Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Nasikia kuna fungu kabisa kiasi cha Rubles kadhaa zimetengwa kwa ajili ya kuwapa morale hawa PP (Pro-Putin). Lakini soon upepo unaweza kugeuka muda wowote. NATO anangoja Russia nguvu za kiume zipungue kidogo ndipo wafanye yao.
 

Na apriciate ndio Maana nitatulia KO nilisema wao ila parata kajishtukia nawala sikua na lig nae.( Nahisi ni mtu mmoja ana ID tatu aliekuja kuniblesi baada ya kusema KO,moja ikapotea ila nilivyosema kuna moderator wanaunganisha ID sec hazijapita ikaja iliyokuwepo ukiangalia mtiririko na flow ya mijadala yangu wanapeana back up) sasa sio kila mtu yuko ivyo inbox nakutajia ukiangalia mmhemko anaoupata unajua tuu kuna kitu alafu alaiyejishtukia nilimpa swali alifanyie kazi na wala hakua kwenye lig yangu mwanzoni ila yuko moto.

Alafu why kila siku wao tuu.

#K.O imeumaeee na badoo😏😏
😏.
Imagine mi kila siku najitetea tuu

Ni hivi kuanzia sasa ivi nyie timu KO mnajijua msinikot siwakoti.

Mkitaka ignore.
#sitaki reply kutoka timu KO.
Hiyo ni Offa natoa kwa wapenda ubuyu njoo inbox ntakupa majina matatu uyafuatilie utaona 😂😂😂😂 burudani za watu.
 
Ulaya inaendelea kuteseka na winter bado 🤔🤔🤔


🇫🇷✊ 👮In France, people are protesting against rising food and fuel prices. There were clashes with the police

And it is not winter yet...
Your browser is not able to display this video.
 
‼️ 🇩🇪 ❄️ Germany is preparing for winter in 2022/2023, as if the Russians were at our door — Spiegel

According to the publication, prices in Germany have increased for absolutely everything - from fuel to food.
In addition, German expert Huter predicted the collapse of the EU gas market due to the selfishness of its participants.

"And this is just the beginning. Germany is preparing for winter as if for war, as if the Russians are already at our doors. It's hard to say what will happen when Putin closes the gas valve," writes Spiegel.
 
#YURI WAR BRIEFING Kharkov: Kalibr and Iskander strikes become mundane, with two main objectives: to tie down Ukrainian reserves preventing their transfer to Donbass and lay grounds for the future Kharkov offensive. Slaviansk: no offensive actions. Seversk: pressure continues to lure the remnants of the garrison out of town, mopping up of the town’s vecinity continues. Solidár: bitter enemy resistance in Ivano-Daryevka and Pokrovskoye prevents the troops that broke through to the outskirts of the town to advance, to avoid the flanks exposure. Novoluganskoye: opposing troops converge, occupying in some cases the different sides of the same street of the village and can hear each other shout. Ukrainian fighters, when offered a safe withdrawal by the Russians, shouted back that they’d love to go, but fear their own “desertion dissuasion units” stationed in Semigorye. State of the fronts as of 19:00 CEST

En Castellano: @rpd_es
 
Ukrein imekamatwa pabaya wameanza kukili wenyewe

‼️ 🇺🇦 🇷🇺 The former head of Ukraine's foreign intelligence, General Malomuzh, believes that Russia will negotiate only so that Ukraine fully fulfills the conditions that the Russian Federation demands in an ultimatum. According to the general, if Russia's conditions are not accepted, military pressure and the advance of the Russian army on Ukrainian territory will increase.
 

Nawasalimu kwa jina la Russia.

#ubuyu bado unaendelea.
#ID tatu mtu mmoja
#😂😂😂😂nilizani hatajitokeza mtu kweliii mambo ni bambam.
 
Der Spiegel uzuri wao huwa hawabagui cha kuzungumza.
 
