Ifikie kipindi The West wachutameGOOD NEWS
🎾 British tennis authorities have reportedly received fines totalling almost £1 million ($1.2 million) by the Women’s Tennis Association over their decision to stop Russian and Belarusian players from Wimbledon.
Tupo pamoja, Mkuu.Hiyo kichwa ya FUSO inahitaji msasa wa ziada...
Largest Producer
Largest Consumer
Largest Reserve
Term 3 tofauti zenye implications tatu tofauti.
Mr Tyang una zalisha gunia 7 za Mchele kwa mwaka... (Production)
Mr Tyang una tumia gunia 9 za mchele kwa mwaka... (Consumption)
Mr Tyang una akiba ya "Mpunga" Gunia 1,000 kwenye Godown yako (Reserves)
Vs
Qibsyl ana zalisha gunia 7 za mchele kwa mwaka... (Production)
Qibsyl ana tumia gunia 1 la mchele kwa mwaka... (Consumption)
Qibsyl ana akiba ya 'Mpunga' Gunia 75,000 kwenye Godown lake. (Reserves)
Hizo Data Pro-Russia tu wenye akili timamu ndio wanaoweza kung'amua zina maana gani.
1. Mr Tyang anazalisha kingi kuliko Qibsyl lakini ana deficit kutokana na matumizi makubwa kuliko uzalishaji, Hivyo Qibsyl anabaki na akiba nyingi baada ya matumizi hivyo kufanya biashara zaidi.
That's Russia vs USA, kama vipi Pro-WEST watoe data za Russia kufanya Imports ya Gas kama anavyofanya US kutoka mataifa mengine. Russia in term of Gas anafanya Exports tu.
2. Mr Tyang ana reserves ndogo kulinganisha na Qibsyl, kwa rate yake ya uzalishaji mchele ukilinganisha na akiba ya mpunga aliyonayo haina maisha marefu ukilinganisha na akiba aliyonayo Qibsyl
Hii ipo kwa Russia na US katika Reserves, Russia anaweza kuongeza uzalishaji mda wowote kama demand itaongezeka, na uwezo wa kufanya hivyo anao kwasababu store kuna mzigo wa kutosha.
Hayo ni kwa uchache tu, Pro-West hata hesabu hamjui, ku-analyze mambo hamjui. Of course ndio maana mnalilia saaaaana msaada wa ARV kwasababu uwezo wa kutumia mafuvu yenu hamna.
Kuna nchi zaidi ya 200 dunian, yet wanawaambia almost over 30% of natural resources ziko Russia hamjiongezi?
Kauli ya Hitler enzi zake aliposema ukitaka kuitawala dunia, Itawale Russia mnafikiri alikuwa analenga wapi?
Kama United Shit of America in Qibsyl voice inao uwezo wa kufidia Gap la Russia, huko kwao bei inapanda to all time high kwasababu gani? US anae haha kwenda Venezuela mara Iran kwa mataifa aliyoyapa vikwazo visivyo halali kutafuta wese, kutafuta Gas. Kama anayo ya kutosha huko anatafuta nini?
Je mshawahi kusikia Russia kaenda Saudia Arabia kuomba Gas? Alishawahi kwenda Iran kuomba Oil? Alishawahi kwenda kwa Malkia kuomba Feltilizers? Alishawahi kwenda China kuomba Ngano? Alishawahi kuja Tanzania kuomba Chuma au Makaa ya Mawe?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Post zingine ukizisoma za Pro-West kama unakunywa maji unaeza "Pahaliwa"... At least Grand Master hana unafiki wa wenzie, Nyeusi anaita Nyeusi na Kijani anaita Kijani.
Ha ha hahahaha! Hivi vibonzo vitawafanya wakimbie uzi viache kwanza. Ha ha hahahaha AAA!😂😂😂ndugu Yao akina FUSO , britanicca , Coco reborn n.k yamemkuta ya kumkuta hebu msikilize.
Kadyrov is wilding again 😂😂😂
“I, the president of Ukraine, the supreme commander of the armed forces of Ukraine hereby agree to the full capitulation—demilitarization— denazification of Ukraine of all forces in the air, on the sea and on the land within a month of signing this decree. Akhmat Sila. I will sign it here”
View attachment 2280774
[emoji1732][emoji1732][emoji1732]Ile february op ilipoanza, Zile packege za sunctions zilivyokuwa zinatangazwa na kila nchi nikajua Russia wameingia cha kike. Haswa ile ya kuizuia russia kufanya miamala ya kimataifa kupitia swift, benki zake kuzuiwa kufanya biashara, asset zake nje ya nchi kuwa freeze, nikajua russia ndio basi tena.
