Grand Master
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 246
- 1,315
Dah 🤔
Hivi Mkuu kwa hii Kichwa yako nzuri hivi imekuaje upo huo Upande?
Kuna hatari kufikia mwakani ikagonga one-to-one[emoji28]Na hapo ndipo Rubble itakapogonga 15 against.USD
Umekunywa nn mkuu[emoji28]Nitashangaa sana kama mrusi ataendelea kupigana vita hii kwa miaka 2, kama itakuwa hivyo jamaa atadhoofu sana kiuchumi.
Vita inatumia akiba yako yoote !! na mbaya zaidi unagombana na mtu anayepewa ma billion ya dolari kwa siku, lazima utachoka tu.
Hapo ndo serikali huwa zinaangukaAbout 90% of Germans have begun to cut their spending.
This is reported by Bild am Sonntag, citing a study by Insa.
According to the survey, German citizens save the most on clothing, vacations, going to bars, gasoline, food, water consumption and subscriptions to media products.
Residents have to change their habits due to high inflation and skyrocketing energy prices as a result of anti-Russian sanctions.
Earlier, the German authorities asked citizens to wash less often and lower the temperature in their homes.
View attachment 2280627
Ha ha ha ..
Wanaujua madhara ya Russia WAMEAMUA kufyata, wanaojifanya vichea ngumu ngoja tuone watafika wapi[emoji28][emoji96] Russia could destroy half of Lithuania's economy has the capacity to effectively end its neighbor’s transport sector, in response to a blockade, Kaliningrad Governor Anton Alikhanov says
“The transport sector of the Baltic states could be destroyed if Russia implements counter-sanctions on the goods coming in and out of the Baltic states,” Kaliningrad Region Governor Anton Alikhanov told Russian newspaper Vedomosti on Monday.
“Russia could make half of the Lithuanian economy disappear,” he said.
“There’s an impression that Lithuania doesn’t understand that Kaliningrad Region is part of Russia, and that we have someone to come to the rescue. We’re not alone in the face of the problem.” - RT
@NewResistance
Ukisusa wenzio twalaView attachment 2280638
Russian Oil exports February-June 2022
Hii Safar mpk Kiev,View attachment 2280707
[emoji298]️ It is necessary to push the enemy further than the territories of Lugansk following the region’s liberation - LPR Head
The de-Nazification of Ukraine as a whole has not yet been called off, Leonid Pasechnik said.
Salute kwako Mjomba! Nimekupata.What did your country achieve by making the parliament all greener? Nothing rather than increasing a number of NDIO MZEE. You get my point? It's not about which side is right or which side is wrong, its about alternate Opinions to challenge what you have already know so far.
Ujeruman Alikua mbabe Sana awamu ya Hitler, tangu jamaa afariki wamekua rojo Sana[emoji4]Za ndani kabisa.Majasusi wa beberu wanatumia nguvu kubwa kumshawish Kansela asifate ushaur wa Bi Markel,lkn km hali itaendelea hv kwa muda mref bila shaka mjeruman atakisanua kwa sabab usupa pawa wake ndani ya jumuia ya ulaya unazid kusinyaa kutokana na ukata uliotamalak