Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ujeruman Alikua mbabe Sana awamu ya Hitler, tangu jamaa afariki wamekua rojo Sana[emoji4]
Sio rojo wale wanaijua vita nje ndani .. Wana makovu ya Vita wanajua madhara na hasara za vita.

Sababu vita iliianzia na kuishia mji wao kutwangwa na kuleta vifo na majeraha ya kudumu.

Wamepevuka maana Wana pesa, Wana roho ngumu za kikatili ila wameamua kuwa waungwana na waelewa. Utaona hata walichukua idadi kubwa ya wakimbizi wa kiislamu toka Syria tofauti na waarabu Wengine.

Therefore, sio rojo wamekuwa Kama mhuni wa mtaa aliepevuka na kuamua kuokoka.

But Germany siku zote ni machine.
 
Good report like it . Russia wanakwenda ki mipango Ukraine haina askari ina mavifaa tu. Russia anahakikisha hapotezi askari kizembe enough is enough wakijaa huku piga kule na anaongeza askari kupitia majimbo yaliyokombolewa hataki kutumia askari wake japo wapo zaidi ya laki moja wameizunguka Ukraine hao ni standby. Ili ku denazify lazma uwawekee mtego wafe ama watekwe .Unajisifiaje kufika mpaka wa Russia hijui ni mtego
 

Ushahidi upo kwamba Russia wana uwezo wa kutempa na internet za west kivip zelenks anaendelea kuwaamini M16?
Au wamerudi enzi za ujima 😂😂😂😂kutumia njiwa au
kumtuma mtu apeleke ujumbe kwa karatasi/mdomo.
 

Ni machine na nusu dunia ikaamua wawekewe limit ya kumiliki idadi ya wanajeshi,kumiliki silaha na pesa ya kulipa fidia ya hasara ya vita alivyosababisha.

Yaani huyu mmarekani hafikii robo ya kichaa cha mjerumani na mjapani kivita.
 
Kua

Kuanzia Leo natoka u pro Russia na kuhamia u Pro USA /NATO.
Nafanya hivi ili kuziba pengo la pro NATO waliotoroka.
Lengo ni kubalance mjadala wa Op

😂😂😂😂😂Atutaki zile point za OP ya masaa 24 mwezi wa tatu huu Putin anamanga manga.

Kiinchi kidogo kinayumbisha nchi kubwa@grand master kashaitolea ufafanuzi.

Haendi kyvi anapambana na vi mji vidogo vidgo vya uko pembeni kama simiyu.

Russia hana chakula cha kupambana miezi mitatu atanyoosha mikono juu.

Russia na pro Russia wote masikini.

Putin dictator.

Karibu pro west.
 
Hapa naongeza mkuu mmarekani anajitahidi kukopesha Kwa kuwa ni biashara inayomlipa, maana ukitaka mkopo anaingia ndani anaptint anakupa baadae unarudisha Kwa faida,

Faida anayoipata ndiyo inayompa jeuri ya marekani kuwa na base 700 duniani kote
Kiufupi misaada ni business kama business zingine na zinamlipa zaidi mmarekani
 
Yule mama angekuwa madarakani huu ujinga asingekubali
 
Ni machine na nusu dunia ikaamua wawekewe limit ya kumiliki idadi ya wanajeshi,kumiliki silaha na pesa ya kulipa fidia ya hasara ya vita alivyosababisha.

Yaani huyu mmarekani hafikii robo ya kichaa cha mjerumani na mjapani kivita.
Mjeremani na Mjapan wale ni wanaume kabisaa.

Wanapenda ugomvi na vita kuliko kula wakiamua hutoboi... Wana akili Wana silaha, Wana pesa Wana ujasiri na roho ya ukatili.

Ndio maana Mmarekani anawaheshimu saana he can't mess with them maana anawajua wakiamua... Lazma wakutoe kamasi.

Good things wamekuwa na staha siku hizi wanayaangalia mataifa Duniani wanaona Hawa bado hawajielewi.
 
Eti Russia maskini ... [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Lakini Kama kweli maana askari wake kule wanaiba Hadi ngano na washing machine za laki 2 wakauze Belarus kwa laki moya.

Hata soldier wa Kenya waliiba gold na valuable things kwenye Wastegate Mall na sio rubbish Kama makamanda mawazo wa Russia. [emoji1787][emoji3526]
 
Hapa kwetu Tanzania walio wengi wananunua Umeme katika rate ya 26kwh kwa Tsh 10k. Hii bei nikiwa wrong mta-nisahihisha japo kwa Meter nayotumia nagharamika kama hivyo.

Maana ake ni kua kwa bei yetu ya 10k kwa 26kwh (kilo watts hour) itanigharimu kama Tsh 385k ili nipate umeme wa 1,000kwh ambayo ndio 1 Mega-Watt Hour.

