Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah! hapa duniani ukiwa mbabe na mwenye nacho utaishi kwa raha sana, tena utajiamulia mambo yako ya kufanya na hakuna mtu wa kukuingilia.

Just imagine now days UN amegeuka kuwa mtetezi wa Urusi baada ya kujaribu kupima kina cha maji hapo nyuma nakukuta kina kirefu.

Urusi baada ya kuamua kuonesha nguvu yake halisi katika kipindi hiki cha operation imejikuta ipo level sawa na USA kwenye UN yani kutekeleza inachokiamini bila kuhofia uwepo wa UN wala kuingiliwa na UN (Rejea USA-IRAQ war)

Kwanini nasema hivo:
Moja; Juzi UN imetoa ripot ikiitetea Urusi na kuikandia Ukraine kuwa inatumia watu kama ngao ya Vita. (licha ya Ukraine kuvamiwa)
Walisema: A recent UN report from the Office of the High Commissioner for Human Rights (OHCHR) has confirmed that the Ukrainian Army, as it battles Russian forces for control of the eastern Donbass region, is purposefully putting civilians in harm’s way as “human shields.”

Pili: Jana hao hao UN baada ya Odessa kupigwa kitu kizito, wakasema: The UN said that Russia may not have violated the agreement on the export of Ukrainian grain by shelling the port of Odessa. (Hii waswahili wanaita Uchawa kwa mwenye nacho)

Tatu: Hivi karibuni Russia ameongeza ukaribu zaidi na nchi zilizo pigwa ban na UN kama vile Iran na N.korea bila kujali UN watajisikia je na watasema nini, na juzi kati kaenda mbali zaidi kwa kutangaza kuwatumia vijana wa Kim Kiduku kuijenga upya Donbas.
Nanukuu: "North Korean labour could be sent to rebuild Donbas" Russian ambassador says
Tuongezee na hii ya Iran (taifa lenye vikwazo): "Putin forges ties with Iran's supreme leader in Tehran talks" The guardian

Ukiangalia Matukio yote hapo Juu, utagundua kuwa nowdays Russia yupo juu ya UN kama alivyo USA, na utagundua kuwa UN ina nguvu kwa wanyonge tu nasiyo kwa wababe kama Russia, CHINA na USA. Leo hii Russia angekuwa Mnyonge angekuwa anaishi maisha ya ajabu sana kama wakongo, Vikosi vya UN vingekuwa vimezagaa huko Ukraine na Moscow kuvuruga kila kitu kwa mgongo wa kulinda amani. Lakini, kwasababu ya ubabe na power ya Russia aliyo amua kuionesha kipindi hiki, Siyo vikosi vya UN, USA wala NATO vilivyo thubutu kusogeza pua Ukraine kwenda kuingilia operation ya Mrusi. Maana wanajua Urusi siyo Libya, Yugoslavia wala Iraq.

MWENYE NGUVU MUITE SUPER POWER[emoji635][emoji635]
 
Naona mataifa now yanajitangazia uhuru wao

⚡️🇭🇺 A speech by Hungary's PM Viktor Orbán as reported by @zoltanspox:
  • "The world is not with us"
  • "The Ukrainians are not winning the war"
  • "The ability of the Americans to call on people to side with the 'good guys', that's gone"
  • "Now a multipolar system is rising"⚡️

From Twitter, for Retweets🔻
 
Colonel Macgregor aichana Ujerumani kuwa wajerumani wanaenda ku-freeze ktk winter. Anasema wajerumani walijitia kuwafuata wamarekani kibubusa (pasi kutumia akili) kupeleka silaha Ukraine kupigana na Urusi. Colonel Macgregor anasema Putin akasema, fine. Sasa ameamua kuwakatia gesi ya kupashia joto nyumba na majengo yao kipindi cha winter kama adhabu kwao....lazima wataganda. Na hakuna Plan B.

'Winter' la Ulaya sio lelemama...kwa wale waliokwishaliishi wataelewa zaidi.
========

 
⚔️⚔️⚔️Another stab in the back: Chancellor Scholz delays delivery of 11 IRIS-T SLM air defense systems to Ukraine, which Kiev wants to buy directly from a German manufacturer, - Welt am Sonntag
Ukraine has also requested "financial support" of € 1.5 billion for the purchase of 11 IRIS-T SLM medium-range air defense systems. If the contract is still concluded, only 1 system can be delivered this year. It will take 4 to 5 years to complete the contract in full, reports the newspaper⚔️⚔️⚔️
 
Tatizo lako mkuu ubongo wako wote umeathiriwa na herufi Z hapo hata wakifungua ubongo wako watakuta ni zzzzzzzzzzzzzzz.
We tangu uwepo duniani uliona wapi upige vita usiwe na athari kiuchumu, kuwa na uwezo wa kufikiri huru
Wenyewe wanaongea wewe mrusi wa kwa mpalange unapinga wakati wenyewe pia wanaona.
 
"Russia is right. The US and NATO have made hell in Ukraine."

Such an election poster was presented by a Greek politician, former Energy Minister Panagiotis Lafazanis, who is starting to create a new movement, reports Pronews. gr.

"The United States and NATO have created hell in Ukraine, they are pushing the planet to the edge of the abyss, destroying Europe, ruining and crippling Greece. Throw off the rotten, corrupt, oligarchic, slavish political regime!" — also indicated on the poster.

The politician himself is depicted together with the symbol "Z".

Subscribe to @Sputnik
 
MAREKANI AMEKUA MKAIDI KUCHANGIA UN SASA USHAWISHI ATAPATA WAPI. JAMBO LAKE LIKIKATALIWA HATOI MICHANGO BASI NA UN INAONA IMSIKILIZE MCHANGIAJI MZURI RUSSIA
 
Umeeleza vizuri lakini uchunge usiegemee upande mmoja kama wengine walioko humu wao ni mapambio kama ni kwa Russia wameegemea huko na kama ni upande wa Nato wameegemea huko hawatoi point.
 

US si anadaiwa pesa kibao na UN?? Kuna habari niliisoma
 
@UPOPO huyu anaesema haya niwaziri mkuu mmoja kwenye umoja ambao umeisankshen RUSSIA
MOSCOW KILA GOTI LITAPIGWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je unaunga mkono kwa Russia kuendelea kunyakua nchi za jiraji? Baada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…