jichanganye mwishowe utufie na presha bure kutoka kwa urusi, na hakuna mtu wa kukuokota.Kua
Kuanzia Leo natoka u pro Russia na kuhamia u Pro USA /NATO.
Nafanya hivi ili kuziba pengo la pro NATO waliotoroka.
Lengo ni kubalance mjadala wa Op
hana bando huyo, kakopa sana anadaiwa pesa nyingi na Branch(USA)Siku hizi Zelensky amepunguza kujipiga 'selfie' na kupost FBππ hapana chezea iskandar na hypersonic! π·πΊ
Japan na Germany Ni wake za USA kwa Sasa na USA anajichagulia tu leo anumuweka yupi doggy kesho Nani apigwe Popo kanyea mbingu style.Hamna kitu Tena paleMjeremani na Mjapan wale ni wanaume kabisaa.
Wanapenda ugomvi na vita kuliko kula wakiamua hutoboi... Wana akili Wana silaha, Wana pesa Wana ujasiri na roho ya ukatili.
Ndio maana Mmarekani anawaheshimu saana he can't mess with them maana anawajua wakiamua... Lazma wakutoe kamasi.
Good things wamekuwa na staha siku hizi wanayaangalia mataifa Duniani wanaona Hawa bado hawajielewi.
Walikuw wanajifanya kina James BondHa ha ha ..
Hawa UK walikua wanajifanya Ni wazee wa intelligence, kila Siku kimbele mbele kutoa umbea.
Much respect to Russian hackers[emoji4]
Hahah, Huo mfano wa kuku alio utoa mwamba una hoja nzito sana ndani yake,Hawa ndio wanafanya Idadi ya wanaume ipungue duniani. Tunapokosa analyzing power inafanya kila kitu kiwe kigumu, tunatafuta mchawi kumbe wachawi ni sisi wenyewe.
Kuelimisha watu Raha sana Mr Tyang, kwani kupitia kuelimisha unapata kuelimika pia. Ila hakuna kitu kigumu na kinaboa sana kukifanya kama kumuelimisha asiyetaka kuelimika.
Kuna post kwenye Uzi wa mjomba mmoja hapa JF, sikumbuki ni nani jana nimeusoma... Maelezo yake yamelenga sehem nyingine ila kuna maudhui yanafanana na namna walivyo hawa Pro-west.
Ndani ya maelezo yake kuna sehem anasema kua "Ingekuaje leo Kuku, tunaowafuga wakija jua kua lengo haswa la kufugwa kwao ni kuliwa na kufanyiwa biashara, wataendelea kukaa bandani?Jibu ni hapana, lakini namna tunavyowasafishia mabanda yao, kuwapatia chakula, na kuwatibu wakiugua lau kama wangekuwa wanazungumza Kuku mmoja wapo akawaambia kua huyu binadam hafanyi hivi bure. Anatulisha ili baadae atuchinje wangemuelewa?"
Hayo aliyasema alikuwa anaizungumzia mifugo kama mifugo ila mimi niliisoma huku nawawaza hawa vibarawasho wetu, Ukoo wa LGBTQA+ tawi la Mwembe yanga.
Wana mfano huo, Hakuna mfugaji anakubali mfugo wake ujue dhumuni lake. Na kila wakiambiwa evil intentions za hawa huzikataa kwa kuziita "Conspiracies". Mkuu Wenzetu wanahadaika sana tena sana ila lengo la "free-lunch" wanaziba macho kuliona.
Tanzania kuna Fursa nyingi sana ambazo kuzipata zinahitaji change of Mindset, kutoka "Broilers" oriented kua "hard" oriented.
Tuache mazingira ya kuishi kama wa kuku wa kisasa, mda wote tupo bandani tunasubiri bwana mifugo alete tupate ku-survive, kwamba akipata dharula na sie tumekwisha. tuishi kiasili, tuishi kwa kujitegemea msaada uwe third Option.
Kwamba uwepo Usiwepo hauna athari kubwa sana na sie.
Sasa vitu cheap kiasi hicho tu kujua kua Uzalishaji na Uhitaji ni vitu viwili tofauti, kujikomboa kwenye mikono yao tutaweza kweli au ndo tutaendelea kutumika kama Toilet Paper na kuwa dumped kila baada ya matumizi?
