Nitashangaa sana kama mrusi ataendelea kupigana vita hii kwa miaka 2, kama itakuwa hivyo jamaa atadhoofu sana kiuchumi.
Vita inatumia akiba yako yoote !! na mbaya zaidi unagombana na mtu anayepewa ma billion ya dolari kwa siku, lazima utachoka tu.
Hawa wajinga kwanini wakimbie badala ya kupambana?Jamani kifo ni kitu kibaya Sana kwa binadamu. Wanajeshi wa ukrein baada ya kuona wamezidiwa walikimbia kwa Namna tofauti. Wengine walitumia gari, pilipiki, kutimua mbio Kali kabisa huku wengine wakitambaa mithili ya mdudu nyoka
View attachment 2279996
Hii kauli toka vita inaanza mnaisema mlisema hawezi kupigana vita kwa mwezi, mara miezi 2 sasa naona mmefikia miaka 2
Ukombozi wa bara Africakipi ambacho nimesema urongo hapo?
Nitajie nchi inayotumia lugha ya kirusi kufundishia, kama haipo kwa nini?
Nitajie misaada walau miwili tu mikubwa ambayo Urusi inatoa katiba bara la Africa, kama haipo why?
Nitajie msaada wa haki za kibinadamu, demokrasia na kisiasa inayotolewa Africa, kama haipo why?
Nitajie nchi yoyote duniani inayofaidika na misaada ya Urusi hasa kwenye sekta ya ELIMU na AFYA, kama haipo why? Je unajua ARV's zinatolewa kwa hisani ya nani ?
Ni hivi ndugu kama haipo basi jibu ulilotoa limeshakurudia weye !!
Hahahaha,inshu sio majimbo,ni "natural resources"zilizopo kwenye hayo majimbo😆😆Jukwaa ningelikimbia kama mngeiteka Kiev, ila sasa mpo tu kwenye yale yale, hamna kikubwa, kuteka tumiji twa huko sijui wapi kama Katavi.
Huto tumiji tumewapa shida sana nyie watu, aibu sana.
Mtapata shinda mno kumringanisha Mrusi na US.. kwa sababu kuu zifuatazo
1. Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndiyo maana ni mataifa machache sana duniani yanaongea kurusi, hakuna nchi yoyote Africa inaongea Kirusi ama kutumia lugha hiyo kufundishia.
2. Pesa zake nyingi anatumia kutengeneza vifaa vya kivita rather than helping other developing countries ku bust chumi zao pamoja na mambo ya kukuza demokrasia hasa Africa.
3. Mrusi si muumini wa demokrasia, yeye anaamini u-dikteta - anapenda mataifa yanayotawaliwa kidikteta.
4. Hana influence yoyote Africa, Ulaya na America - labda kwao Asia tena si nchi zote zinamkubali.
5. Hana bajeti yoyote Africa, tena hapa Tanzania bila US watu wangekuwa wanakufa hovyo majumbani kwa ngoma... Asante US kwa misaada yenu hasa huu wa USAID Tanzania; Tanzania PEPFAR | MHRP
Bado natafuta huu wa https://www.russiaid.gov/Tanzania... google inagoma.
Sasa huyu kumsabikia ni lazima na wewe uwe na kasumba kama za kwake.
Maana yake OP inaendelea[emoji23][emoji4][emoji16]View attachment 2280707
[emoji298]️ It is necessary to push the enemy further than the territories of Lugansk following the region’s liberation - LPR Head
The de-Nazification of Ukraine as a whole has not yet been called off, Leonid Pasechnik said.
Wajerumani buana imebidi tu nicheke. Kama NATO inawapeleka shimoni si waachane nayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji96] We shall become a people known for smelling badly - Germany
Hot water and gas rationing — what awaits the Germans this winter.
Hamburg residents need to prepare for a normalized supply of gas and hot water, said the city's senator on environmental issues.
"We are in a much worse crisis than many realize," said Jens Kerstan.
The authorities of one of the largest cities in Germany are already exploring the possibility of limiting the temperature in heating networks.
Residents are advised to refuse to take baths, go to the shower "quickly" and independently reduce the temperature in the house during the heating season.
According to the senator, these measures are necessary to prevent the shutdown of the industry due to gas shortages.
