Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Dar to Mwanza = 1,130 kmAnaedhani ukrein ni kainchi Kadogo asome hapa
The length of the front line from Kharkov region to Kherson region, according to foreign observers, is 1105 km.
This is actually the distance from London to Berlin.
#Ukraine
From: @new_militarycolumnist
@russianhead
Three U.S. states have larger GDPs than Russia: California ($3.1 trillion), Texas ($1.78 trillion) and New York ($1.7 trillion). Note that California has more than twice the GDP of Russia.Cheki hii ngombe so unabishana na Banki kuu ya Russia, uchumi wa Russia Ni sawasawa na uchumi wa California
Engineer weka data tuwakere hahahaWalishambuliwa na Ukraine. Au unasema Warusi ni matahahira hawajui kama wameshambuliwa ama sio. Bisha nikushangaze
Wameanza kupingana na Urusi yenyewe. Kwani silaha zinazopigwa ndani ya Ukraine si ndio hizo hizo ziko Urusi sasa sijui wanaona ajabu gani Ukraine ikifanya mashambulizi deep within Russian territory. Habari za air defence tunakubaliana kuwa ni weak, hii sio IsraelEngineer weka data tuwakere hahaha
Kumbe zilitokea ila nisizilete kwakuwa ni za February. Hilo eneo Ukraine ilikuwa haijafika na hawakuwahi kurekodi hapo kablaUnaleta issue za February leo!!??
Walishambuliwa na Ukraine. Sasa kati yako wewe uliyekaa Nanyumbu kijijini na Warusi ambao ndio wameshambuliwa unataka tumsikilize nani. Wewe unajua sana ulinzi wa Urusi kuliko msemaji wao wa Wizara ya Ulinzi?Wameshambuliwa nanani MKUU
Maana kama mshambuliaji ni UKRAINE kama usemavyo kakataa
Kwahio walishambuliwa nanani tujue !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambano lilivyorudiwa akapasuka vibayaKama Hasim Rahman alivyomuoteaga Lenox Lewis ...paaaa chaliiiii
Kwani ukubwa wa eneo ndio undetermine competence ya jeshi?Hii hoja ukiizungumzia Huwa nawaza utimamu wako!Hayo mnayojiliwaza nayo yanatia huruma, Ukraine ni saizi ya mkoa wa Urusi, na imewapa tabu Urusi hadi raha.
tuje kwenye facts tu anayetoa ixo details ni uyo uyo aliyesema Russia ni masikini wa kutupwaMm ni pro Russia. But economically USA ni US $ 25 trillion while Russia ni US $ 1.8 trillion.
Sawa na ujuwe ya kuwa Russia aliwashinda hao magiant wa tactic ya defensive, hivyo russia anaweza vita ya defensive tu! Tena huwa anaweweweseka akipigana mpaka anachoma miji yake, chakula chake, na kukimbilia kwenye mabarafu.Huyo Napoleon na hiltler wote kiama chao kilikuja baada ya kuivamia russia......be aware of russian curse.
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Naona hapa pointi yake ni kwamba why mnyama simba apambane usiku kucha kumuua swala?Kwani ukubwa wa eneo ndio undetermine competence ya jeshi?Hii hoja ukiizungumzia Huwa nawaza utimamu wako!
Usikute kwamba silaha za Marekani zimeishia kwenye vyungu vya Iskander za Russia, so no way out.Baada ya kuona silaha za western ni dhaifu Poland wameamua kununua silaha kutoka Korea kusini kwa ajiri ya usalama wao
BREAKING:🇵🇱🇵🇱🤝🇰🇷🇰🇷
It appears that the Polish-South Korean arms agreement is significantly greater than anticipated.
The Polish Armaments Agency's krzysztof atek spokesperson today revealed that Poland is purchasing:
-672 K9 self-propelled howitzers
- 1000 K2PL MBT
- 48 FA50 fighter planes
- 1400 Borsuk IFVs
For more interesting articles please visit our website ⭐
Russian cruise missile strikes a Ukrainian port in Odesa
Watch the cell phone footage of the Odesa, Ukraine, missile strike The Russian cruise missile can be seen flying over Ukraine on its way to its target in the Black Sea in a number of online videos that were captured using cell phones. The rocket is shown in a video with a clear blue sky […]militarycognizance.com
Kwani ukubwa wa eneo ndio undetermine competence ya jeshi?Hii hoja ukiizungumzia Huwa nawaza utimamu wako!
Kwa maneno mengine, nimekuelewa kwamba kivita Tanzania ni way ahead of MK254Ni aibu sana kwa Tanzania isumbuliwe akili na Rwanda kiasi hiki anachoteswa Urusi.
Kwa maneno mengine, nimekuelewa kwamba kivita Tanzania ni way ahead of MK254
We said it earlier and we're saying it again that Ukraine is a Western testing ground for their recent military inventionsRockets za HIMARS za Marekani zimeangukia kwenye mikono salama ya Urusi, zazungumzwa kuwa na asilimia 50 za kufeli. Zikirushwa kumi, tano zinafeli.
View attachment 2304121View attachment 2304120