Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

While a real food crisis looms over Europe, the grain is being harvested in the liberated territory of the Lugansk People's Republic.

This one enterprise alone is able to meet the needs of the population of the entire region, and there are a lot of such agricultural firms.

Sold in Rubles from now on.

#food_crisis #wheat_export_russia

@russianhead
An authentic Russian channel.
 
Economic and political boomerang!
 

Japo ninaishi Finland na ni raia, japo ninashuhudia mfumuko wa bei na gharama za maisha kupanda. Bado ninasimama na Urusi.

Wengi wenu inawezekana mnachangia hii mada kwa kutegemea mitazamo, taaluma, taarifa, historia na uhalisia wa mambo katika uwanja wa vita, ila mimi ninayaishi haya maisha huku.

Hapa kwetu, ukweli ni kwamba tuna hali mbaya. EU wamenyea kambi to be honest. Winter is coming, jana wakati natoka kazini nimeona wameanza kupunguza matumizi ya umeme kwa kuzima taa zingine za barabarani (streetlights) jambo ambalo ni nadra sana.

Tunaanza kujiandaa kuoga maji ya baridi na kuzoea baridi ndani ya majumba yetu maana heating system inategemea gesi. Bei ya vyakula sitaki kujadili. Maana najua ni kiasi gani mimi na familia yangu nimeathirika.
 
Another explanation: rich & caring. Februari, alikuwa anawapa kipondo na kuwalisha chakula na maji. Lakini wengine walitabiri kwamba angefilisika haraka.
 
utazidi huku kwetu ..!?
 
Lengo kuu lilikua kumpindua Zelensky na kuweka stooge wa Urusi, tatizo intelijensia ya Urusi haikua na taarifa vizuri ya walivyokua wamesubiriwa, kilichoakuta pale Kyev watakikumbuka vizazi kwa vizazi.
Kwa hiyo wewe una intelejensia gani ndugu, mpaka ugundue ya Russia haikupata taarifa sahihi?

Dah!! U Pro NATO wako ni unakuponza balaa.

Mwenzio Zelensky anafanya maonesho ya silaha eti alizoteka kwa Urusi!! Haya endeleeni kufanya comedy kwenye Vita.

Munachekesha Sana. Putin ana waumbua sana.
 
Huh nzuriiii ila kuna paragraph za mwisho wa post yake sizioni hapo halafu ndipo kuliko na ujumbe murua...

Hizi hapa

Kwamba "....However, the solvency of Europe worries us little. We need to deal with the adaptation of our economy to the new very difficult conditions. Solve problems in industry, including securing technological sovereignty.

There is still a lot to do here.
And the best protection against the rotting euro will be the transition to new payment methods in trade with our reliable partners, including the use of national currencies - the Russian ruble, Chinese yuan, Indian rupee, etc.

In the future, it is also possible to create a new reserve currency of the BRICS countries. The modern world is clearly not enough of the dollar, euro and pound sterling. For now, $1 = €1. Keep savings in rubles!
 
Ww unaleta mmoja,Wale 50 waliomalizwa na Iskandar mbona huwaweki humu?
Wiki ya nne Sasa Zina sumbua na zipo Tisa saivi .islander ni balistiki missile wakati HIMAR MLS tu. Saiv Kuna msemo Night belong to HIMAR
 
🇷🇺🇺🇦 According to Russian sources that a deal had been made to sell MLRS HIMARS to the Russian side. The issue price was 800,000 dollars. Additionally, the issue of transferring ammunition for 330,000 dollars is being decided.

The method of transmission chosen is extremely funny: leave the launcher in a shed in the gray zone, so that Russian servicemen “accidentally” stumble upon it during the sweep. Ukrainian "hoarders" definitely found a use for their skills on the line of contact.
 

Furaha ya US ni kuona EURO inaporomoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…