T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Mbona umetaja nchi chache hivyo. Australia wale wazungu wote ni Waingereza, Aborigines wa Australia ni weusi. New Zealand ni Waingereza, Hong Kong wale Wachina wenye mchanganyiko wa kizungu ni Waingereza ndio kama kina Bruce Lee. Canada na USA zinachangiwa na Wafaransa na Waingereza mwanzoni kabla wazungu wengine hawajaamia. Kuna sababu kwanini Queen Elizabeth II ni monarchy of 14 independent countries na hapo nyingi zishaondoka. Kuna sababu kwa nini kwenye historia kuna Victorian era aliyekuwa malkia wa UingerezaShauri yako taifa la England ndio lilibeba " white man burden" wazungu wa watu waliacha familia zao wakasambaa dunia nzima kufuta ujinga, wakasambaa wakapima ardhi wakachora mipaka, in short ideas nyingi chimbuko lake ni England tujue England ana watoto wawili USA na AUSTRALIA.
embu niambie taifa lingine lilolo zaa taifa lingine
Watakataje pingili sasa hali hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2306155
Uganda nao wamesema hawachaguliwi marafiki,Museveni akaongeza,adui wa the West sio lazima awe adui wa Uganda!Museveni aliongea haya mbele ya Lavrov,Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Urusi alipozuru Uganda majuzi.
Nafurahi sana kwa kweli,Dunia naona imeamka sasa,👍.Tunasubiri tamko la Tanzania kwa hamu.
Huyu Medvedev Ni hatari na ana akili mbovu kuliko Putin .View attachment 2305961
Dmitriy Medvedev in his telegram channel posted 2 maps of Ukraine:
1)In the brain of the President of Ukraine,affected by psychotropic substances,the following picture of the bright future of his country appeared
2)Western analysts believe that this will actually be the case
View attachment 2305961
Dmitriy Medvedev in his telegram channel posted 2 maps of Ukraine:
1)In the brain of the President of Ukraine,affected by psychotropic substances,the following picture of the bright future of his country appeared
2)Western analysts believe that this will actually be the case
Uganda waliwazidi wabongo LabdA idadi ya silaha lakini si teknolojia.Wakati tunapigana na Uganda walikuwa wametuzidi vifaa na teknolojia vita ni zaidi ya hivyo vitu ulivyotaja kama ingekuwa hivyo marekani asingepigwa na Vietnam
Mwamba kapigwa chini na amri zake za kijinga
[emoji96] India won't be told what to do. India has taken exception to the “suggestion” by the US consulate in Mumbai that Russian ships should not be allowed at Mumbai port and has asserted to US that it is “India's sovereign right to deal with global partners on national interests”.
India objects to US consulate's direct letter to Mumbai Port Authority
US Consulate General in Mumbai asked Port Authority not to allow Russian vessels to dock. Indian authorities made it clear that its ‘Indias sovereign decision to engage with countries in national interests.economictimes.indiatimes.com
Hakika wewe ni debe tupu haliachi kutika.Ngaboru hembu mwambie huyu kijisu ya pwani jinsi mansa musaa alivyopata hizo dhahabu nyingi hivyo. Aliokota kwa mikono yake au kuna watu walikuwa wanamwokotea buree tuu.
Pia hembu mniambie au mnionyeshe sultan wa Zanzibar alipokuwa analima sukari mpaka aje kupigwa bsn na mzungu
Hii mbona sijaelewa fafanuzi please [emoji120]commercial break!!
NETANYAHU
talking about military coordination in syria.
Meaning russia turning blind eye by not activating S-400 israel ikiingia syria
tutajua mengi
Россия не зимбамбве
View attachment 2305899
Ngaboru hembu mwambie huyu kijisu ya pwani jinsi mansa musaa alivyopata hizo dhahabu nyingi hivyo. Aliokota kwa mikono yake au kuna watu walikuwa wanamwokotea buree tuu.
Pia hembu mniambie au mnionyeshe sultan wa Zanzibar alipokuwa analima sukari mpaka aje kupigwa bsn na mzungu
Netanyahu akiwa Prime minister negotiated with russiaHii mbona sijaelewa fafanuzi please [emoji120]
Huyo kasharukwa na akili kawa mjinga mjinga.Jamaa yangu umekuaje au huyo alosema kwamba daraja lisitumike nani!!?
Naomba nirejee nliposema awali napingana nawewe uliposema kwamba shambulizi limefanya daraja lisitumike
Nikakwambia wewe na DW nani tuwaamini maana wao wamesema magari na vifaa vitapita kama kawaida ila kwashida kidogo kutokana na mashimo shimo
Ila unakana maneno yako ww jamaa banaView attachment 2305722
Sent using Jamii Forums mobile app
apo kremlin unaambiwa putin peke yake ndiye mwenye huruma yani waliobaki ndio wangekuwa wanatoa amri Ukraine muda huu kungekuwa makazi ya dubu na wanyama wengineHuyu Medvedev Ni hatari na ana akili mbovu kuliko Putin .
Wamagharibi wasitumaini kabisa eti Kwamba akiondoka Putin atakuja pro West!
Atakaeingia baada ya Putin Ni w kutisha zaidi. Either aweza kuwa
Medvedev au Shoigu ama pia asiyejulikana lakini mwenye misimamo thabiti dhidi yao
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Unajua watu wetu wa Bongo, especially viongozi economics ni tatizo kubwa. Badala ya kutumia mapesa kibao kwa ajili ya Royo Tuwa, tungemkaribisha Lavrov na ingekuwa zaidi ya promo ya mwaka kwa Tanzania.The results of Lavrov's tour of Africa. The backdrop was Western statements about the "isolation" of Russia, but in the end Borrell complained that Lavrov was more popular in the Western press than he was.
🇪🇬 Egypt
✔️ conveyed Putin's message to the President
✔️discussed Cairo's interest in joining the work of the SCO and BRICS
✔️ promised that the Russian Federation would supply grain to Egypt, regardless of the "grocery deal"
🇨🇬Republic of the Congo
✔️First ever visit
✔️ brought Putin's message
✔️The Foreign Minister of the Congo assured that they are "true friends" of the Russian Federation
✔️countries will increase military-technical cooperation
🇺🇬 Uganda
✔️visited the country for the first time
✔️ The role of Africa in the foreign policy of the Russian Federation will grow, and the Western direction "is now canceling itself"
✔️President Museveni is perplexed by calls for Africa to take an anti-Russian stance
✔️countries will build cooperation in energy and agro-industrial complex independent of the West
🇪🇹 Ethiopia
✔️ discussed preparations for the Russia-Africa summit in 2023
✔️ will implement new plans in the field of military-technical cooperation
✔️ and work on the development of logistics and financial chains in trade
Nimejikuta nacheka tu😂😂😂😂 kipindi unasoma Hali ilikuaje mkuu? Unajua kukariri🙄limsafara lilienda royal tuwa likapigwa za uso....ha ha ha...
Bahati,Shauri yako taifa la England ndio lilibeba " white man burden" wazungu wa watu waliacha familia zao wakasambaa dunia nzima kufuta ujinga, wakasambaa wakapima ardhi wakachora mipaka, in short ideas nyingi chimbuko lake ni England tujue England ana watoto wawili USA na AUSTRALIA.
embu niambie taifa lingine lilolo zaa taifa lingine