Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

😆😆😆 hii Sasa kazi juu ya kazi.


‼️🇬🇧🛢📈🚶Due to record gasoline prices against the background of anti-Russian sanctions, many Britons began to get to work on foot, writes The Times‼️
 
Vipi kuhusu mapenzi kwa njia ya mdomoni "oral sex"?
Huko sijui kuhusiana na sayansi
Ila kuna tetesi kwamba inaleta kansa yakoo kwahio kama itakua nikweli basi automatically kwaupande wetu sisi waislam hio kharam (haifai)
Kwaupande wetu nikharam ama haifai kutumia kitu chochote ambacho kinakudhuru hatakama nihalali naamini hata wenzetu pia wapo ama mpo hvyo sina hakika
Mnisamehe waungwana nimetia mada nje ya mada KUU
 
they sanctioned the French more than Russia
Dah! Kwa nini Putin asiifanye Bongo jimbo mojawapo la Russia? Because huku rasilimali zinachotwa na kuchekechwa na kuchezewa tu na manyang'au & ^war-who-knee.^ Afadhali madini na mali zingeenda huko zikaunde Iskander, Sukhoi na MiG.

Pendekezo la jina: Бонгованецк (Bongovanetsk)--nchi ya watu wenye akili (bongo) na mali tele (van) ila hupenda maisha ya mkato na kuombaomba (etsk).
 
Anguko la BoJo halihusiani na hivyo Vita,

hata PM ajaye ataendeleza sera za kuisaidia Ukraine kumkabili mvamizi.
Sikiliza nikwambie, Somebody! Kiherehere cha PM kwenye vita vya Ukraine, huku akisahau majukumu ya homuni kwake, ndicho hasahasa kimesababisha ang'olewe. That was the Mother of All Bombs (MOAB)!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zelensky analalamika mapolisi wake huko Luhansk wamekiuka kiapo chao cha utii na kujiunga na majeshi ya Urusi

Mwambieni Zelensky mkono mtupu haulambwi...Luhansk ishakuwa sehemu ya Urusi, alitaka hao mapolisi wakafanyie wapi hiyo kazi yao ya kulinda usalama wa raia?!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…