Hongera Sana hiki cheti fanya bendera ya Russia iwepo au colours zile za Russia itapendeza ZaidAhsante sana fellow Pro-Russia Mfilisiti [emoji120][emoji120] kwa kututambua Kama alivyofanya Putin kwa kikosi kilicho kamilisha kuikamata Donbas.
Niwaombe sana tuendelee kuwa vumilia Pro-NATO na kuwa elimisha.
Tuendelee kuwa competence based educator kwa info zetuView attachment 2281032
Kaa chini likumbushe fuvu lako lililokosa mwelekeo kwenye mteremko, Ujiwahi kabla hujaangukia pua.Siku hiyo Urusi itakosea njia iguse kataifa kamoja ka NATO kama vile kajirani kake hapo Latvia ndio itaelewa nini maana ya kipigo cha mataifa 30, kwnza humo kwenye hayo mataifa ya NATO kunayo machache supapawa yenye uwezo ya kuiliza Urusi yenyewe bila muungano, maana ameonyesha udhaifu mkubwa sana kushindwa na haka kataifa kadogo....
Angalia hii ramani upate aibu uache hizi insha, miezi mitano sasa mumeambulia tumiji twa huko mipakani licha ya kuingia hasara ambayo ni zaidi ya inventory ya jeshi lote la JWTZ
Urusi rauni hii hata waarabu na dini yao wamemkimbia, mumebaki nyie tu huko kwa Mtongole...
Kama mwamba Mfilisiti hahakupatia cheti chako niandamane MKUUHapa kwetu Tanzania walio wengi wananunua Umeme katika rate ya 26kwh kwa Tsh 10k. Hii bei nikiwa wrong mta-nisahihisha japo kwa Meter nayotumia nagharamika kama hivyo.
Maana ake ni kua kwa bei yetu ya 10k kwa 26kwh (kilo watts hour) itanigharimu kama Tsh 385k ili nipate umeme wa 1,000kwh ambayo ndio 1 Mega-Watt Hour.
Kama wao wanalipia 790Euro per MWH Sie hapa tunalipia 155Euro per MWH (nifahamike kua nime-convert 385,000 Tsh to Euro). Fedha zote hizo ukiziweka kwenye pesa ya Tanzania. Ni kua kwa the same amount of electricity, that's 1Mega-watt Hour. Sisi tunalipia Tsh 385,000/- wao wanalipia Tsh 1,960,000/-. Hii ni mara 5 zaidi kiliko sisi.
Nimeamua kuisherehesha hii post kwa kusudi moja tu. Kuna dhana potofu watu weusi tuko nayo, most of us utasikia tunasema ooh Europe wanalipa mishahara mikubwa n.k. lakini hatuangalii expense kulinganisha na mishahara yao.
Tunashangaa sana number, nimeona Mr Tyang na Galip Vrl wamezungumzia kuhusu analysis. Hapa pia huwa kuna tatizo. Europe mtu anaweza kulipwa Euro 1,500 per month, hii ipo around 4Millions za kibongo. Zinaonekana nyingi on Paper ila ukizipeleka kwenye matumizi ni chache mno kwa mazingira yale.
Huezi kupanga chumba cha Tsh 40k, ambazo ni Euro 16 kule kwao. But nje ya Dar kwa hapa Tanzania, Tsh 40k unapata chumba safi mno.
Hii issue ni pana kwani hata concept ya GDP unaweza kuijumuisha pia.
Mfano,
Mimi leo nikilima shamba, kila chakula nikawa najitegemea. Mahindi nalima, Mpunga nalima, Mchicha nalima, Almost kila kitu nakifanya mwenyewe.
Hapa nitanufaika lakini Hizi shughuli zote hazitakuwa reflected kwenye pato la taifa since hakutakuwa na Movement of "Cash" wala Shughuli kutoka kwa kundi moja kwenda kundi lingine.
Mfano wa kwanza huo, wa pili. Imagine katika mazingira kama haya. Mchicha nanunua kwa John, Karanga kwa Ayubu, Mahindi kwa Mabula, Mchele kwa Mwamposa, Mafuta kwa Mangi, Ndizi kwa Rutashobya. Hapa kunakuwa na Movement kubwa ya Cash, kunakuwa na shughuli nyingi. Hizi zote zinakuwa reflected kwenye hii kitu tunaita GDP. Pato la Taifa. So GDP inapea.
