D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Jitahidi uanze kuandika vitabu vyako mwenyewe,Superpower anatakiwa kufanya mambo yote kwa wakati mmoja...huku anagawa kichapo hevi kwa Ukraine na wajeda wa NATO...kule anawaumiza vibaya Marekani, Ujerumani na EU kwa ujumla kwenye vita ya nishati zake (mafuta/gesi), halafu wakati huo huo anaanza kujenga project ya mabilioni ya USD huko Indonesia ili kuchakata mafuta ghafi.
By the way, tulikuwa tukisimuliwa na kuaminishwa humu kuwa Marekani ina hifadhi kubwa ya mafuta ya kutumia hata miaka 10 bila kutegemea mafuta ya Saudia. Sasa mbona hilo hatulioni hivi sasa?! Wamarekani na wazungu wanapumulia mipira kutokana na uhaba wa mafuta na na gharama za maisha kupaa, je Urusi angeamua kusitisha kabisa huduma hiyo hali ingekuwaje?!
View attachment 2286045
Huyu nae wanataka kumng'oa sasa anatafutiwa sababu 😂German Chancellor Olaf Scholz is suspected of "sex scandal", according to Deutsche Welle.
As sources in the German Social Democratic Party told the German edition, at least 8 girls were drugged with "drugs for rape" at a private party with the participation of Olaf Scholz.
Asante mkuu kwa ushauri huoJitahidi uanze kuandika vitabu vyako mwenyewe,
Uandishi wako unavitia kusoma
Wajinga hao!German Chancellor Olaf Scholz is suspected of "sex scandal", according to Deutsche Welle.
As sources in the German Social Democratic Party told the German edition, at least 8 girls were drugged with "drugs for rape" at a private party with the participation of Olaf Scholz.
Mkuu Galip Vrl ni Pro-NATO siyo Pro-Russia [emoji16][emoji16][emoji16]Asalaaaleee [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba kipigo kimebadili Vocabulary, Nyie Pro Russia mnakera maneno yenu ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23].
Mjamaa ka katoroka Milembe 😂 Hivi anatuonaje huyu😂😂😂 Hata Mimi kila nikijaribu kuimagine SOCIAL CAPITAL ya QUORA, na alicho kipost huyu mbuza mwenzetu, nabaki nacheka tuu......😂😂😂😂😂
Just cant waitTunakumbushana, kesho ni tarehe 11.
Hakuna gesi itskayokwenda ulaya kwa siku 10
Wewe kama hujui Kiswahili huko Quora unaelewa unachokiandikaga mzee baba Delicious?Umeingiwa na uzombi wa kidini hata sijui kitu gani ulitaka kusema hapa.
😂😂😂😂Mkuu Galip Vrl ni Pro-NATO siyo Pro-Russia [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwahiyo Logic ya kuzaliwa na element za kishoga ni kujitetea tu 😂Uyo dogo ni shoga 100% na uhakika
Tunakumbushana, kesho ni tarehe 11.
Hakuna gesi itskayokwenda ulaya kwa siku 10
Mtu ameanza kutafutiwa chaka hapa....German Chancellor Olaf Scholz is suspected of "sex scandal", according to Deutsche Welle.
As sources in the German Social Democratic Party told the German edition, at least 8 girls were drugged with "drugs for rape" at a private party with the participation of Olaf Scholz.