Mkuu ni mashujaa ndiyo na watakumbukwa kwa harakati zao za kupambania uhuru wa mwafrika, lakini hiyo pia haitubani sisi kujadili kiundani baadhi ya mbinu za kijinga walizo kuwa wanatumia kupigana Vita.Hizo ni motisha/morali ili watu wasikimbie waendelee kupambana ukizingatia tulitumia mishale,mawe,mkuki na simple tools zingine vs magobore.
Mbona hata huko Ukraine wanatumia simple tools vs heavy tools za kirashia ila wanapambana kutetea taifa lao.
Tuwape heshima mababu zetu walitupambania tofauti na sisi tunaona /tunajua ila ni ma keyboard warriors.
Narudia tena wale ni mashujaa kwa kipindi chao mpaka sasa hakuna mwenye uthubutu waliokua nao.
Itakuwa wewe ndiye hujaelewa. Russia kumguyuguza Ukraine, amesababisha baadhi ya vocabularies kubadilika. Maana mpya ya ^to fire^ ni pale balozi fulani wa nchi ughaibuni anapomaliza muda wake."Balozi hubadilishwa mara nyingi kila baada ya miaka 3-5" Mwanamkiwi
"Huyu wa Berlin alikaa tayari tangu 2015" Mwanamkiwi
Sasa ndugu mwanamkiwi, huoni kama sentensi yako ya kwanza na yapili zinapingana kwa mjibu wa maelezo yako kuhusu time interval ya Balozi kubadilishwa?
Kutoka mwaka 2015 mpaka 2022 ni miaka mingapi hiyo?
Sasa kama unabishana wewe mwenyewe mimi kweli ndo nitakuweza hata nikisema nijitolee kukuelimisha?
Ningeona dalili za uelewa, ningejitahidi tueleweshane ila kwasasa acha nijifanye kama sijui wala kuelewa tofauti kati ya kutumbuliwa(fired) na kumaliza muda wa utumishi (retired)
Ngoja nikuachie Twitty ya Ukraine [emoji1255] Upambane nayo, mimi nimeona dalili za kuto kukuweza Maana huna hoja.View attachment 2285862
[emoji23][emoji23][emoji23]niliamua nisipige kwenye mshono badala yake nimusitahi ili asije akapotea kwenye uzi baada ya kupigwa spana.Taratibu mkuu utaua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usipige kichwani
Mbona anajulikana muda kwamba yuko kwenye payroll ya Marekani? Kitambo tu mimi nilimwacha huko baada ya kujionea jicho kwa jicho ujahili na ubahazuzu wa huyo self-styled kiranja wa dunia.Ha ha ha hata mimi nimeliona hilo, hataki kabisa kutetea infos za Russia kabisa!
We shangazi mkorofi sana πππππMathanzua baba / mama wa kukopi na kupest.
Habari ya asubuh MKUU haujatutolea ile sintofahamu ya jana.
Mkuu ni mashujaa ndiyo na watakumbukwa kwa harakati zao za kupambania uhuru wa mwafrika, lakini hiyo pia haitubani sisi kujadili kiundani baadhi ya mbinu za kijinga walizo kuwa wanatumia kupigana Vita.
Mfano moja wapo wa mbinu za kijinga ni hiyo ya Mwamba Kinjekitile yakuwambia wapiganaji risasi ikipigwa watamke maji itayeyuka nakuwa maji. HIYO ILIKUWA NI MBINU YA KIJINGA KABISA iliyopelekea wapiganaji wetu wapatao 90,000 kumalizwa ndani ya muda mfupi (2yrs) na jeshi la Wajerumani lenye wapiganaji almost 2000tu.
Na miongoni mwa Vita iliyokuwa rahisi kabisa kwa wajerumani basi ni hiyo ya majimaji war (1905-1907), kwasababu ya hiyo mbinu ya kijinga kabisa ya maji dhidi ya risasi. Na inasemekana ni wajeruman wasiozidi 20 ndo walikufa kwenye hiyo vita.
Mjeruman mwaka 1891 alikutana na moto wa wahehe mpaka maji akayaita "mmaa" kipigo kilichopelekea Ushindi wa wahehe mnamo 17/08/1891 na kuendelea kudhibiti uvamizi wa mjerumani kwa muda wa miaka saba 1898 pale Mkwawa (Shujaa wa Vita) alipo kufa kwa kujipiga risasi baada ya kuzingirwa na vikosi vya kijerumani. Kwa zama hizo naweza sema kuwa Mkwawa ndo alikuwa Putin wa kipindi hicho.
