Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
MKUU USHA PROVE POINT YANGU TAYARI WEWE SOURCE YAKO YA HABARI NI ULE MLENGO UNAOEGEMEA MAZURI YA RUSSIA MAANA WEWE HAUPO KULE HUJUI GROUND VITU GANI VINATOKEA ZAIDI YA KU GOOGLE TAARIFA UKITUKANA NAONA HUNA HOJA UNAKIMBLIA MATUSI HOME OF GREAT THINKER SIO KAMA SIWENZI KUKUTUKANA ILA TUTAHARIBU UZI WA WACHANGIAJI WASTAARABULete zako za CNN,BBC,dw..... Hakuna Mji uliochukuliwa, Urusi kaishiwa chakula, kaishiwa silaha, wanajeshi wamegoma, na hawana morali..... Utakuwaje na akili sehemu ya kutolea uchafu ndio unashindiliwa pipi nyama.....
Nilisikia hakukuwa na Myaudi hata mmoja siku ya Tukio...
Hayo majengo pacha (WTC) yalipangwa yashambuliwe muda mrefu sana. Nilikuwa na CD fulani niliinunua mombasa around2010 hivi hii CD ilikuwa imeweka wazi mipango yote na kwenye Us$20 kuna namna ukiikunja unapata majengo hayo mawili yakiwa yanalipuka.
Bahati mbaya sana hii CD nilimuazima mtu kipindi hiko na ndio ikaenda kupotelea huko na nyingine ya kina Abood Rogo na jamaa wa Alshababi.
Leta source yako.MKUU USHA PROVE POINT YANGU TAYARI WEWE SOURCE YAKO YA HABARI NI ULE MLENGO UNAOEGEMEA MAZURI YA RUSSIA MAANA WEWE HAUPO KULE HUJUI GROUND VITU GANI VINATOKEA ZAIDI YA KU GOOGLE TAARIFA UKITUKANA NAONA HUNA HOJA UNAKIMBLIA MATUSI HOME OF GREAT THINKER SIO KAMA SIWENZI KUKUTUKANA ILA TUTAHARIBU UZI WA WACHANGIAJI WASTAARABU
Yaani. Usipende ku kopi kopi ...Putin today in the Kremlin will talk with the leaders of the factions in the State Duma (Slutsky for the first time in a new capacity). The day before the meeting, the deputies adopted a number of high-profile bills:
• on providing for the army during operations outside of Russia; legal entities will not be able to refuse a number of contracts
• on penalties for foreign IT resources for non-compliance with the law "on landing"
• on equating to treason the transition to the side of the enemy in the context of an armed conflict
• on the creation of a domestic analogue of the App Store
• on the ban on the export of more than 10 kg of unmarked caviar to air passengers from Kamchatka
Volodin, at the end of the session, gave a couple of pieces of advice. Deputies - to go on vacation to the Donbass. America - to remember that Russia has something to return, for example, Alaska.
Mzee unanitafuta siyo. Dawa yako inachemka. Utainywa muda si mrefu.Yaani. Usipende ku kopi kopi ...
Ulitaka kusemaje hapo
Acha uongoWote waliopitia mafunzo yabkijesh kgb wapo hivyo
Kidumbwasi ndio sahihi[emoji16][emoji16][emoji16]Hapa ndiyo unayaona madhara ya mtu kuwa brainwashed.
Huyu mwamba tumtafutie jina la pekee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] eti kidumbusi
Kujiuzulu kwa vyovyote vile ni kujiwajibisha aiza kwa kuepusha maovu kutendeka chini yako au kuto kubaliana na mwenendo fulani wa mamlaka inayo kusimamia au kuisimamia.Kwa nini Pro Russia mnafikiri viongozi kujiuzulu ni jambo baya?! Inawezekana haya mambo ni adimu sana kwenye tawala kama za Russia au nchi yenu ila siasa za Ulaya viongozi wanapotofautiana na mkuu wao, kuhusika ktk masakata makubwa au kupoteza imani kujiuzulu ni sehemu ya utamaduni wao.