Hii mifano miwili sikidhamiria kuileta kwenye reply ya kaka mkubwa hapa. Imenibidi niitoe kwani yafanana na kile nilichokua nataka kukisema kupitia reply yake.
Mifano hiyo miwili inaweza kuwapa majibu katika nyanja hizi.
[emoji842]Kwanini Nchi kama Russia, Kwanini Nchi kama Singapore au South Korea.
[emoji842]Kwanini Mkoa kama Dar es Salaam, na Kwanini Mkoa kama Mbeya, Ruvuma n.k
[emoji842]Of course itawapa majibu kwanini tulisema yule anayejiita Yoda tulimwambia hajui kitu upande huu alipokuwa analinganisha Pato la Taifa GDP na Thamani ya Kampuni Sokoni (Market Cap.)
Dar, kitunguu unanua, Mchicha unanunua, Muhogo wa kutafuna unanunua, Maji Visima hakuna mnanunua kwa kifupi Most katika vitu unahitaji ni kazi za watu. So mzunguko wa fedha na wingi wa shughuli ambazo ndio Uchumi wenyewe ni mkubwa, So there we go, unaambiwa kua Dar ina 17% of Tanzania GDP.
Mind you Uchumi sio Pesa, Uchumi ni shughuli za kibinadam ambazo of course ni issue zinazohusiana na fedha. Lakini Uchumi kama Uchumi sio how much you have bank au mfukoni.
Again ukichimba deep, utakuta all these stuffs zina mahusiano kiasi na flan na Culture, I mean life style ya watu. Anyway tuishie hapa nisije kuwachosha bure issues zenyewe ziko out of topic.
Qibsyl = Ask-Q
Akili zao wanazijua wenyewe huko vitani .Mjeremani na Mjapan wale ni wanaume kabisaa.
Wanapenda ugomvi na vita kuliko kula wakiamua hutoboi... Wana akili Wana silaha, Wana pesa Wana ujasiri na roho ya ukatili.
Ndio maana Mmarekani anawaheshimu saana he can't mess with them maana anawajua wakiamua... Lazma wakutoe kamasi.
Good things wamekuwa na staha siku hizi wanayaangalia mataifa Duniani wanaona Hawa bado hawajielewi.
IMENISIKITISHA SANA.......Kwa mawazo kama haya, ndo maana hao NATO wanatuita "third world countries".
Yani hata harakati za Ukombozi wa bara la Africa kutoka kwa Ukoloni hukumbuki chochote??
karibu mimi nilikuwa siambiliki kuhusu pro NATO na nikadiliki kuziita S400,500,550 za wa russi kuwa ni machuma chuma[emoji16] lakini akili zangu ziliponijia nikajua kuwa uku nilpo siyo nkarudi mwenyewe pro russia mpaka nimeota kitambi kwa furaha ninayoipata ninapoona pro nato wakipigwa spana kwa pamoja tuseme Uraaaaaaaaaaa[emoji3455][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee nimejaribu kitete NATO nikagundua natetea genge la wahalifu.
Nimeshindwa mwana,narudi nyumbani kwa maskini wemzetu akina Urusi na China.
Nakubaliana na ww mkuuNi machine na nusu dunia ikaamua wawekewe limit ya kumiliki idadi ya wanajeshi,kumiliki silaha na pesa ya kulipa fidia ya hasara ya vita alivyosababisha.
Yaani huyu mmarekani hafikii robo ya kichaa cha mjerumani na mjapani kivita.
Japan na Germany Ni wake za USA kwa Sasa na USA anajichagulia tu leo anumuweka yupi doggy kesho Nani apigwe Popo kanyea mbingu style.Hamna kitu Tena pale
Dah Mkuu umetema nondo mpaka nimetamani ungekuwa jirani tumwagilie moyo😂😂😂Leo ni mwendo wa kukupiga spana tu, mpaka akili ikukae sawa, Naenda kujibu hoja yako ya kwanza mpaka ya mwisho kwa mlinganisho wa Russia Vs USA.
