Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

British Ambassador for Peace to the UN Jane Goodall said that all our problems would be solved if the world's population was reduced by 90%.
Hawa ******* USA itakuwa wanadaiwa kafara la damu na lucifer damu za watu million kadhaa wanzitafuta kwa hali na mali la sivyo empire yao iliojengwa kichawi itaanguka.

Hiki kitu wanaongelea cha kupunguza idadi ya watu kwa asilimia 9O ili wabakie wao tu. Sijui hata wanawaza nini Russia uwa washenzi
wote tuko nyuma yako. US must go to hell!!!
 
Hii taarifa haina tofauti na zile taarifa za sijui Putin amepigwa stroke mara ana ugonjwa wa kutetemeka. Ni propaganda.
 
Kwahio kina Boris wanataka waanze kula washwasha 😂😂😂
 
Sawa na asemaye eti GUNIA HALIBEBI MAJI. Wrong! Inategemea ni gunia la namna gani. Huku Moscow yapo magunia hadi ya Iskander.
Ewaa! Maelezo umeyapa stahiki yake hayajaenda bure!

Kwa maana si kila kutanda kwa wingu jeusi ni dalili ya mvua: Ngano za kale za China wanaambatisha na historia kwa wingu jeusi muda mwengine huambatana na dragon mithili ya magunia ya Russia huambatana na Iskander.

Nimekaribia kwenye ulimwengu. Kuna taarifa gani humu?
 
⚔️⚔️⚔️A decree was signed in the Zaporozhye region on the establishment of an election commission to hold a referendum on the future fate of the region
This was announced by the head of the administration Yevgeny Balitsky⚔️⚔️⚔️



Sometimes the region is referred to as Zaporizhian Sich as well. Zaporizhzhia corresponds to modern Dnipropetrovsk Oblast, major parts of Zaporizhzhia and Kirovohrad Oblasts, as well as parts of Kherson and Donetsk Oblasts of Ukraine.
 
Kuna watu wachache washika-usukani wameshaichoka amani. Russia asipokuwa makini, hao anaodhani anafanya nao mkataba wa amani watamgeuka hadi ashangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…