jjinsi anavyoweza Mzee Pution kwake Urusi. Kwao si rahisi vile kulenga habari jinsi wanavyoona,
Hivi hawa jamaa wanafaidika nini na huu ujinga?
Huu mkwara waliutoa miaka 11 imepita sasa, No Action Just Blah blah tu...Hawezi sababu vyuma vya maana hana yani urusi kamshika pabaya sababu anaweza akamzimia system zake tu nchi ikaenda gizani ghafla kisha akampiga kata funua za maana pasipo hata kutumia nyuklia πππ!
Liuthania atakula kipigo na msaada atakaopewa ni silaha tu.
View attachment 2278975
πΊπΈ Russian hackers took down the entire network of the US Federal Tax Service, it has not yet been restored.
Payments, declarations, tax reports were submitted through the site, now everything is happening in a slow, "paper" mode. βοΈ
Jedwali (Nina imani unamaanisha la kule Wikipedia) lipo wazi. Karibu Kila idadi ya ndege iliyotajwa imewekewa chanzo cha habari hiyo, kwenye jedwali sijaona chanzo kinachoeleza kuwa Kuna ndege zimetoka Bulgaria na kufika Ukraine April. Kwanza kwa ndege zilizotoka nchi za Ulaya kwenye jedwali hilo, sehemu ya remarks wamesema "the undisclosed countries" kuonyesha hawataki kusema Silaha hizo zimetoka wapi.Menginevyo jedwali inaingiza pia zile SU25 kutoka Bulgaria z