mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
UMBEA
Kuna mdau@Tugitegemee alipewa heko akasema ni kwa sababu ya upande wa pili kupitia wao tunawajua ni watu wa namna gani.
Katika kuzungukazunguka huku JF nikakutana na mdau wa Pro nato kadeclare kuna ufedhuli alifanyiwaga akiwa mdgo.
Kama ni hivyo kwelii si ndio angekua mstari wa mbele kuwakashifu hapa akili KU mkichwa wandugu kuna agenda inapenyezwa kimkakati.
NB
Sijatoka nje ya mada kama una uono au unafatilia vyema hili sakata EU na US wamewabatiza Ukraine kua n gay nation
Shekh Amani Abeid Karume (Allah amweke pahali pema) alisema koti likikubana livue uvae lingine.Mjeruman anaumia sana sema anaugulia maumivu kimoyo moyo
Duh! alifanyiwa ukatili na bado anawafurahia hawa masheitwani!!UMBEA
Kuna mdau@Tugitegemee alipewa heko akasema ni kwa sababu ya upande wa pili kupitia wao tunawajua ni watu wa namna gani.
Katika kuzungukazunguka huku JF nikakutana na mdau wa Pro nato kadeclare kuna ufedhuli alifanyiwaga akiwa mdgo.
Kama ni hivyo kwelii si ndio angekua mstari wa mbele kuwakashifu hapa akili KU mkichwa wandugu kuna agenda inapenyezwa kimkakati.
NB
Sijatoka nje ya mada kama una uono au unafatilia vyema hili sakata EU na US wamewabatiza Ukraine kua n gay nation.
Hahahaha,inshu sio majimbo,ni "natural resources"zilizopo kwenye hayo majimbo😆😆
Wakati ufaransa wakiwaweka blacks kwenye zoo. Soviet ilikuwa inatoa scholarship ya vijanq kusoma LumumbaUkombozi wa bara Africa
Vipi Kuhusu Nchi iliyokataza mauzo ya ngano kwa Nchi za kiafrika huku ikiharibu kundi kubwa la Vijana (nguvukazi) kwa USHOGA
mwisho kasome history Mkuu there is a great role played by USSR/RUSSIA towards Africa's development since colonialism till nowadays
Warusi wapi hao? Wanaokaribia kumgeuka Putin?kujiunga na NATO hakijakuwa ujinga kwa mtu makini. na ndiyo maana tunaona Poland na Sweeden wamejiunga majuzi. Naona Putin his days are numbered, warusi wenzake wanakaribia kumgeuka.
Atachokaje na wakati ameteka bandari ya nchi na anapokea hela zote za biashara?Nitashangaa sana kama mrusi ataendelea kupigana vita hii kwa miaka 2, kama itakuwa hivyo jamaa atadhoofu sana kiuchumi.
Vita inatumia akiba yako yoote !! na mbaya zaidi unagombana na mtu anayepewa ma billion ya dolari kwa siku, lazima utachoka tu.
Wewe jamaa ni wa kupima kabisa. Nini hiki sasa unachosema hapa? Inaonekana unapenda misaada sana.Mtapata shinda mno kumringanisha Mrusi na US.. kwa sababu kuu zifuatazo
1. Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndiyo maana ni mataifa machache sana duniani yanaongea kurusi, hakuna nchi yoyote Africa inaongea Kirusi ama kutumia lugha hiyo kufundishia.
2. Pesa zake nyingi anatumia kutengeneza vifaa vya kivita rather than helping other developing countries ku bust chumi zao pamoja na mambo ya kukuza demokrasia hasa Africa.
3. Mrusi si muumini wa demokrasia, yeye anaamini u-dikteta - anapenda mataifa yanayotawaliwa kidikteta.
4. Hana influence yoyote Africa, Ulaya na America - labda kwao Asia tena si nchi zote zinamkubali.
5. Hana bajeti yoyote Africa, tena hapa Tanzania bila US watu wangekuwa wanakufa hovyo majumbani kwa ngoma... Asante US kwa misaada yenu hasa huu wa USAID Tanzania; Tanzania PEPFAR | MHRP
Bado natafuta huu wa https://www.russiaid.gov/Tanzania... google inagoma.
Sasa huyu kumsabikia ni lazima na wewe uwe na kasumba kama za kwake.