1."Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndo maana ni mataifa machache yanayo ongea Kirusi" FUSO
☆JIBU: Urusi ni miongoni mwa mataifa machache duniani yanayotumia lugha yake asilia kama lugha ya taifa, hata sisi Tanzania tupo kwenye list hii kwa kigezo cha kiswahili chetu, lakini Mpaka muda huu USA anatumia lugha ya muingereza (english) kama lugha yake ya taifa. Hivo basi hoja yako ni dhaifu kwasababu Russia ana lugha yake asilia ila USA hana zaidi ya kutumia lugha ya malikia kwa kuivisha jina la kihuni American english.
2. "Pesa zake nyingi anatumia kutengenezea silaha badala ya kusaidia nchi zinazo endelea" FUSO
☆JIBU: Mosi, kila nchi inatumia pesa kulingana na vipaumbele vyake, let say Urusi inatumia pesa zake nyingi kwenye silaha halafu USA inatumia pesa nyingi kwenye kampen ya kueneza Ushoga duniani(kupanga nikuchagua)
Pili, Nchi huru siyo lazima isaidiwe, maana ya kuwa huru nikujitegemea na kuendesha uchumi wako mwenyewe. Aliekuwa Rais wa USA D.Trump aliwahi kusema, "kuendelea kuzisaidia pesa nchi za Africa zilizo dai uhuru wa kujitegemea ni ujinga, kama nchi haziwezi kujitegemea zenyewe bila misaada basi zitawaliwe tena na wanao zisaidia mpaka zitakapo acha kuwa tegemezi" Trump. Hivo basi kwa fact hiyo ya Trump, Hoja yako hii pia ni dhaifu.
3. "Mrusi siyo muumini wa domokrasia ni dictatorship"
JIBU; mosi, Ni ujinga mtupu kufikiri mfumo wa democracy ndo mfumo pekee unaotakiwa kuendesha serikali za nchi zote duniani, kuna mifumo zaidi ya 15 ya kuendesha nchi na kila nchi huamua itumie mfumo upi kulingana na nature yake. mfano, China-Socialism, UK- Kingdomship na French-Democracy.
Pili, Mfumo unaotumika kuendesha serikali ya Russia siyo dictatorship bali ni Federal democratic state.
Tatu, USA unae dai anatumia pure democracy itakuwa hujui hata aina ya democracy anayotumia USA, Raia wa USA kura yake haina nguvu yeyote katika uchaguzi wa Rais je hiyo ndo maana ya democracy? Hoja yako hii pia haina mashiko.
4. "Urusi haina influence yeyote Africa, Ulaya na America" FUSO
JIBU; Mosi, Inaonekana hujui hata maana ya neno "Influence" kitendo cha Uchumi wa nchi za Ulaya kutemea uwepo wa Urusi hiyo siyo Influence? Russia mpaka leo hii ndo influencer mkubwa wa bara la ulaya bila Urusi ulaya nisawa na Afrika tu.
Pili, Kwenye bara la America ukiwatoa N.America (USA na Canada) the rest of Americans (Especially Southern part) wote wapo upande wa Urusi, mfano, Brazil, Argentina na nk.
Tatu; Kama Putin asingekuwa na Influences kwa bara la Africa nchi za Afrika zingebaki neutral kwenye kura ya kuiondoa Urusi kwenye baraza la usalama UN? Au Zelensky angeishia kusikilizwa hotuba yake kwa AU na Viongozi wanne tu kati ya viongozi zaidi ya 50 wa nchi za Africa au Mwenyekiti wa AU angeenda Urusi kuongea na Putin?
HOJA YAKO HII PIA HAINA MASHIKO.
5. "Hana bajeti yeyote kwa nchi za Afrika" FUSO
JIBU: Mosi, Kwani nani alikwambia afrika nisehemu ya Urusi hadi ihusike kwenye bajeti ya Urusi? Nitajie nchi za Afrika ambazo ni makoloni ya Urusi hadi aya include kwenye bajet yake.
Pili; Nchi karibia zote afrika ziliomba uhuru na zikaupata maana yake ziliomba zijitawale na kujiendesha zenyewe sasa bajeti ya Urusi inakuja vipi tena kwa mataifa huru?
Narudia tena kauli ya Trump "Kama nchi za Afrika zimeshindwa kujiendesha bila kutegemea misaada yetu basi zitawaliwe tena"
I STAND WITH RUSSIA [emoji635]
Umaana mzuri ufe uwe mbolea tuwe tunachuma kisamvu kwenye kaburi utatusaidia sanaWapigane Warusi ,pressure nipate mimi duu nitakuwa sina kazi ya maana kwa kweli