Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni kweli
 
Ngoja nione utajibiwa kwa HOJA ama utajibiwa kwa VIOOOJAAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Haya ma-insha unaandikia nani, Urusi ameshindwa kupiga Kyev, ule msafara ulinitisha sana siku ya mwanzo ila kwa ambavyo uliliwa, jamaa mpumbavu anatumia mbinu za WWW2 kwa dunia ya leo, kaliwa za uso pale...
Sawa endelea kusherehekea Nazi wa Ukraine kunawa mikono kwa damu za wamama na watoto wa Ukraine! Yawezekana furaha yako imeegemea hapo, hivyo sina la kukusaidia
 
Safi saana
 
Bwana maelezo hayo tumeshaona mara kadhaa. Hayakuongezeka ukweli. Tafadhali nionyeshe mwalimu au mtaalamu yeyote wa elimu ya vita anayesema: poteza askari zako tu kwa sababu unawatuma na silaha zisizo bora!! Nani????
Hakuna. Kile ambacho ni muhimu vitani ni wanajeshi wako. Moyo yao, elimu yao, ujasiri wao.

Katika WW3 jambo kubwa zitakuwa silaha za kinyuklia. Tishio hili ni kitu kinachomwokoa Putin hadi sasa.
Menginevyo hana . watazamaji wote kimataifa wameshtuka walipoona uwezo halisi wa jeshi lake.
 
Kwahiyo unasema urusi kaishiwa silaha akili zako zinafaa kuzibua vyoo tu ....urusi ingekuwa na shida ya siraha ingenunua hata china
 
Wengi wenu tumetibuana kwenye nyuzi za kidini humu JF, hivyo kukutana na nyie tena kwenye huu uzi wa Urusi na kuwaona mlengo wenu nyote mumerundikana kwenye upande wa Urusi na hoja yenu ni moja tu, kwamba Ukraine apigwe kisa mashoga.
Siyo kweli mkuu Wala hujanijibu. Basi wewe endelea kuteseka, mimi simo.

Ila Russia ni Supremum
 
Kwahiyo unasema urusi kaishiwa silaha akili zako zinafaa kuzibua vyoo tu ....urusi ingekuwa na shida ya siraha ingenunua hata china
Soma! Sijasema wameishia "Silaha". Wana akiba kubwa sana ya silaha za zamani. Ila mifumo ya kisasa wana udhaifu. Vifaru vya zamani wana tele kuanzia T 64, wanaweza kuzitumia baada ya ukarabati.
Wewe unaelezaje kwamba kifaru T-14 Armata hakionekani? Kwa nini matumizi ya roketi janja imepungua?
Mifumo ya silaha za kisasa walibuni kwa kutumia vipuli kutoka Western. Kuvipata sasa ni tatizo kutokana na vikwazo.
Uzalishaji wa silaha janja ni dhahiri wanatoa kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…