😂😂😂😂😂😂 watakuwa ni nchi ya wanuka vikwapa hii ni habari njema mno.Wajerumani buana imebidi tu nicheke. Kama NATO inawapeleka shimoni si waachane nayo 🤣🤣🤣
💢 We shall become a people known for smelling badly - Germany
Hot water and gas rationing — what awaits the Germans this winter.
Hamburg residents need to prepare for a normalized supply of gas and hot water, said the city's senator on environmental issues.
"We are in a much worse crisis than many realize," said Jens Kerstan.
The authorities of one of the largest cities in Germany are already exploring the possibility of limiting the temperature in heating networks.
Residents are advised to refuse to take baths, go to the shower "quickly" and independently reduce the temperature in the house during the heating season.
According to the senator, these measures are necessary to prevent the shutdown of the industry due to gas shortages.
A striking example for the rest of the Germans is Vice Chancellor Habek, who has already begun to wash less often.
Pia walifadhili kwa kiasi lii kikubwa liberation movements hapa AfricaWakati ufaransa wakiwaweka blacks kwenye zoo. Soviet ilikuwa inatoa scholarship ya vijanq kusoma Lumumba
Kwa mawazo kama haya, ndo maana hao NATO wanatuita "third world countries".Mtapata shinda mno kumringanisha Mrusi na US.. kwa sababu kuu zifuatazo
1. Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndiyo maana ni mataifa machache sana duniani yanaongea kurusi, hakuna nchi yoyote Africa inaongea Kirusi ama kutumia lugha hiyo kufundishia.
2. Pesa zake nyingi anatumia kutengeneza vifaa vya kivita rather than helping other developing countries ku bust chumi zao pamoja na mambo ya kukuza demokrasia hasa Africa.
3. Mrusi si muumini wa demokrasia, yeye anaamini u-dikteta - anapenda mataifa yanayotawaliwa kidikteta.
4. Hana influence yoyote Africa, Ulaya na America - labda kwao Asia tena si nchi zote zinamkubali.
5. Hana bajeti yoyote Africa, tena hapa Tanzania bila US watu wangekuwa wanakufa hovyo majumbani kwa ngoma... Asante US kwa misaada yenu hasa huu wa USAID Tanzania; Tanzania PEPFAR | MHRP
Bado natafuta huu wa https://www.russiaid.gov/Tanzania... google inagoma.
Sasa huyu kumsabikia ni lazima na wewe uwe na kasumba kama za kwake.
Vyombo vya magharibi ni hovyo kabisa mkuu.MANATO wajinga mnooo
Wanadhania sisi tunaojitambua bado tumebakia nyuma kiasi kwamba hatuamini mpaka waseme BIIBIISIII
Huo mji wanakanusha toka majuzi huko BIIBIISII SIENI ENI nk
Wakat sisi tunajua jiji lilishaanguka muda sanaaaa
RUSSIA TAIFA TEULE
Sent using Jamii Forums mobile app
Umempa shule ya chuo bora kabisa.Leo ni mwendo wa kukupiga spana tu, mpaka akili ikukae sawa, Naenda kujibu hoja yako ya kwanza mpaka ya mwisho kwa mlinganisho wa Russia Vs USA.
1."Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndo maana ni mataifa machache yanayo ongea Kirusi" FUSO
☆JIBU: Urusi ni miongoni mwa mataifa machache duniani yanayotumia lugha yake asilia kama lugha ya taifa, hata sisi Tanzania tupo kwenye list hii kwa kigezo cha kiswahili chetu, lakini Mpaka muda huu USA anatumia lugha ya muingereza (english) kama lugha yake ya taifa. Hivo basi hoja yako ni dhaifu kwasababu Russia ana lugha yake asilia ila USA hana zaidi ya kutumia lugha ya malikia kwa kuivisha jina la kihuni American english.
2. "Pesa zake nyingi anatumia kutengenezea silaha badala ya kusaidia nchi zinazo endelea" FUSO
☆JIBU: Mosi, kila nchi inatumia pesa kulingana na vipaumbele vyake, let say Urusi inatumia pesa zake nyingi kwenye silaha halafu USA inatumia pesa nyingi kwenye kampen ya kueneza Ushoga duniani(kupanga nikuchagua)
Pili, Nchi huru siyo lazima isaidiwe, maana ya kuwa huru nikujitegemea na kuendesha uchumi wako mwenyewe. Aliekuwa Rais wa USA D.Trump aliwahi kusema, "kuendelea kuzisaidia pesa nchi za Africa zilizo dai uhuru wa kujitegemea ni ujinga, kama nchi haziwezi kujitegemea zenyewe bila misaada basi zitawaliwe tena na wanao zisaidia mpaka zitakapo acha kuwa tegemezi" Trump. Hivo basi kwa fact hiyo ya Trump, Hoja yako hii pia ni dhaifu.
