Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Watacheza ule mziki wa Pepe Kale wa Polly Popolipo ili wapate joto.
 
Waambie vijana wa Wagner na wale WaChechen wapo njiani.
 
Nawasi wasi na Putin kweli we wakuishindw Ukraine?!!!
Unapigana na kamtaa kama kale chaliiiiiiiii!!!
Au niamini kama kweli uliwekwa madarakani na Rais aliyewekwa na Marekani?! Kwamana hiyo unatuonesha mazingaombwe sio
Mkuu hivi ule msafara wa 45km
Just imagine 45 km,
Ule msafara wa Russia nilipouona nilistuka kumbe nikawa nime wa overestimate Russia, nikajua kweli siku tatu kitaeleweka duh kumbe ni imekuwa kama mkate kwa chai,
Sasa mzee mzima akabaki akawa anatishia nitapiga Nucleur,
Na miongon mwao njia za kushindwa ni kuanza kutishia nitafanya hivi mara nitafanya hivi kumbe hakuna kitu aisee.

Russia akomae aachwe mbwembwe ataumia alishindwa ajipange upya asiruhusu NATO wamzidi kete maana napenda Russia awe na nguvu sana tuwe na balance of power ila aache uoga.
 
Kama n ikweli huenda wanaogopa akiingia mikononi mwa Ruusia itakuwa taabu zaidi atatoa siri zote.

Wangemwacha aendelee na fani yake ya kuchangamsha hadhira kwenye Runinga.
 
Lets go for a commercial break kidogo......
россия не зимбамбве
rossiya ne zimbambve
russia is not zimbambwe
russia sio zimbamweView attachment 2302643
Ni maneno tu mkuu ngoja tuone mshindi nani marafiki wa Russia wa kumpa msaada ni wabinafsi balaa kuna China hapo yeye huwa hataki loss mzee wa faida labda North Korea,
 

CHALINZE to MLANDIZI = 45 km
 

More informationbare hear
Unbiased channel so far, and most detailed one
 
Siri gani ambayo US na Ukraine wanaijua, wasioijua Russia?

"I want to sort things out by levelling up Ukraine and rebuld it from scratch" - Putin akimwambia rafiki yake Steven Seagal.

Kama vile wapi zilipo maabara zingine za siri za "biological warfare".

Kumbuka Russia ameziteka na sasa anadhibiti na kuzisimamia maabara zingine katika facilities mbalimbali nchini Ukraine.

Ukraine ni sehemu ilobeba mambo mengi ya siri za wale wanazi.
 
So Zere demands all to shed their last drop of blood in it's defense. The old, the young, the weak, women and the HOMOs. If they stand for ukraine, they will die for ukraine. Plant by plant, Building by building. Room by room. One rat at a time."

Viktor roznov

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…