Jinsi biden alivyokuwa akitoa kauli za kishujaa, dah kumbe hamna kitu. Mara rubo ikashuka thamani kwa 100% nyingi dhidi ya dola. Ikafuatia warusi waliowekeza nje mali zao kutaifishwa au kushikiliwa na serekalai za magharibi. Ref Abromovich na chelsea yake.
Dah kwa sasa mdogo mdogo wanaufyata, mkuki umegeukia kifuani kwao, unatishia kuwachoma. Macdonald sasa inaoperate kwa jina lingine wateja ni walewale. Swift imegeuka mtego kwao. Sasa wanalipa kwa rubo [emoji16][emoji16] bidhaa iliyopaswa kulipiwa kwa dola. Wale viongozi viburi aina ya zele wamekatiwa huduma sasa ni kilio na kusaga meno huko poland nk. Maisha yao yamekuwa magumu kuliko ya warussi waliokuwa wamelengwa na vikwazo.
Credit ziende kwa Rutin rais bora tangu karne ya 18.
Dimietry Mediedev mkuu wa usalama wa taifa. Mkuu wa majeshi Shaigu. GUR, nk
Pongezi kwa pro russia wote hapa jukwaani kwa mchanfo mkubwa mnaoonyesha kupangua hija dhaifu za wale western pro.
Kutokana na baadhi ya Pro-West kama FUSO kuwa na akili mgando, inatubidi tu tutumie mifano kama huu uliyotumia wa magunia ya mpunga ili waelewe vizuri.Hiyo kichwa ya FUSO inahitaji msasa wa ziada...
Largest Producer
Largest Consumer
Largest Reserve
Term 3 tofauti zenye implications tatu tofauti.
Mr Tyang una zalisha gunia 7 za Mchele kwa mwaka... (Production)
Mr Tyang una tumia gunia 9 za mchele kwa mwaka... (Consummation)
Mr Tyang una akiba ya "Mpunga" Gunia 1,000 kwenye Godown yako (Reserves)
Vs
Qibsyl ana zalisha gunia 7 za mchele kwa mwaka... (Production)
Qibsyl ana tumia gunia 1 la mchele kwa mwaka... (Consummation)
Qibsyl ana akiba ya 'Mpunga' Gunia 75,000 kwenye Godown lake. (Reserves)
Hizo Data Pro-Russia tu wenye akili timamu ndio wanaoweza kung'amua zina maana gani.
1. Mr Tyang anazalisha kingi kuliko Qibsyl lakini ana deficit kutokana na matumizi makubwa kuliko uzalishaji, Hivyo Qibsyl anabaki na akiba nyingi baada ya matumizi hivyo kufanya biashara zaidi.
That's Russia vs USA, kama vipi Pro-WEST watoe data za Russia kufanya Imports ya Gas kama anavyofanya US kutoka mataifa mengine. Russia in term of Gas anafanya Exports tu.
2. Mr Tyang ana reserves ndogo kulinganisha na Qibsyl, kwa rate yake ya uzalishaji mchele ukilinganisha na akiba ya mpunga aliyonayo haina maisha marefu ukilinganisha na akiba aliyonayo Qibsyl
Hii ipo kwa Russia na US katika Reserves, Russia anaweza kuongeza uzalishaji mda wowote kama demand itaongezeka, na uwezo wa kufanya hivyo anao kwasababu store kuna mzigo wa kutosha.
Hayo ni kwa uchache tu, Pro-West hata hesabu hamjui, ku-analyze mambo hamjui. Of course ndio maana mnalilia saaaaana msaada wa ARV kwasababu uwezo wa kutumia mafuvu yenu hamna.
Kuna nchi zaidi ya 200 dunian, yet wanawaambia almost over 30% of natural resources ziko Russia hamjiongezi?
Kauli ya Hitler enzi zake aliposema ukitaka kuitawala dunia, Itawale Russia mnafikiri alikuwa analenga wapi?
Kama United Shit of America in Qibsyl voice inao uwezo wa kufidia Gap la Russia, huko kwao bei inapanda to all time high kwasababu gani? US anae haha kwenda Venezuela mara Iran kwa mataifa aliyoyapa vikwazo visivyo halali kutafuta wese, kutafuta Gas. Kama anayo ya kutosha huko anatafuta nini?