Kama wao wanalipia 790Euro per MWH Sie hapa tunalipia 155Euro per MWH (nifahamike kua nime-convert 385,000 Tsh to Euro). Fedha zote hizo ukiziweka kwenye pesa ya Tanzania. Ni kua kwa the same amount of electricity, that's 1Mega-watt Hour. Sisi tunalipia Tsh 385,000/- wao wanalipia Tsh 1,960,000/-. Hii ni mara 5 zaidi kiliko sisi.

Nimeamua kuisherehesha hii post kwa kusudi moja tu. Kuna dhana potofu watu weusi tuko nayo, most of us utasikia tunasema ooh Europe wanalipa mishahara mikubwa n.k. lakini hatuangalii expense kulinganisha na mishahara yao.

Tunashangaa sana number, nimeona Mr Tyang na Galip Vrl wamezungumzia kuhusu analysis. Hapa pia huwa kuna tatizo. Europe mtu anaweza kulipwa Euro 1,500 per month, hii ipo around 4Millions za kibongo. Zinaonekana nyingi on Paper ila ukizipeleka kwenye matumizi ni chache mno kwa mazingira yale.

Huezi kupanga chumba cha Tsh 40k, ambazo ni Euro 16 kule kwao. But nje ya Dar kwa hapa Tanzania, Tsh 40k unapata chumba safi mno.

Hii issue ni pana kwani hata concept ya GDP unaweza kuijumuisha pia.

Mfano,
Mimi leo nikilima shamba, kila chakula nikawa najitegemea. Mahindi nalima, Mpunga nalima, Mchicha nalima, Almost kila kitu nakifanya mwenyewe.

Hapa nitanufaika lakini Hizi shughuli zote hazitakuwa reflected kwenye pato la taifa since hakutakuwa na Movement of "Cash" wala Shughuli kutoka kwa kundi moja kwenda kundi lingine.

Mfano wa kwanza huo, wa pili. Imagine katika mazingira kama haya. Mchicha nanunua kwa John, Karanga kwa Ayubu, Mahindi kwa Mabula, Mchele kwa Mwamposa, Mafuta kwa Mangi, Ndizi kwa Rutashobya. Hapa kunakuwa na Movement kubwa ya Cash, kunakuwa na shughuli nyingi. Hizi zote zinakuwa reflected kwenye hii kitu tunaita GDP. Pato la Taifa. So GDP inapea.

Hii mifano miwili sikidhamiria kuileta kwenye reply ya kaka mkubwa hapa. Imenibidi niitoe kwani yafanana na kile nilichokua nataka kukisema kupitia reply yake.

Mifano hiyo miwili inaweza kuwapa majibu katika nyanja hizi.
🔸Kwanini Nchi kama Russia, Kwanini Nchi kama Singapore au South Korea.

🔸Kwanini Mkoa kama Dar es Salaam, na Kwanini Mkoa kama Mbeya, Ruvuma n.k

🔸Of course itawapa majibu kwanini tulisema yule anayejiita Yoda tulimwambia hajui kitu upande huu alipokuwa analinganisha Pato la Taifa GDP na Thamani ya Kampuni Sokoni (Market Cap.)

Dar, kitunguu unanua, Mchicha unanunua, Muhogo wa kutafuna unanunua, Maji Visima hakuna mnanunua kwa kifupi Most katika vitu unahitaji ni kazi za watu. So mzunguko wa fedha na wingi wa shughuli ambazo ndio Uchumi wenyewe ni mkubwa, So there we go, unaambiwa kua Dar ina 17% of Tanzania GDP.

Mind you Uchumi sio Pesa, Uchumi ni shughuli za kibinadam ambazo of course ni issue zinazohusiana na fedha. Lakini Uchumi kama Uchumi sio how much you have bank au mfukoni.

Again ukichimba deep, utakuta all these stuffs zina mahusiano kiasi na flan na Culture, I mean life style ya watu. Anyway tuishie hapa nisije kuwachosha bure issues zenyewe ziko out of topic.
 

Hayo ni marupurupu ya kazini mangi, imeandikwa kila mtu atakula urefu wa kamba yake.

Hizo ni facts kwa mujibu wa pro nato wa hapa nilimuambia asizirudie maana katoka huku pro Russia kaamia upande wa pili.
 

Vinahusiana sanaa hauwezi tenganisha uchumi/fedha na yanayoendelea Ukraine (au unaweza kukonvet 40b $ to Ukraine currency ili upate picha ya thamani halisi ikiwa inatumika kwenye point A huwa ina utofauti kwa point B na n the same amount)
 
View attachment 2281023
Kama kawaida yetu Pro russia ni watu wa vitendo kama Rais wa dunia PUTIN.
Certificate of Appreciation kwenu.
NB.Kuna nyingine zitakuja maana kuna watu wengi tu hawapo kama vile Morogoro kaskazini na wengine.
hiki kinafaa kabsa kuombea ajira. Ngoja nikidaunilodi nikaprinti na laminesheni kabsa. Then tukutane ajira portal
 
Wapigane Warusi ,pressure nipate mimi duu nitakuwa sina kazi ya maana kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…