Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Habari njema ila wakuu link za telegram kama zipo nazihitajia Galip Vrl na wengne wote wenye link zakueleweka manning
Na pro haki amani uhuru umoja kujipenda na kujitegemea wooote link mhim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andiko makini sana hili.
 
@Yoda , FUSO na UPOPO kamsaidieni Super power wenu ku restore mfumo wake wa huduma ya kodi unaochezewa na Vijana wa putin kama gemu la nyoka kwenye simu ya kiswaswadu.

Viva[emoji635][emoji635][emoji635].
Mbona kawaida tu ,hata wanaigeria wanaweza sisi watanzania tunaona ajabu au
 
Shukran MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The LPR army confirms that Lisichansk is completely surrounded.

All roads out of the city are controlled by the Armed Forces of the Russian Federation and the LPR army.
Habari njema sana hizi
Juu hapo nlimwambia mtu mpaka kufikia katikati ya week ijayo natumaini kubwa sana kwamba hilo litakua eneo huru nasalama sana chini ya RUSSIA
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilisema kwa taifa kubwa kama US hii ni aibu kama system zao nyeti zinakua hacked hii ni AIBU
Unajua haya unayoyaandika hapa unaandika kama maneno TU ya kawaida na wala hujali.
Lakini Mimi nakuambia Kuna watu wanaumia na kuugulia sana ndani ya mioyo Yao.
Wao Huwa wanaamini kuwa,Marekani haiwezekani kwa chochote.
Wanaamini Marekani ni kila kitu.
Kumbe Kuna vitu Marekani inaburuzwa kama mkia wa kenge.
Leo wanashuhudia kwa macho,wanaugulia ndani kwa ndani.
Hawa ndio walikua wanaamini kua Urusi ni taifa masikini na dhaifu sana,Leo wanashuhudia hao waliokua wanadhaniwa ni matajiri wenye nguvu za uchumi na kijeshi wanadhalilishwa na nchi moja TU Urusi,ambayo waliamini ni maskini.
Wewe uliwahi kuwaza siku moja nchi za ulaya zitaokota Kuni?
Kikwetu tuanaita kusenya Kuni.
Uliwaza watakua na kitu kama mgao wa umeme?
Bideni aliwaambia watu wake waendeshe baiskeli kubana matumizi ya mafuta.
Leo ulaya Kuna wakimbizi,hofu ya njaa,hofu ya baridi,hofu ya kuvamiwa au kupigwa,hofu ya mfumuko wa Bei,hofu ya kupunguzwa kazini.
Hata Ile Hali ya kuonekana TU kuwa Kuna silaha Urusi anazo Marekani sio TU kua Hana,maana wanaweza kusema Hana shida nazo,Bali kuona Marekani anatamani kuwa nazo lkn hawezi kutengeneza,
Kibaya zaidi kajaribu kutengeneza lakini kashindwa.
Hii inawauma sana.
Walisema Urusi itaishiwa Hela,haijaishiwa,
Itaishiwa silaha,haijaishiwa.
Nchi za NATO zimechangishana silaha wewe,lkn silaha hazijaonesha msaada,
Sasa wananchi wao wameanza kuandamana kuikataa NATO na kukataa Ukraine asipewe silaha.
Yote haya yamesababishwa na Urusi,nchi iliyoaminika kua ni dhaifu na masikini.
Leo Marekani wahuni killnet wamevamia kimtandao mifumo Yao ya Kodi,bado hawajaifufua.
Ukweli Kuna watu wanaumia sana kwa haya yanayomfika Marekani.
 
Nashukuru MKUU kwakumuona jamaa anavyorukaruka
Anataka aifanye nyeupe ionekane kijani nakinyume chake [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ni mjanjamjanja sana nilikua namfatilia pale mlipokua mnasemezana.
Nikaona anajaribu kukwepa maneno yake.
Nikaona siwezi kukuacha comrade mwenzangu akuruke kirahisi namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