Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zile S-400 hazikuwekwa hapo kisiwani ?
Sometime Ukraine ielewe. Pale kisiwano Warusi wamejiondoa halafu kijinga ukraine wakajakama vile wamewashinda, wasijiulize why hawa wanajiondoa? Matoke mvua ya phosphorus imenyesha wanalalmika anatumia mabomu yasiyofaa. Yaani Urusi atawamaluza tekiniki zake za kuji withdraw mnakuja kujaa anawaua halafu anaendelea

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nilikuomba kusoma kwa umakinifu. Jinsi unavyosema, jedwali katika makala ya wikipedia lipo wazi. Makala hii ni mfano mzuri maana inaonyesha vyanzo vyake (si vile kote wikipedia, mara nyingi hapa JF haiko kabisa).
Ukiangalia tanbiki na. 58, unapelekwa kwenye chanzo kwenye tovuti ya Oryx. Hapo utasoma "Aircraft 14 Su-25s [April 2022] (Officially delivered to NATO countries for political reasons)". Natumaini kwamba utatambua ishara ya bendera.
 
They should go to the streets.Kiongozi asiyefaa anaweza kuondolewa by Peoples' Power,ni ujinga tu uliokithiri.So wasubiri wafe!!!!!!????
Mkuu, kwa bahati mbaya hueleweki. Nani aende barabarani kwa kusudi gani?

Nilieleza hapo juu ni dhahiri viongozi wa EU wanafuata matakwa ya idadi kubwa ya wananchi wao. Katika mfumo wao wa kisiasa wanategemea kura ya wananchi wao si rahisi kwenda kinyume kabisa.

Inaonekana mashambulio ya Urusi dhidi ya Ukraine yamesababisha hofu na hasira kati ya mataifa ya Ulaya na kuwahamasisha washikamane zaidi, pamoja na kusaidia Ukraine.

Hapo naona viongozi wanafuata, ambayo inaeleza mabadiliko ya ghafla katika mwelekeo wa viongozi wa nchi kama Uswidi, Finland na Ujerumani.
 
Donbass yote imechukuluwa,lysichak has fallen too


Hapana si vile. Kwanza ujifunze kuandika majina ya Kirusi na Kiukraine. Mji unaitwa Lysichansk
pili haikuanguka (wala kutekeleza wala kuruka wala kulala).
Lysichansk bado inatetewa na jeshi la Ukraine. Ingawa kwa matatizo, hatujui watafaulu kutetea kwa muda gani.
Usichafushe jukwaa hii na propaganda ya Kadyrov.
 
Umeanza na mifano ya dojo na kumaliza mbinu za kimedani.
Aisee wewe lazima utakua special force TU.
πŸ’ͺπŸ˜πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…