Demokrasia ni bidhaa adimu sana kwa pande zenu ila mnaweza kujifunza katika Historia.
Hawa wanaaminishwa ujinga kama sinema za Rambo kuwaua wavietnam wakati kiuhalisia marekani alidundwa.Akili zenu za chekechea kabisa hizi[emoji1787][emoji1787]ni sawasawa na kusema ulishindwa vita baada ya kuona wanawake wenye mizigo mikubwa nyuma "wowowo"
Lete za source zako bouyer wewe zinasosema ukweli...... Yaani kenge bwana mvua inakunyeshea nchi kavu unakimbilia mtoni.... Lete hizo za source zako mezani ..... Yaani uzifungie , ufungie wananchi wako Kwa kuwafanyia censorship, akaunti za watu ufungie Twitter ,fb ,insta halafu ulete makalio juujuuu kama popo kanyea mbingu ..... Eti media za kupendelea Russia ...lete hizo zinazompendelea shoga mwenzio gaynationkraine na hao gayNato wenzako ...wanahabari Gani ya kukufurahisha ...... Mpaka habari wanakosa za kusoma siku hizi huwasikiii tena ...vikao vya kitchen party wamekaaa mpaka zawadi za majiko na vyombo vimewaishia .....watoe Nini kipya hawajatoa!??!!??? Labda wampe Urusi mtaro ndio mnalolijua Mamamaaaaaae....... Putin weka kigogo ..kamatia hapohapo .....MKUU USHA PROVE POINT YANGU TAYARI WEWE SOURCE YAKO YA HABARI NI ULE MLENGO UNAOEGEMEA MAZURI YA RUSSIA MAANA WEWE HAUPO KULE HUJUI GROUND VITU GANI VINATOKEA ZAIDI YA KU GOOGLE TAARIFA UKITUKANA NAONA HUNA HOJA UNAKIMBLIA MATUSI HOME OF GREAT THINKER SIO KAMA SIWENZI KUKUTUKANA ILA TUTAHARIBU UZI WA WACHANGIAJI WASTAARABU
Lete source mbwa weeeee....MKUU USHA PROVE POINT YANGU TAYARI WEWE SOURCE YAKO YA HABARI NI ULE MLENGO UNAOEGEMEA MAZURI YA RUSSIA MAANA WEWE HAUPO KULE HUJUI GROUND VITU GANI VINATOKEA ZAIDI YA KU GOOGLE TAARIFA UKITUKANA NAONA HUNA HOJA UNAKIMBLIA MATUSI HOME OF GREAT THINKER SIO KAMA SIWENZI KUKUTUKANA ILA TUTAHARIBU UZI WA WACHANGIAJI WASTAARABU
Kujiuzulu kwa vyovyote vile ni kujiwajibisha aiza kwa kuepusha maovu kutendeka chini yako au kuto kubaliana na mwenendo fulani wa mamlaka inayo kusimamia au kuisimamia.
Kumekua na vuguvugu la kutokua na imani na Boris mara2 lakin kwa sasa hali hiyo inaongezeka kwa kasi na yamkini inachochewa na uhusikaji wa UK kwenye mzozo wa Russia na Ukraine+NATO
Kinacho mlinda ni kipengere Cha kikatiba cha kutokupigiwa kura ya kutokua na imani nae mpaka mwaka mmoja upite tangu alipo pigiwa hapo awali.
Hawa wajinga wametutengenezea magonjwa ili wapige pesaView attachment 2282555
Duma Speaker: Biden fears that the world will know the truth about the origin of Corona, and Washington should pay compensation
Akija atakwambia sikuwa naona notifications za JF😀huyu jamaa simuoni kabsa, ila isiwe kesi itakuwa yupo kwenye ofisi za Ewura
Berlin warusi tumeshafikaga hapo tukanywa mpaka chai ikuluBerlin pasikie tu! Kuna Kuna wanaume kabisaa wenye roho za kikatili za kijeremani... Wana akili,Wana ukatili, Wana fitna, Wana pesa.
Labda wafike kinyerezi ila sio Berlin.