Maoni yangu; Kama mababu zetu wangetumia mbinu dhabiti kama za wahehe chini ya mkwawa (the hero) kupambana na wakoloni basi Tanganyika tungepata uhuru wetu mapema sana, ila hizo mbinu za MAJI kupambana na Risasi pengine ndo zilituchelewesha kufika hapa tulipo na hizo ndo miongoni mwa historia zinazodhihilisha Ujinga walio kuwa nao mababu zetu.
Tukirudi kwa hiki kizazi chetu hasa Tanzania; Sisi hatuna ujinga kama mababu zetu ila tuna uwoga wa kijinga na kipumbavu sana kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, laiti mababu zetu wangekuwa waoga kama sisi basi mpaka leo tungekuwa chini ya wakoloni, Taifa limejaa wanaume waoga, wanawake wambea, Vijana wa Hovyo, Wasomi wa hovyo, viongozi wa hovyo na waoga. Leo hii watu hata kusimama kudai Katiba mpya tunaogopa tena kwa viongoz tulio waweka sisi madarakani, je tungeweza kudai uhuru mbele ya mabeberu ya kijerumani kweli?
#Ok Heshima kwao wote mababu zetu walio tupigania enzi za ukoloni na roho zao ziendelee kupumzika mahali pema Peponi.
Mjomba hii paragraph uitunze moyoni, Since wajua Elimu zote ni za ku-copy na ku-paste basi usikimbie kuwaita majina ya ajabu wanaokupinga sehem wanazoona haziko sawa.Na hata kama the information is copied and pasted,what is the problem,the key thing is information. Elimu zetu zenyewe ni copied and pasted.By the way hatuandiki dissertations au Thesis hapa, nia ni kupeana taarifa,that is all.
Wanapigwa mande ya maana, wajomba ni kujichapia tu wanarudi kupumzika. Wajomba wanapeana shift kwa Bao moko moko lakini wakihesabu vichwa vinavyopeana zam wanasanda...Ukraine wanalia kua Russia hachoki
[emoji16][emoji16][emoji16]Uyo dogo ni shoga 100% na uhakika
πππWe dogo ushalaaniwa tayari inawzekana ukawa unapumuliwa acha nikulambe block. Ndomana mnatumia nguvu kubwa sana kutetea sana ushoga. Mungu amrehem aliyekuzaa
Dah! Hata shetani hawezi kua na upuuzi wa kiwango hiki.Itakuwa wewe ndiye hujaelewa. Russia kumguyuguza Ukraine, amesababisha baadhi ya vocabularies kubadilika. Maana mpya ya ^to fire^ ni pale balozi fulani wa nchi ughaibuni anapomaliza muda wake.
Umeelewa sasa?
Mjomba umenifurahisha πππPoland anamchokoza Belarus. Belarus anajibu. Poland anaitikia. Belarus anajibu tena. Poland anazidiwa. Belarus anazidisha mashambulizi. NATO anaingia kusaidia. Belarus anajibu. Marekani anasogea. Belarus anajibu. NATO na Marekani wanabweka tena. Belarus anajibu. Superpower Russia inaingia kuumaliza mchezo. Marekani na NATO wanadhalilika na kusambaratika.
Hahahahah!! Ukraine hawana Rais ni mpuuzi tu. Una angamiza maelfu ya wana Nchi kumpa legacy mpuuzi _ATO?Wanapigwa mande ya maana, wajomba ni kujichapia tu wanarudi kupumzika. Wajomba wanapeana shift kwa Bao moko moko lakini wakihesabu vichwa vinavyopeana zam wanasanda...
Halafu wanaambiwa baaaado kabisa show haijaanza. Yani baaaaado wanakitoa "kiherehere" waingie shughulini rasmi.
Asee Kuna issue zingine zinaleta kicheko from no where ukizisikia, Hawa jamaa wanao lalama huezi amini kama ndio wale waliodai tractor ya mkulima inaopoa vifaru vya Mrusiiii.
π€©π€©π€©Mkuu ni mashujaa ndiyo na watakumbukwa kwa harakati zao za kupambania uhuru wa mwafrika, lakini hiyo pia haitubani sisi kujadili kiundani baadhi ya mbinu za kijinga walizo kuwa wanatumia kupigana Vita.