A striking example for the rest of the Germans is Vice Chancellor Habek, who has already begun to wash less often.
Wanakimbilia huko sababu stupid African leaders hawatakuwa na access nao. Ni sawa na mtoto wako akitibua kaka zake mpirani na kukimbilia kwa baba yake wakiamua kumtia discpline watamkimbiza ila akikimbilia kwako lazma nao wataishia kwako hawatamfikia dogo kumtia makwenzi 😂😂😂!Sasa kwa nini wapinzani kama Lissu na Wanaharakati wakosoaji wa serikali nyingi za Africa bado wanakimbilia huko Ulaya na Marekani kulinda maisha yao??
Hii ni Jana huko Ufaransa, Putin ataziangusha serikali za ulaya Sana.
Leo ni mwendo wa kukupiga spana tu, mpaka akili ikukae sawa, Naenda kujibu hoja yako ya kwanza mpaka ya mwisho kwa mlinganisho wa Russia Vs USA.Mtapata shinda mno kumringanisha Mrusi na US.. kwa sababu kuu zifuatazo
1. Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndiyo maana ni mataifa machache sana duniani yanaongea kurusi, hakuna nchi yoyote Africa inaongea Kirusi ama kutumia lugha hiyo kufundishia.
2. Pesa zake nyingi anatumia kutengeneza vifaa vya kivita rather than helping other developing countries ku bust chumi zao pamoja na mambo ya kukuza demokrasia hasa Africa.
3. Mrusi si muumini wa demokrasia, yeye anaamini u-dikteta - anapenda mataifa yanayotawaliwa kidikteta.
4. Hana influence yoyote Africa, Ulaya na America - labda kwao Asia tena si nchi zote zinamkubali.
5. Hana bajeti yoyote Africa, tena hapa Tanzania bila US watu wangekuwa wanakufa hovyo majumbani kwa ngoma... Asante US kwa misaada yenu hasa huu wa USAID Tanzania; Tanzania PEPFAR | MHRP
Bado natafuta huu wa https://www.russiaid.gov/Tanzania... google inagoma.
Sasa huyu kumsabikia ni lazima na wewe uwe na kasumba kama za kwake.
Hahahahah hawa wajinga si wanaapaga kuifia nchi😂😂😂 ina maana wametoka nduki dah!!!Bloomberg yaripoti kuwa afisa wa jeshi la Ukraine anasema majeshi ya Ukraine yamelikimbia jiji la Lysychansk kutokana na kichapo kikali toka kwa Urusi. Anasema utashi wao (wanajeshi wa Ukraine) wa kupigana na uzalendo wao havikutosha kuwafanya washinde mbele ya Urusi. Anasema wamefanya hivyo ili kuokoa maisha ya wanajeshi hao.
View attachment 2280158View attachment 2280159View attachment 2280160
Hawa naomba PUTIN awapeleke peleke mpaka December hapo kisha afunge koki mazima ili wapoteane 😂😂😂Ikifika winter ndo tutajua ubabe wao
I STAND WITH RUSSIA [emoji635]Leo ni mwendo wa kukupiga spana tu, mpaka akili ikukae sawa, Naenda kujibu hoja yako ya kwanza mpaka ya mwisho kwa mlinganisho wa Russia Vs USA.
1."Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndo maana ni mataifa machache yanayo ongea Kirusi" FUSO
☆JIBU: Urusi ni miongoni mwa mataifa machache duniani yanayotumia lugha yake asilia kama lugha ya taifa, hata sisi Tanzania tupo kwenye list hii kwa kigezo cha kiswahili chetu, lakini Mpaka muda huu USA anatumia lugha ya muingereza (english) kama lugha yake ya taifa. Hivo basi hoja yako ni dhaifu kwasababu Russia ana lugha yake asilia ila USA hana zaidi ya kutumia lugha ya malikia kwa kuivisha jina la kihuni American english.