Kama baba wa familia, mwanao ni fundi tena mjenzi mzuri tu. Unamkataza asijenge unamuita jirani akujengee kwa sharti la kumla mkeo unakubali ilhali option za kuepuka hiyo fedheha ipo. Hapo kichwani kutakuwa na uzima kweli?
Safari ya matumaini bado ndefu mno, hiki kizazi tuliopo sisi kipo kwenye ule msemo wa samaki mkunje angali mbichi, Hiki chetu kishakauka.
Option nyepesi tulio nayo mezani ni kuwageukia wadogo zetu na watoto zetu. Kuwawahi kabla hawajalemaa mfano wa hawa tulio nao hivi sasa. There only we can be assured to change for the better.
Wenzetu wana haiba kama ya upande waliopo, they think wanajua each of everything... Wanaenda beyond na kuhisi wao hawakosei. Mfano, karibu haya yote yanayowatokea West hivi sasa, Miongoni mwetu tuliyasema siku za awali kabisa enzi zile wanashinda kuweka vikwazo Russia.
We tried harder kusema "hiki" si sawa, au "njia" ile itasababisha hivi na vile ila tulipewa reply za dhihaka nyingi tu hapa like "We kijana wa Unyanyembe unajua hilo mzungu hajui?", Maraa ooh "Kwa hiyo wewe unajua kuliko west" ha ha ha tena Most katika hao hivi sasa washakimbia huu uzi kitambo.
Any way mdo mdo tu tutafika!
Mkuu hii wale wa upande mwengine roho inawauma ila hawana jinsi,hahahahahaView attachment 2281023
Kama kawaida yetu Pro russia ni watu wa vitendo kama Rais wa dunia PUTIN.
Certificate of Appreciation kwenu.
NB.Kuna nyingine zitakuja maana kuna watu wengi tu hawapo kama vile Morogoro kaskazini na wengine.
Hawa jamaa nawakubali sana kwa kazi zaowale jamaa zetu waitwao "saboteurs"
"Saboteurs" wao hupita na kuweka alama za kiintelijensia kuonyesha wapi pana maghala ya silaha au mahandaki padunguliwe na kufanywa mkeka.
Napenda sana namna unavyo changia mada mkuu, kama Pro-NATO wote wangekuwa wanatoa hoja kama hizi basi huu uzi ungekuwa Hot sana zaidi ya ulivyo.Nchi size ya mkoa? Katika category ipi? Eneo? Idadi ya watu? Uchumi? Maendeleo? au? What's the basic of your reference?Kama ni ukubwa wa eneo, Kagera ni mara 1 na nusu ya ukubwa wa eneo la nchi ya Rwanda but Rwanda Population is 5 to 6 times of Kagera Region, Europe is 0.6 big as Russia but is 7 times more populated than Russia. So How do you categorise this is Region or this is Nation?
As of June 2, the area occupied by dictator Putin is one third of Vietnam where we took 20 years for nothing. Its one sixth of Afghanistan where we took 20 years for nothing too. After all dispite large area of Russia compared to Ukraine, Russia is only three times populated than Ukraine. 40m against 120m.
You had better compared them in term of military, there you could have my back. Land area of a country have nothing to do with this. Nawashauri tujengeni hoja zenye nguvu tushindane nao warusi weusi tuelimike. Wepesi ni wengi kwao, wachache sana among them wanajua what they are talking about. Those who knows nothing are being covered by few. We could have outsmarted them by far only by arguing intellectually.
Utakuwa ndio mwisho wa USKuna hatari kufikia mwakani ikagonga one-to-one[emoji28]
Pole Sana,ukweli unaujua Urusi haipigani na Ukraine yenyewe,ina wanajeshi kutoka zaidi ya 30 za mashoga na wengine,inapewa military intelligence na US,pesa,silaha etc,but π·πΊ is still fvcking them harder! 3 hrs ago, Putin amesema OP inaendelea,this time mpaka Kiev!tulia,nakuhakikishia,kama π·πΊ kufika Kiev ndo benchmark yako kukimbia humu,tulia!
