Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umenena vyema mjomba [emoji1666]
 
Sapraiz aliyotufanyia urusi kwa mbaaaal inafanana na sapraiz aliyotufanyia Israel alipowashambulia wale wanamgambo wa Lebanon mwaka2006
 
Ndani ya miezi 5 tayari Ukraine imisha pewa msaada wa fedha na UE pekee $2.5B sawa na Tshs.55Trillion karibu na bajeti ya Tanzania ya mwaka mzima.Hapo bado hatujahesabu hela kutoka USA,Canada & washirika wake,bado hatujahesabu thamani ya Silaa zinazopelekwa huko kutoka Nchi tofauti tofauti.

Maajabu ndani ya muda huo ardhi yao 25% imisha chukuliwa na Russia-na Bado Urusi anasonga mbele,na mbaya zaidi kwa vyovyote vile hawataweza ku-recover hiyo ardhi iliyochuliwa.sasa si bora zelensky akae chini na Putin wayamalize.
 
Zelenscky ameshakula vya watu hana ubavu wa kuamua hatma ya Ukraine,

uhakika anaolingia ni mambo yakiwa magumu aweze kukimbia na vijana wa Dubu wanamlola tu akitaka kukimbia tu wanamdaka km panzi.
 
Maelezo yako njema bro! Ila umechanganya kiduchu hapo kwenye conversion ya 2.5 billions dollar to Tsh.

Umezidisha zero moko, Dollar 2.5B ni around 5.5 Trillions ya fedha yetu sio 55.
 
Na ukumbuke miaka ya 2010s iran pia ilikama meli ya kiheshi ya marekani karibu na pwani yake kwa kudungua navigation system ya meli hiyo na kusababisha ship crews kujikuta wameingia kwenye 18 za wairan
 
V.V.PUTIN
 
Mkuu umebugi kukaa upande wa dikteta uchwara njoo marekani sehemu haki za binaadamu zinapozingatiwa!
Kusumbuliwa haiwezi ila kunyanyaswa kama kawaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tuma salamu kwa Biden mwambie Mc toka Kremlin ndio kwanza ameanza kutumbuiza
 
Kiev does not want peace and refused to negotiate with Moscow on instructions from Washington, which is confirmed by the statements of Ukrainian Foreign Minister Dmitry Kuleba.-
Maria Zakharova
So jambaz amevamia kwako afu anasema utoke mikono mitupu kweli na wewe unatoka?
Ukraine Isha weka wazi Russia itoe majeshi yake ndipo mazungu mzo yaanze.tatizo lipo wap hapo? Kuhusu Donbas na luhask ni mambo ya ndani ya Ukraine yanatakiwa ya malizwe ndani ya Ukraine Kwa Usimamizi wa Umoja wa mataifa.Embu fafanua mkuu Ukraine imekosea wap?
 
Zelenscky ameshakula vya watu hana ubavu wa kuamua hatma ya Ukraine,

uhakika anaolingia ni mambo yakiwa magumu aweze kukimbia na vijana wa Dubu wanamlola tu akitaka kukimbia tu wanamdaka km panzi.
Iliwahi kusemwa na Richard Black, former US Marine Colonel.
Your browser is not able to display this video.
 
Embu nionyeshe Putin anashinda wap kwenye hiyo Raman?
 
Mkuu umebugi kukaa upande wa dikteta uchwara njoo marekani sehemu haki za binaadamu zinapozingatiwa!
Haki za nini?.
Ngoja narration ifutike hii.. kifupi matumizi ya siraha kutatua migogoro ni inhumane. Ambapo si russia au usa wanalikwepa. Na umpendaye ndio hafai kabisa yaani haoni shida kukufuta na kukuita jina lolote baya.
 
Kama ndivyo, nashauri kila rais wa Afrika aandike barua ya kujiuzulu with immediate effect--Afrika yote iwe jimbo la Russia.

Jamani eeeeh! Dawa ya US+NATO imepatikana huku, njoeni!
Wakati Tony Blair amewashauri wana NATO kuwa wakitegemea China na Russia watafta interests zao kwa sasa huku wameimarika kifedha itakuwa ngumu. Njia ya kujikwamua ni kushikana na Developing countries ili kujiimarisha upya kiuchumi na kijeshi ~

Translation:- Warudi kuinyonya Africa kwa rasilimali na hasa hio gas na vinginevyo ili kujiimarisha kiuchumi maana zama zao zimefikia tamati.

Hawawezi kukubali mjiunge na Urusi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ korahisi dollar yao ikishapinduliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…