Je mshawahi kusikia Russia kaenda Saudia Arabia kuomba Gas? Alishawahi kwenda Iran kuomba Oil? Alishawahi kwenda kwa Malkia kuomba Feltilizers? Alishawahi kwenda China kuomba Ngano? Alishawahi kuja Tanzania kuomba Chuma au Makaa ya Mawe?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Post zingine ukizisoma za Pro-West kama unakunywa maji unaeza "Pahaliwa"... At least Grand Master hana unafiki wa wenzie, Nyeusi anaita Nyeusi na Kijani anaita Kijani.
Iskander lile dude ni balaa tupu kwa ule mshindo ukiusikia lazima utafute njiaAIBU kwakweli ISKANDER pekee inatosha kuwakalisha NATO
Misaada misaada,😂😂 afrika afrika kwani aliekwambia misaada lazima ni nani? Kwa hii akili sishangai unaposhabikia hao evils...shamekipi ambacho nimesema urongo hapo?
Nitajie nchi inayotumia lugha ya kirusi kufundishia, kama haipo kwa nini?
Nitajie misaada walau miwili tu mikubwa ambayo Urusi inatoa katiba bara la Africa, kama haipo why?
Nitajie msaada wa haki za kibinadamu, demokrasia na kisiasa inayotolewa Africa, kama haipo why?
Nitajie nchi yoyote duniani inayofaidika na misaada ya Urusi hasa kwenye sekta ya ELIMU na AFYA, kama haipo why? Je unajua ARV's zinatolewa kwa hisani ya nani ?
Ni hivi ndugu kama haipo basi jibu ulilotoa limeshakurudia weye !!
Pole Sana,ukweli unaujua Urusi haipigani na Ukraine yenyewe,ina wanajeshi kutoka zaidi ya 30 za mashoga na wengine,inapewa military intelligence na US,pesa,silaha etc,but 🇷🇺 is still fvcking them harder! 3 hrs ago, Putin amesema OP inaendelea,this time mpaka Kiev!tulia,nakuhakikishia,kama 🇷🇺 kufika Kiev ndo benchmark yako kukimbia humu,tulia!Mlikimbilia na kujaribu kuparamia haka kainchi kule Kyev kakashindikana.....
Ndio nimeshakubali kwa kweli ukubwa wa taifa sio kitu, kuna siku Watanzania walipiga makelele sana kumhusu Kagame nilikua najiuliza kainchi saizi ya mkoa kanasababisha nchi yote mlie lie kwani kana nini.... ha ha ha!!!
Hako kainchi ka-Rwanda pia kamekua kero kwa liinchi lote la DRC.
Hivi anaishi chimbo ganiZelenscky km asipojiongeza mwaka huu hatoboi na yey ataitwa mkimbiz
Hawa ndio wanafanya Idadi ya wanaume ipungue duniani. Tunapokosa analyzing power inafanya kila kitu kiwe kigumu, tunatafuta mchawi kumbe wachawi ni sisi wenyewe.Kutokana na baadhi ya Pro-West kama FUSO kuwa na akili mgando, inatubidi tu tutumie mifano kama huu uliyotumia wa magunia ya mpunga ili waelewe vizuri.
Mkuu Galip Vrl tuendelee kuwapiga msasa hawa vichwa kutu kwa kadri ya uwezo wetu na muda tulio nao ili kidogo tunacho waelimisha wakapate kukitumia hata kuendesha familia zao.
maana kuwa baba ambae hawezi kufanya clear analysis ya Reserves, Production, Demand, Consumption and Supply ni hasara na hatari kwa familia anayo iongoza. Maana ukicheza tu vibaya na hesabu ya vitu hivyo unaweza jikuta umelaza Familia njaa.
OPERATION IENDELEE ILI WATU WAZIDI KUPATA CHAKULA CHA UBONGO.
Kwa mujibu wa waandamiz wa Moscow wanasema mpaka anapolala wanapajua,inaonyesha jamaa haish mbali na ikulu yakeHivi anaishi chimbo gani
Hiyo kichwa ya FUSO inahitaji msasa wa ziada...
Largest Producer
Largest Consumer
Largest Reserve
Term 3 tofauti zenye implications tatu tofauti.
Mr Tyang una zalisha gunia 7 za Mchele kwa mwaka... (Production)
Mr Tyang una tumia gunia 9 za mchele kwa mwaka... (Consumption)
Mr Tyang una akiba ya "Mpunga" Gunia 1,000 kwenye Godown yako (Reserves)
Vs
Qibsyl ana zalisha gunia 7 za mchele kwa mwaka... (Production)
Qibsyl ana tumia gunia 1 la mchele kwa mwaka... (Consumption)
Qibsyl ana akiba ya 'Mpunga' Gunia 75,000 kwenye Godown lake. (Reserves)
Hizo Data Pro-Russia tu wenye akili timamu ndio wanaoweza kung'amua zina maana gani.