3. "Mrusi siyo muumini wa domokrasia ni dictatorship"
JIBU; mosi, Ni ujinga mtupu kufikiri mfumo wa democracy ndo mfumo pekee unaotakiwa kuendesha serikali za nchi zote duniani, kuna mifumo zaidi ya 15 ya kuendesha nchi na kila nchi huamua itumie mfumo upi kulingana na nature yake. mfano, China-Socialism, UK- Kingdomship na French-Democracy.
Pili, Mfumo unaotumika kuendesha serikali ya Russia siyo dictatorship bali ni Federal democratic state.
Tatu, USA unae dai anatumia pure democracy itakuwa hujui hata aina ya democracy anayotumia USA, Raia wa USA kura yake haina nguvu yeyote katika uchaguzi wa Rais je hiyo ndo maana ya democracy? Hoja yako hii pia haina mashiko.
4. "Urusi haina influence yeyote Africa, Ulaya na America" FUSO
JIBU; Mosi, Inaonekana hujui hata maana ya neno "Influence" kitendo cha Uchumi wa nchi za Ulaya kutemea uwepo wa Urusi hiyo siyo Influence? Russia mpaka leo hii ndo influencer mkubwa wa bara la ulaya bila Urusi ulaya nisawa na Afrika tu.
Pili, Kwenye bara la America ukiwatoa N.America (USA na Canada) the rest of Americans (Especially Southern part) wote wapo upande wa Urusi, mfano, Brazil, Argentina na nk.
Tatu; Kama Putin asingekuwa na Influences kwa bara la Africa nchi za Afrika zingebaki neutral kwenye kura ya kuiondoa Urusi kwenye baraza la usalama UN? Au Zelensky angeishia kusikilizwa hotuba yake kwa AU na Viongozi wanne tu kati ya viongozi zaidi ya 50 wa nchi za Africa au Mwenyekiti wa AU angeenda Urusi kuongea na Putin?
HOJA YAKO HII PIA HAINA MASHIKO.
5. "Hana bajeti yeyote kwa nchi za Afrika" FUSO
JIBU: Mosi, Kwani nani alikwambia afrika nisehemu ya Urusi hadi ihusike kwenye bajeti ya Urusi? Nitajie nchi za Afrika ambazo ni makoloni ya Urusi hadi aya include kwenye bajet yake.
Pili; Nchi karibia zote afrika ziliomba uhuru na zikaupata maana yake ziliomba zijitawale na kujiendesha zenyewe sasa bajeti ya Urusi inakuja vipi tena kwa mataifa huru?
Narudia tena kauli ya Trump "Kama nchi za Afrika zimeshindwa kujiendesha bila kutegemea misaada yetu basi zitawaliwe tena"
I STAND WITH RUSSIA [emoji635]
Hii ndio inaonyesha jinsi gani alivyo mweupe kichwaniKwa mawazo kama haya, ndo maana hao NATO wanatuita "third world countries".
Yani hata harakati za Ukombozi wa bara la Africa kutoka kwa Ukoloni hukumbuki chochote??
tafuteni press conference aliofanya huyo mwanama liz truss na sergei lavrov juu ya mgogoro wa ukraine. Huyo mama ni kilaza sana mpaka waingereza wenyewe waliochangia youtube wamejisikia aibu. Si kila mzungu dunia hii ni ya kwake. Sergei lavrov anatishaBritain plans to confiscate frozen Russian assets and transfer them to Ukraine.
According to The Guardian, this proposal was made today by British Foreign Secretary Liz Truss at a conference in Switzerland.
According to Truss, this initiative will probably require changes in the country's legislation. “I support this concept. We are considering it very carefully, ”the publication quotes her.
Earlier, plans to confiscate and transfer seized Russian assets to Ukraine were announced in the US Department of Justice.
Also, G7 members intend to explore options for providing support to Kyiv, including using the frozen assets of the Russian Federation.View attachment 2280579
hamna jibu la maana hapo alichoandika ni propagandaUmempa shule ya chuo bora kabisa.
Nahisi killnet wamemfanya yaoOfficial acc ya jeshi la UK ya twitani nasikia wahuni wamepita nayo
[emoji4][emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app