Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Acha wafe tu MAGAIDI hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi imani yangu imeendele na inaendelea kuamini Kwamba ikitokea umuhimu was Russia kumfukunyua adui mmoja was NATO Kama Poland, NATO itapiga kelele kulaani lakini haitatokea mjinga hata mmoja asojipenda kurusha risasi ya AK kuelekea Moscow.
Kama Iran iliishambulia US bila majibu itakuwa RF?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ah kumbeee! Kwa hiyo say hizi washaishiwa na silaha?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 

Sielewi nini umesema hapo, andika upya, huyo Urusi kwa ambavyo amechoshwa na hako ka-Ukraine ajaribu bahati yake kugusa kataifa kamoja ka-NATO.
 
Nani kaibuka mshindi hapo kehrson??
Mshindi bado sana pale Ukraine anataka apige war of attrition na Russia hakuwa na priority napo kwanza. Ukraine amejitahidi kufanya Russia ilete reinforcements pale kisha Ukraine aharibu madaraja na kupambana na supplies ili Warusi waliopo pale watengwe. Ni kuviziana pale, ikiwa Kherson itarudi chini ya Ukraine basi inaweza kuwa sehemu ya kuanzia mashambulizi ya kwenda Crimea ambapo sio priority ya Ukraine kwa sasa
 
No comment kama ufahamu wako umeshindwa kung'amua kinachoendelea kwenye huu mgogoro, hakuna haja ya kukuaminisha

Huniaminishi chochote almradi mumeshindwa kufumua kainchi kadogo licha ya kuingia hasara yote hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…