Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Inakua vp saudia anaagiza wese toka urusi ilhal yeye ni miongon mwa matembo wa OPEC???
Russia ina muuzia Saudi kwa discounted price ya dollar kati ya 50 to 70 kwa pipa. Afu Saudia ana wauzia tena hao wajinga wa EU at US dollar 100 kwa pipa. Yaani EU na ujanja wao wote wanauziwa mafuta ya Urusi bila kupenda. Yaani Russia hautatetereka kwenye hiyo Product hata siku 1.
 

Ndiyo maana tukasema kwamba pengine vita hivi vikamfanya Mwamerika akawa third world country--tena kwa uchumi labda wa daraja la kati-juu tulilolipita juzi enzi za JPM.
 
Kiukwel wachambuzi wengi Putin katupiga changa kwa sabab hatukutegemea km ameweza kuchomoka kibabe licha ya vikwazo vyote vile.
Watu waliambiwa kwamba Putin miaka yote NATO wanapiga kelele na kumzushia mambo, yeye alikuwa busy kujiandaa kwa ajili ya vita hivi.

Pengine hata anashangaa kwa nini NATO hawajaingia full-scale war pamoja naye hadi sasa. Huenda calculations za Putin tangu awali aliamini lazima tu US+NATO wangeingilia kati since day one.

In short, Putin's power is extremely underestimated (at least kwenye media). Naamini Wamarekani military experts wanajua ukweli kamili.

Ndiyo maana Tanzania inapaswa iwe jimbo la Russia. Tumechoka kuonewa na Mmarekani. Kila akikoroma kidogo, asubuhi yake lazima viongozi wetu wananyea na kubadili mwelekeo. Dah! Nachukia sana mie!
 
Posho zimeisha [emoji23]

Huu mzozo umewavua wengi sana nguo hasa team fulaniii kule Twitter.
Hapo haijatajwa ukweli kwamba Ukraine imepewa media coverage si ya kitoto! Kushangiliwa si kushangiliwa (akikamata kifaru kimoja kibovu cha Russia).

Then kuhurumiwa si kuhurumiwa (akipokea kipondo cha Putin)!

Kifupi, apige ama apigwe kote ana advantage Ukraine kwa sababu ya media.

Hapo hatujataja vyanzo vya habari ambavyo Russia amefungiwa.

Na kama tujuavyo, Putin amejifunza kitu kikubwa sana hapa--kwamba sasa kuna haja ya KUTOITEGEMEA NCHI NYINGINEYO kwa asilimia kubwa, hasa kwa vitu strategic!

I think hata mambo ya mtandao, Russia inaleta solutions za maana within time frame ama just after vita hivi kuisha.

I'm glad kwamba tayari lugha ya Kirusi kinapanda freshi sana. Nani ajuaye? Huenda Putin akapiga marufuku mawasiliano watu duniani wasitumie Inglishi, badala yake ikawa ONLY RUSSIAN!
 
Mimi na ma sleeper agents wengine tumeanza kuingiwa na uoga,asije mwisho wa siku akaweka mambo hadharani na kuharibu mpango wangu wa kugombea urais kwa tiketi ya CCM, liwale na liwe 2025 lzm mama atajua hajui
Nalog off Z
Ha ha haa,
Hawezi kukuweka hadharani kama hujamzingua.
Ukimzingua anakuzingua.
Bojo aanalo hilo.
 
Strong intelligence gani huku wameshindwa kujua ukweli rahisi kwamba sanctions dhidi ya Russia essentially ni sanctions dhidi yao wenyewe?

Labda unishawishi kwamba wao intelligence yao wanavaa na kuvua kama gauni!
 
Au BJ alitaka kuwa president wa Russia baadaye, then alipopigwa pini kiharakati then akaamua kuisaliti Urusi mazima? Because nasikia tokea akiwa mdogo alikuwa na ndoto za kuwa MFALME WA DUNIA! Hahahaha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] medved ameshatoa tamko uko yani mkipiga ukraine japo ata tawi la mti tu likikatika ndio itakuwa siku yenu ya hukumu
Huyo naye aache vitisho, aje tuyajenge! Khaa! Kwanza tumeshachoka na viingereza vyake vigumuuuuu hata sie wazawa halisi wa Ulaya na Amerika hatuvielewi mpaka tuhangaike na dikshenari ndipo tumwelewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…