1. Mr Tyang anazalisha kingi kuliko Qibsyl lakini ana deficit kutokana na matumizi makubwa kuliko uzalishaji, Hivyo Qibsyl anabaki na akiba nyingi baada ya matumizi hivyo kufanya biashara zaidi.
That's Russia vs USA, kama vipi Pro-WEST watoe data za Russia kufanya Imports ya Gas kama anavyofanya US kutoka mataifa mengine. Russia in term of Gas anafanya Exports tu.
2. Mr Tyang ana reserves ndogo kulinganisha na Qibsyl, kwa rate yake ya uzalishaji mchele ukilinganisha na akiba ya mpunga aliyonayo haina maisha marefu ukilinganisha na akiba aliyonayo Qibsyl
Hii ipo kwa Russia na US katika Reserves, Russia anaweza kuongeza uzalishaji mda wowote kama demand itaongezeka, na uwezo wa kufanya hivyo anao kwasababu store kuna mzigo wa kutosha.
Hayo ni kwa uchache tu, Pro-West hata hesabu hamjui, ku-analyze mambo hamjui. Of course ndio maana mnalilia saaaaana msaada wa ARV kwasababu uwezo wa kutumia mafuvu yenu hamna.
Kuna nchi zaidi ya 200 dunian, yet wanawaambia almost over 30% of natural resources ziko Russia hamjiongezi?
Kauli ya Hitler enzi zake aliposema ukitaka kuitawala dunia, Itawale Russia mnafikiri alikuwa analenga wapi?
Kama United Shit of America in Qibsyl voice inao uwezo wa kufidia Gap la Russia, huko kwao bei inapanda to all time high kwasababu gani? US anae haha kwenda Venezuela mara Iran kwa mataifa aliyoyapa vikwazo visivyo halali kutafuta wese, kutafuta Gas. Kama anayo ya kutosha huko anatafuta nini?
Je mshawahi kusikia Russia kaenda Saudia Arabia kuomba Gas? Alishawahi kwenda Iran kuomba Oil? Alishawahi kwenda kwa Malkia kuomba Feltilizers? Alishawahi kwenda China kuomba Ngano? Alishawahi kuja Tanzania kuomba Chuma au Makaa ya Mawe?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Post zingine ukizisoma za Pro-West kama unakunywa maji unaeza "Pahaliwa"... At least Grand Master hana unafiki wa wenzie, Nyeusi anaita Nyeusi na Kijani anaita Kijani.
Ongeeni yote lakini msisahau kuwa Russia ndio nchi yenye hifadhi kubwa ya maji Safi ulimwenguni.. Kuna siku nchi za Ulaya zitaanza kujenga mabomba ya kusafirisha maji kutoka Urusi.. Is the matter of time.. Wao akiba yao ndogo ya vyanzo vya maji Safi imeshakuwa polluted and contaminated kwa sababu ya shughuli za uzalishaji na viwanda.. Pia dense population katika eneo dogo hivyo rasilimali hiyo kuwa adimu..
Angalia idadi ya nchi za Ulaya zipo ngapi pamoja na idadi yako watu compared to eneo dogo mno la Bara la Ulaya kijiografia.
Walikuwa campaigners wakuu wa kupunguza uchafuzi wa Hali ya hewa Dunia na wakaweka masharti na standard ngumu sana kwenye jumuiya ya Ulaya juu ya uharibufu na uchafuzi wa Hali ya hewa na ku hakikisha wanatumia fossil fuel na green energy... Lakini looo kwa sababu ya AKILI ZA KUAMBIWA.... Leo wanarudi kwenye hewa ukaa. Carbon. (Makaa ya Mawe).. Uchafuzi ulioje?
HIZI SIO AKILI ZA KAWAIDA ZA BINADAMU.. NA WALA KWA NAMNA YEYOTE HAIWEZI KUWA WANAFANYA KWA UTASHI WAO WA KIBINADAMU..
BALI NI LAZIMA KUNA UNKNOWN VERY POWERFUL FORCE BEHIND THEM.. SIO USA BALI THE POWER BEHIND USA.. (wenye kuelewa wameelewa).
JE ni Nani wa kuwaokoa Hao western from that secret power...????
The World need to be free from that power but it need high na big sacrifice to almost every one in this world, directly or in direct.
Tatizo nato na Ukraine mbinu hawana ila huu mchezo wa kuzungurukana unao fanywa na Warusi utaigwa na mataifa mengi