Hahahahah kiminyo cha kende za NATO kinaendelea😀😀😀Russia imeongeza bidhaa zinazopaswa kulipiwa kwa rubo,
Nafaka zote Sasa kulipiwa kwa rubo[emoji4][emoji116]View attachment 2279628
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unashindwa ku-present mawazo yako vizuri?Kama ni msomi,you need to go back to school.Kama ningekuwa your lecturer I would give you 30%!Mkuu naona uko mbali sana na maisha halisi. Katika nchi tunazojadili, wananchi wana haki kujadili mawazo yao, kuthibitisha na kuondoa serikali.
Media zao zina kasoro nyingi lakini zina uhuru kukosoa serikali.
Je unatambua uhuru huo katika nchi gani ?
Pandisha sumu tukupige nyingine kiazi weweAcha ushamba wewe mrusi wa chato, JF si ya babu yako.
Kiazi Baba yakoPandisha sumu tukupige nyingine kiazi wewe
Mkuu naona hupendi kujadili yale ambayo mimi napenda kuangalia. Kwa hiyo ninashukuru kwa 30% zako . Tafadhali tumalize gumzo.Mbona unashindwa ku-present mawazo yako vizuri?Kama ni msomi,you need to go back to school.Kama ningekuwa your lecturer I would give you 30%!
🙏Mkuu naona hupendi kujadili yale ambayo mimi napenda kuangalia. Kwa hiyo ninashukuru kwa 30% zako . Tafadhali tumalize gumzo.
Woote sasa tutaicheza hii ngoma....... Mpaka sie watu wa bara letu la giza tuanze kuzisaka hizo currency za hugo mwamba, ila ni bora tumepewa option ya kununua ili tuje kuziba huu upungufu wa ngano
Tena wewe ni kiazi mbatata kabisaKiazi Baba yako
Russia imeongeza bidhaa zinazopaswa kulipiwa kwa rubo,
Nafaka zote Sasa kulipiwa kwa rubo[emoji4][emoji116]View attachment 2279628
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaa hapo hapo utuletee nyepesi nyepesiiiii.Yet we keep loosing cities everyday, Wakuu nataka kuleft hii source, wanapiga sana Propaganda.
lengo hapo ni moja ni Baralus kugawana Western Ukuraini na Mrusi, hapo kinacho tafutwa ni "pretext cause" au kisingizio cha kuingia kwenye vita awe upande wa Urusi.Lukashenko Says Ukraine Fired Missiles At Belarus
Belarusian President Alexander Lukashenko on Saturday said his army had shot down missiles fired into their territory from Ukraine and vowed to respond "instantly" to any enemy strike.
"We are being provoked," Lukashenko was quoted as saying by state news agency Belta. "I must tell you that around three days ago, maybe more, they also tried to strike military targets in Belarus from Ukraine.
"Thank God, our Pantsir anti-air systems intercepted all the missiles fired by the Ukrainian forces."
Ukraine last week said missiles fired from Belarus had struck a border region inside its territory.
Lukashenko on Saturday denied his country was seeking to intervene in the conflict between Russia and Ukraine, but issued a warning aimed at Kiev and its Western allies.
"As I said more than a year ago, we do not intend to fight in Ukraine," he said
"We will only fight in one case. If you... enter our land, if you kill our people, then we will respond," he added, warning that Belarus would reply "instantly" to an enemy strike on its soil.
Long-term Kremlin ally Belarus has supported Russia's military operation in Ukraine since February 24 by acting as a rear base for Moscow's forces.
Russian President Vladimir Putin announced last week that Moscow would deliver Iskander-M missiles capable of carrying nuclear weapons to Belarus "in the coming months".
"Less than a month ago, I ordered our armed forces to put in our sights the decision centers in Western capitals," Lukashenko said on Saturday, citing the missiles promised by Putin and the Belarusian rocket-launcher Polonez.
lengo hapo ni moja ni Baralus kugawana Western Ukuraini na Mrusi, hapo kinacho tafutwa ni "pretext cause" au kisingizio cha kuingia kwenye vita awe upande wa Urusi.
Sidhani kama Ukuraini itabaki na eneo la kujifanya iwe tishio tena kwa Urusi itabakiza tu jina, na huenda ikawa landlocked bila bahari, nina wakika baada ya Donibas Region lazima Urusi aipige odesa ndo hapa atamalizia oparation yake Ukuraini bye bye Nato imekuponza vibaya.
Mkuu, kwa bahati mbaya hueleweki. Nani aende barabarani kwa kusudi gani?
Nilieleza hapo juu ni dhahiri viongozi wa EU wanafuata matakwa ya idadi kubwa ya wananchi wao. Katika mfumo wao wa kisiasa wanategemea kura ya wananchi wao si rahisi kwenda kinyume kabisa.
Inaonekana mashambulio ya Urusi dhidi ya Ukraine yamesababisha hofu na hasira kati ya mataifa ya Ulaya na kuwahamasisha washikamane zaidi, pamoja na kusaidia Ukraine.
Hapo naona viongozi wanafuata, ambayo inaeleza mabadiliko ya ghafla katika mwelekeo wa viongozi wa nchi kama Uswidi, Finland na Ujerumani.
Kaa Kaa kwanza! Na kama hiyo source inatoa ruhusa ya kutoa maoni, wakosoe kuwa mnazidisha uongo!!!View attachment 2279686
[emoji845]Share with all your friends in Russia[emoji845]
The total estimated losses of the Russian army for today.
#StopPutin #StopRussia
======
Yet we keep loosing cities everyday, Wakuu nataka kuleft hii source, wanapiga sana Propaganda.
View attachment 2279686
[emoji845]Share with all your friends in Russia[emoji845]
The total estimated losses of the Russian army for today.
#StopPutin #StopRussia
======
Yet we keep loosing cities everyday, Wakuu nataka kuleft hii source, wanapiga sana Propaganda.
Bunge Je!?Ndio maana Macroni ameshinda Urais na mpinzani aliyekuwa na sera za kinyume na NATO akashindwa.