Mfano moja wapo wa mbinu za kijinga ni hiyo ya Mwamba Kinjekitile yakuwambia wapiganaji risasi ikipigwa watamke maji itayeyuka nakuwa maji. HIYO ILIKUWA NI MBINU YA KIJINGA KABISA iliyopelekea wapiganaji wetu wapatao 90,000 kumalizwa ndani ya muda mfupi (2yrs) na jeshi la Wajerumani lenye wapiganaji almost 2000tu.
Na miongoni mwa Vita iliyokuwa rahisi kabisa kwa wajerumani basi ni hiyo ya majimaji war (1905-1907), kwasababu ya hiyo mbinu ya kijinga kabisa ya maji dhidi ya risasi. Na inasemekana ni wajeruman wasiozidi 20 ndo walikufa kwenye hiyo vita.
Mjeruman mwaka 1891 alikutana na moto wa wahehe mpaka maji akayaita "mmaa" kipigo kilichopelekea Ushindi wa wahehe mnamo 17/08/1891 na kuendelea kudhibiti uvamizi wa mjerumani kwa muda wa miaka saba 1898 pale Mkwawa (Shujaa wa Vita) alipo kufa kwa kujipiga risasi baada ya kuzingirwa na vikosi vya kijerumani. Kwa zama hizo naweza sema kuwa Mkwawa ndo alikuwa Putin wa kipindi hicho.
Maoni yangu; Kama mababu zetu wangetumia mbinu dhabiti kama za wahehe chini ya mkwawa (the hero) kupambana na wakoloni basi Tanganyika tungepata uhuru wetu mapema sana, ila hizo mbinu za MAJI kupambana na Risasi pengine ndo zilituchelewesha kufika hapa tulipo na hizo ndo miongoni mwa historia zinazodhihilisha Ujinga walio kuwa nao mababu zetu.
Tukirudi kwa hiki kizazi chetu hasa Tanzania; Sisi hatuna ujinga kama mababu zetu ila tuna uwoga wa kijinga na kipumbavu sana kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, laiti mababu zetu wangekuwa waoga kama sisi basi mpaka leo tungekuwa chini ya wakoloni, Taifa limejaa wanaume waoga, wanawake wambea, Vijana wa Hovyo, Wasomi wa hovyo, viongozi wa hovyo na waoga. Leo hii watu hata kusimama kudai Katiba mpya tunaogopa tena kwa viongoz tulio waweka sisi madarakani, je tungeweza kudai uhuru mbele ya mabeberu ya kijerumani kweli?
#Ok Heshima kwao wote mababu zetu walio tupigania enzi za ukoloni na roho zao ziendelee kupumzika mahali pema Peponi.
Asalaaaleee πππItakuwa wewe ndiye hujaelewa. Russia kumguyuguza Ukraine, amesababisha baadhi ya vocabularies kubadilika. Maana mpya ya ^to fire^ ni pale balozi fulani wa nchi ughaibuni anapomaliza muda wake.
Umeelewa sasa?
Hapana mkuu Jasmoni Tegga anaelewa hilo, hapo kaandika kum-mock huyo Zombie Mwanamkiwi. Kwamba kipigo kimepelekea maneno yanaanza kubadilishwa maana π[emoji23][emoji23][emoji23]daah! Ila watu wengine Bana, sijui ni stress ndo zinawasumbua sijui ndo uwezo wa akili ulipoishia, sijui ni upumbavu yani hata sielewi.
Shida namba moja inaanza kwa kuandika lugha isiyoeleweka; "Russia kumguyuguza Ukraine" hili ni tatizo.
Shida ya pili nipale mtu mjinga anapoamua kutengeneza maana ya kijinga ili kuficha ujinga wake. "Maana mpya ya neno to fire ni pale balozi fulani wa nchi ughaibuni anapomaliza muda wake"Jasmoni Tegga. Ukiachana na uandishi mbovu usio eleweka vizuri hiyo maana mpya ya neno to fire umeitolea kwenye kamusi ya lugha ipi?
Mkuu, mtu anaweza fikri akili zako zipo kiunoni nasi kichwani, zina yumba kadri unavyo zidi kuchezesha hicho kiuno chako. Ok ngoja nawewe nikuache uendelee kujifunza lugha ya malikia vizuri kama mwenzako nilivyo muacha na ushahidi kutoka kyiv kuhusu hao mabalozi kutumbuliwaView attachment 2286041