Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hizo taarifa zote za loss umezipata toka kwa media za mabwana zenu, as if huwa wanareport ukweli. Special operation gani ya kuondoa serikali na jeshi lake pasipo small scale war.
Na unategemea fair journal from their enemies.
Sikiliza mzee, wababe wote wa duniani huwa na muda wao wa kutamba na ku expire. Hakuna aliewahi kudumu forever. let that sink in your dull brain.
 
Hasara yote mlioingia leo mnasema hamkutaka kuiteka Kyev, limsafara lilienda royal tuwa likapigwa za uso....ha ha ha...
Halafu hapo ndio mnajitutumua eti mnaweza kupigana na NATO wakati hawajatia mguu hapo Ukraine, wabeba javelin tu ndio wanawaliza
Huyu mwamba karudi tena, na hadithi ya karudi baba mmoja[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwenye vita watu wanatumia akili na sio manguvu, marekani anapigana hivi vita Ila kwa akili
Tena sio akili ndogo kama ya Russia na msafara wake wa 45km kwa mbwembwe,
Marekani anapigana vita kwa akili kubwa mno na ana Experience kubwa mno na vita,
Tofauti na Russia anaewapeleka wanajeshi wake machinjioni.
Russia akina mama wanalia tu.
Russia ikisitisha vita vita itaisha,
Lakini Ukraine ikisitisha vita hakutakuwa na Taifa la Ukraine.
 
Na Putin anasonga mbele
Sa hizi kafungwa kamba hatembei, hata ukijaribu kufikiri kwa akili ya kawaida eti masaa 72 alipoona ameshindwa akasema ameongeza tena siku baada ya kuona hakuna kitu akasema sitaki kumaliza vita wenzako waliposikia hivyo wakapanga bajeti ya miaka 5 ya vita mpaka sasa haamini nini kinatokea
 
Ungekua karibu ningekuagizia faru john moja bwasheee
 
Pateni maendeleo ya vita

⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine

▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

💥High-precision sea-based long-range weapons near Bogdanovtsy, Khmelnitskyi region, have destroyed transshipment base with US-supplied ammunition for HIMARS multiple-launch rocket systems and shells for US M777 large-calibre howitzer.

▫️An attempt of Ukrainian sabotage group to advance and land from fast landing boats on the territory of Kherson Region has been discovered in Dneprovskyi estuary. Two Ukrainian landing boats with saboteurs on board were destroyed as a result of strike.

💥High-precision weapons attack of the Russian Aerospace Forces on temporary deployment point of 95th Airborne Assault Brigade of AFU has eliminated over 100 nationalists and foreign mercenaries in Kostantinovka, Donetsk People's Republic.

💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery strikes continue against military facilities in Ukraine.

▫️6 command and observation posts have been neutralised, including units of 60th Infantry Brigade near Orekhov in Zaporozhye Region and 113th Territorial Defence Brigade near Klugino-Bashkirovka and Chuguyev in Kharkov Region. 4 missile and artillery weapons and ammunition depotsnear Lyubimovka, Dnepropetrovsk Region, Stepnoye, Zaporozhye Region, and Artemovsk, Donetsk People's Republic, as well as 1 radar of S-300 missile system near Nekremennoye, Donetsk People's Republic, have been destroyed.

💥As part of counter-battery warfare, 4 platoons of Grad multiple-launch rocket systems near Uspenovka, Markovo, Minkovka and Semenovka, 2 artillery platoons of D-20 howitzers, 3 artillery platoons of Gvozdika self-propelled artillery systems, as well as 8 Ukrainian platoons of D-30 guns at firing positions near Dzerzhinsk, Georgiyevka, Vodyanoye, Novomikhailovka, Kurakhovo and Kamyshevka in Donetsk People's Republic have been suppressed.

💥Russian air defence means have shot down 6 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Kamenka, Brazhkovka, Malaya Kamyshevakha in Kharkov Region and Khartsyzsk in Donetsk People's Republic.

💥In addition, 6 rockets of Uragan multiple-launch rocket system have been intercepted near Stakhanov in Lugansk People's Republic and Popasnaya in Donetsk People's Republic.

📊 In total, 260 Ukrainian airplanes and 144 helicopters, 1,611 unmanned aerial vehicles, 357 anti-aircraft missile systems, 4,161 tanks and other armored combat vehicles, 763 multiple launch rocket systems, 3,198 field artillery and mortars, as well as 4,459 units of special military vehicles were destroyed during the operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Wakichoka kulia watanyamaza
Vita itaisha malengo yakifikiwa
Ukraine hana uwezo wakusitisha vita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In Total wametoa za upande mmoja itakuwa upande wao ni zaidi ya hapa maana ya kwao kapuni,
Itabidi tufiche wanajeshi wetu wasivunjike moyo in Putin voice.
 
Na Ukraine je? Ni sawa na Nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…