2. "Pesa zake nyingi anatumia kutengenezea silaha badala ya kusaidia nchi zinazo endelea" FUSO
☆JIBU: Mosi, kila nchi inatumia pesa kulingana na vipaumbele vyake, let say Urusi inatumia pesa zake nyingi kwenye silaha halafu USA inatumia pesa nyingi kwenye kampen ya kueneza Ushoga duniani(kupanga nikuchagua)
Pili, Nchi huru siyo lazima isaidiwe, maana ya kuwa huru nikujitegemea na kuendesha uchumi wako mwenyewe. Aliekuwa Rais wa USA D.Trump aliwahi kusema, "kuendelea kuzisaidia pesa nchi za Africa zilizo dai uhuru wa kujitegemea ni ujinga, kama nchi haziwezi kujitegemea zenyewe bila misaada basi zitawaliwe tena na wanao zisaidia mpaka zitakapo acha kuwa tegemezi" Trump. Hivo basi kwa fact hiyo ya Trump, Hoja yako hii pia ni dhaifu.
3. "Mrusi siyo muumini wa domokrasia ni dictatorship"
JIBU; mosi, Ni ujinga mtupu kufikiri mfumo wa democracy ndo mfumo pekee unaotakiwa kuendesha serikali za nchi zote duniani, kuna mifumo zaidi ya 15 ya kuendesha nchi na kila nchi huamua itumie mfumo upi kulingana na nature yake. mfano, China-Socialism, UK- Kingdomship na French-Democracy.
Pili, Mfumo unaotumika kuendesha serikali ya Russia siyo dictatorship bali ni Federal democratic state.
Tatu, USA unae dai anatumia pure democracy itakuwa hujui hata aina ya democracy anayotumia USA, Raia wa USA kura yake haina nguvu yeyote katika uchaguzi wa Rais je hiyo ndo maana ya democracy? Hoja yako hii pia haina mashiko.
4. "Urusi haina influence yeyote Africa, Ulaya na America" FUSO
JIBU; Mosi, Inaonekana hujui hata maana ya neno "Influence" kitendo cha Uchumi wa nchi za Ulaya kutemea uwepo wa Urusi hiyo siyo Influence? Russia mpaka leo hii ndo influencer mkubwa wa bara la ulaya bila Urusi ulaya nisawa na Afrika tu.
Pili, Kwenye bara la America ukiwatoa N.America (USA na Canada) the rest of Americans (Especially Southern part) wote wapo upande wa Urusi, mfano, Brazil, Argentina na nk.
Tatu; Kama Putin asingekuwa na Influences kwa bara la Africa nchi za Afrika zingebaki neutral kwenye kura ya kuiondoa Urusi kwenye baraza la usalama UN? Au Zelensky angeishia kusikilizwa hotuba yake kwa AU na Viongozi wanne tu kati ya viongozi zaidi ya 50 wa nchi za Africa au Mwenyekiti wa AU angeenda Urusi kuongea na Putin?
HOJA YAKO HII PIA HAINA MASHIKO.
5. "Hana bajeti yeyote kwa nchi za Afrika" FUSO
JIBU: Mosi, Kwani nani alikwambia afrika nisehemu ya Urusi hadi ihusike kwenye bajeti ya Urusi? Nitajie nchi za Afrika ambazo ni makoloni ya Urusi hadi aya include kwenye bajet yake.
Pili; Nchi karibia zote afrika ziliomba uhuru na zikaupata maana yake ziliomba zijitawale na kujiendesha zenyewe sasa bajeti ya Urusi inakuja vipi tena kwa mataifa huru?
Narudia tena kauli ya Trump "Kama nchi za Afrika zimeshindwa kujiendesha bila kutegemea misaada yetu basi zitawaliwe tena"
I STAND WITH RUSSIA [emoji635]
Za ndani kabisa.Majasusi wa beberu wanatumia nguvu kubwa kumshawish Kansela asifate ushaur wa Bi Markel,lkn km hali itaendelea hv kwa muda mref bila shaka mjeruman atakisanua kwa sabab usupa pawa wake ndani ya jumuia ya ulaya unazid kusinyaa kutokana na ukata uliotamalakMjeruman anaumia sana sema anaugulia maumivu kimoyo moyo
Zawadi jasusi wa kimataifa bwana Vladimir Putin😂😂😂Marekani yasema (huku ikiugulia maumivu) kuwa Putin kukabidhiwa jiji la Lysychansk na Ukraine ni zawadi moja kubwa mno!
View attachment 2280164