Ungefungua uzi wa peke yako ukazijadili hizo id tatu infekuwa poa sana

Hapa naona ni kama unajaza jam tu

No hard feelings

Unda uzi mpya,tag unaotaka kujadili nao hizo id,siye wengine tuacndelee kupata updates za Urussi na Ukraine
 
Ungefungua uzi wa peke yako ukazijadili hizo id tatu infekuwa poa sana

Hapa naona ni kama unajaza jam tu

No hard feelings

Unda uzi mpya,tag unaotaka kujadili nao hizo id,siye wengine tuacndelee kupata updates za Urussi na Ukraine

Habari.
Umeelewa vibaya sijamanisha nataka nijadili na hao watatu.
Nimemaanisha mtu mmoja ana anamiliki ID tatu ni kitu tofauti na ulichoniambia.

Nimesema natoa izo ID inbox (PM)kwa anaependa ubuyu na wadau wamejitokeza.
Nimejieleza vizuri.

Nimezingatia hayo yote kabla sijapost ili kuondoa jam.
No hard feeling 👍👍👍.

# (hashtags)hizo zitakuwepo za kutosha stay tuned umenipa uwanja wa kujieleza maana pale nilimjibu kisiju na sikutaka reply ( uwe ubao wa matangazo) wewe kwa kutokujua au kujua tunatumia fursa.

Uzi wa vita huu😂😂😂😂
 
Tangia vita inaanza, au tuseme kabla vita haijaanza kila mtu alijua Ukraine lazima ishindwe vita, kila mtu, sio NATO au Russia ata sisi waafrica uku mwishon mwa dunia
Ko Ukraine kupigwa sio jambo la ajabu, ila Urusi kupata changamoto hizi zote mpaka leo na bado wakashindwa kuadvance Kiev na kuelekea upande ambao Ulijitoa Ukraine kabla ya vita ni kuwa jeshi la Russia sio kama tulivyodhani
Wengi humu mnaongea kishabiki tu na mtaanza kusema apo ni Russia na NATO ndo wanaopigana, ila kama nato ndo wangepigana hao NATO wangepeleka majeshi yake uko Ulaya wakaita total war, badala yake wanapeleka light equipments na Russia anapeleka kila kitu alichonacho even hipersonic missiles ila bado advance zake katika majimbo yalojitoa kabla ya vita bado iko slow
Ata nikicheza mpira na vitoto nitaonekana Messi, wakubwa wenzangu wakimpa viatu vya mpira huyo mtoto, watakuwa wamemsaidia ila bado nitakuwa nacheza boli na mtoto tu bao
Sa nikicheza na hao watoto na kila mtu akaamini ntashinda goli 5 ndani ya dk10 af badala yake nikashinda ndani ya dk za majeruhi, atakama mashabiki zangu watafurah nmeshinda mechi ila hilo haliepushi ukweli kuwa uwezo wangu ni kama wa hvyo vitoto na sikustahili kucheza mechi na hvyo vitoto

Badala yake watu wanakufa tu na familia zinatawanyika, biashara zinafilisika, af nyie mabumbuwazi mnashabikia et ‘unaona wale watu walivyokufa’ seriously
Hivi vita vya viongozi si vya kuchekea ji kuvipinga, mtu anaweza kupewa ngazi kubwa ila akili yake ni ya kijinga na kitoto
Madhara wanayoyapata ni watu wa maisha ya kawaida na tegemezi wao, sio upande wa Ukraine tu, ata Urusi, hakuna mwanajeshi anaetamani kufa, ata Leo hii Putin ahairishe vita, wanajeshi wote wa Urusi watafurahi pia maana hakuna anaetaka kufa, ila hawezi kwa sababu anaogopa fedheha na aibu, binadam wengi hawafanyi vitu kwa kutumia logic, bali emotions, oviously kwenye upande wa Logic pia taifa zima litadhalilika na watapoteza nafasi yao ya kijeshi walokuwa nayo kabla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…