Nchi size ya mkoa? Katika category ipi? Eneo? Idadi ya watu? Uchumi? Maendeleo? au? What's the basic of your reference?Kama ni ukubwa wa eneo, Kagera ni mara 1 na nusu ya ukubwa wa eneo la nchi ya Rwanda but Rwanda Population is 5 to 6 times of Kagera Region, Europe is 0.6 big as Russia but is 7 times more populated than Russia. So How do you categorise this is Region or this is Nation?
As of June 2, the area occupied by dictator Putin is one third of Vietnam where we took 20 years for nothing. Its one sixth of Afghanistan where we took 20 years for nothing too. After all dispite large area of Russia compared to Ukraine, Russia is only three times populated than Ukraine. 40m against 120m.
You had better compared them in term of military, there you could have my back. Land area of a country have nothing to do with this. Nawashauri tujengeni hoja zenye nguvu tushindane nao warusi weusi tuelimike. Wepesi ni wengi kwao, wachache sana among them wanajua what they are talking about. Those who knows nothing are being covered by few. We could have outsmarted them by far only by arguing intellectually.
Naona una endelea kuota ndoto tena za mchanaSiku hiyo Urusi itakosea njia iguse kataifa kamoja ka NATO kama vile kajirani kake hapo Latvia ndio itaelewa nini maana ya kipigo cha mataifa 30, kwnza humo kwenye hayo mataifa ya NATO kunayo machache supapawa yenye uwezo ya kuiliza Urusi yenyewe bila muungano, maana ameonyesha udhaifu mkubwa sana kushindwa na haka kataifa kadogo....
Naona una endelea kuota ndoto tena za mchana
π€£π€£π€£ππππjichanganye mwishowe utufie na presha bure kutoka kwa urusi, na hakuna mtu wa kukuokota.
π€£π€£π€£Aisee nimejaribu kitete NATO nikagundua natetea genge la wahalifu.πππππAtutaki zile point za OP ya masaa 24 mwezi wa tatu huu Putin anamanga manga.
Kiinchi kidogo kinayumbisha nchi kubwa@grand master kashaitolea ufafanuzi.
Haendi kyvi anapambana na vi mji vidogo vidgo vya uko pembeni kama simiyu.
Russia hana chakula cha kupambana miezi mitatu atanyoosha mikono juu.
Russia na pro Russia wote masikini.
Putin dictator.
Karibu pro west.
Mjeremani na Mjapan wale ni wanaume kabisaa.
Wanapenda ugomvi na vita kuliko kula wakiamua hutoboi... Wana akili Wana silaha, Wana pesa Wana ujasiri na roho ya ukatili.
Ndio maana Mmarekani anawaheshimu saana he can't mess with them maana anawajua wakiamua... Lazma wakutoe kamasi.
Good things wamekuwa na staha siku hizi wanayaangalia mataifa Duniani wanaona Hawa bado hawajielewi.
Mimi toka Russia awaambie NATO kuwa baada ya miaka miwili Ukraine itafutika kwenye ramani ya dunia naanzaje kubisha π€£π€£π€£π€£π€£Baada ya Donbass yote kukombolewa, Putin amesema wanajeshi waendelee na vita, Wale waliokuwa wanasema Urusi ilishindwa kuingia Kiev,nnawaambia" "STAY TUNED"
Angalia hii ramani upate aibu uache hizi insha, miezi mitano sasa mumeambulia tumiji twa huko mipakani licha ya kuingia hasara ambayo ni zaidi ya inventory ya jeshi lote la JWTZ
Urusi rauni hii hata waarabu na dini yao wamemkimbia, mumebaki nyie tu huko kwa Mtongole...
Siku hiyo Urusi itakosea njia iguse kataifa kamoja ka NATO kama vile kajirani kake hapo Latvia ndio itaelewa nini maana ya kipigo cha mataifa 30, kwnza humo kwenye hayo mataifa ya NATO kunayo machache supapawa yenye uwezo ya kuiliza Urusi yenyewe bila muungano, maana ameonyesha udhaifu mkubwa sana kushindwa na haka kataifa kadogo....
Imebid nikujibu, hao Japan na Germany ilikua zamani sio sasa. Walishakubali kumpa maisha yao US hawana maajabu sikuhizi. Hao wote wanategemea jeshi la US hawana maajabu yoyote ni takataka