Kuwaliza as in kuwapora, si ndiyo? Mm sitaki na nisingependa kabisa kuingia kwenye uchokozi dhidi ya Putin because Ukraine amekuwa mfano tosha. Asiyejifunza kwake ana uhalakini kumkichwa.
Ndugu amini tu, ninatetea uhuru wa imani. Hata kama imani iko mbali na uhalisia (imani fulani imeshinda dunia...) Nikiwauliza US kuhusu lifti kwenda anga-nje, wanashukuru ingawa haikuwa lifti kweli, walilipa nauli, tena si kidogo.Non sense,huujui uwezo wa tech wa Russia!Waulize US wanaopewa lift kwenda space ndio wanajua uwezo wa Russia kitech!Au Waulize US ni majaribio mangapi wamefanya ya hypersonic missile na kufeli wakati Russia anazo kitambo tu na ametumia huko Ukraine!
Wenye akili, post zako wanazipotezea wanajua wewe sawa na kofia la bati lisilogongewa misumari wanajua muda wowote linaweza kuchomoka juu ya bati ikawa majanga. Na kwa vile bichwa lako sawa na debe tupu, kelele kwako burudani ukishangilia ushindi kumbe wenye akili wamekupotezea.
Nimejikuta nacheka tuππππ kipindi unasoma Hali ilikuaje mkuu? Unajua kukaririπ
Haya amapokelewa, hakukataliwa kuonana na wenyeji. Mafanikio sasa ni nini?The results of Lavrov's tour of Africa. The backdrop was Western statements about the "isolation" of Russia, but in the end Borrell complained that Lavrov was more popular in the Western press than he was.
πͺπ¬ Egypt
βοΈ conveyed Putin's message to the President
βοΈdiscussed Cairo's interest in joining the work of the SCO and BRICS
βοΈ promised that the Russian Federation would supply grain to Egypt, regardless of the "grocery deal"
π¨π¬Republic of the Congo
βοΈFirst ever visit
βοΈ brought Putin's message
βοΈThe Foreign Minister of the Congo assured that they are "true friends" of the Russian Federation
βοΈcountries will increase military-technical cooperation
πΊπ¬ Uganda
βοΈvisited the country for the first time
βοΈ The role of Africa in the foreign policy of the Russian Federation will grow, and the Western direction "is now canceling itself"
βοΈPresident Museveni is perplexed by calls for Africa to take an anti-Russian stance
βοΈcountries will build cooperation in energy and agro-industrial complex independent of the West
πͺπΉ Ethiopia
βοΈ discussed preparations for the Russia-Africa summit in 2023
βοΈ will implement new plans in the field of military-technical cooperation
βοΈ and work on the development of logistics and financial chains in trade
Tatizo iko wapi? Wakienda kweli(nina wasiwasi bado kwa sababu hawana pesa wala tekinolojia kujenga kituo kipya, na Wachian hawakuwakubali bado kwa kituo chao) waende tu. Wameleta sehemu ya ISS inayofanya kazi ya kuinua juu ISS mara kwa mara. Hii ni lazima kwa sababu ISS iko kwenye obiti ya duni ambako inapiigwa breki na sehemu ya nje ya angahewa. Lakini ni rahisi kufunga roketi fulani nje ya ISS inayoweza kuwaka kila baada ya muda na kuinua ISS,βοΈπ·πΊForeign partners under the International Space Station (ISS) project may have to buy station maintenance services from Russia if Moscow leaves the project after 2024, Russian space corporation Roscosmos chief Dmitry Rogozin told Sputnik. When asked in what currency such payments could have been settled, he said in rubles.
Ni uthibitisho Russia haijatengwa kama mlivyotaka kuiaminisha dunia.Haya amapokelewa, hakukataliwa kuonana na wenyeji. Mafanikio sasa ni nini?
nadhani ni muda sahihi sasa, kwa Jinsi Putin alivyofeli kule Ukraine, Kenya inaweza kumtwanga na kuirudisha Ukraine mikononi mwa ZelenskyHuyo Putin na Urusi niliwaogopa sana miaka yote, ila kwa namna wameangukia pua pale Ukraine, ni useless sana, dunia hii mtu anayeitwa Marekani ameachiwa kila kitu, hata waarabu wamekubali sasa.
Elfu Tisa ni mengi Kwa nchi isiyotengeneza hayo magari ila Kwa wanaotengeneza hiyo ni production ya miezi miwiliKimeumana huko kwa Putin. Urusi yapoteza magari elfu tisa ya kijeshi,kwenye vita yake na Ukraine [emoji848]
Russia struggling to repair thousands of destroyed combat vehicles, British intelligence says
Russia is likely struggling to extract and repair combat vehicles damaged in its war in Ukraine, Britainβs Ministry of Defense has said.sg.news.yahoo.com
Aya sawaWakati tunapigana na Uganda walikuwa wametuzidi vifaa na teknolojia vita ni zaidi ya hivyo vitu ulivyotaja kama ingekuwa hivyo marekani asingepigwa na Vietnam
nadhani ni muda sahihi sasa, kwa Jinsi Putin alivyofeli kule Ukraine, Kenya inaweza kumtwanga na kuirudisha Ukraine mikononi mwa Zelensky
Mdharau mwibaπ π
Mkuu tatizo so old version kutopata notifications Bali Ni version zote hata I'll iliyopo play store shida Ni hiyohiyo.Bahati,
Natumia JF old version sipati notification. Sikuona hii reply yako.
Aisee ndugu unatakiwa utazame upya mtazamo wako kuhusu wazungu. Sijui una maslahi nao gani au unapata nini kwa wewe kuwa na mtazamo huo au ilikuwaje? Je ni dini? Maisha? Mazingira? Kazi? Au makazi yamekufanya uwe na huu mtazamo? Kiukweli nimeshindwa kupata jibu la haraka.
Uliambiwa na nani bosi ?apo kremlin unaambiwa putin peke yake ndiye mwenye huruma yani waliobaki ndio wangekuwa wanatoa amri Ukraine muda huu kungekuwa makazi ya dubu na wanyama wengine
Cheki sasa umeenda OPHakika wewe ni debe tupu haliachi kutika.
Ulisikia wapi? kwamba Zanzibar Ina mashamba makubwa ya miwa?
Ulisikia wapi?
Zanzibar lilikuwa ni soko kuu la watumwa, pembe za ndovu na kadhalika.
Nadhani Ngaboru alikuelezea pia swala la Masoko na machine kuliko human Labour.
Kwa hiyo hauamini wealth can be accumulated through business bila unyonyaji [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Tofautisha umaarufu wa UTALII na umaarufu wa kuwa Rogue stateUnajua watu wetu wa Bongo, especially viongozi economics ni tatizo kubwa. Badala ya kutumia mapesa kibao kwa ajili ya Royo Tuwa, tungemkaribisha Lavrov na ingekuwa zaidi ya promo ya mwaka kwa Tanzania.
Sasa hivi Uganda, Congo, Ethiopia na Misri ni maarufu na mashuhurI mara ^tar-two^ zaidi. Tunakwama wapi?
nyakati hizi za vita huyu bwege ndio kwanza anatafuta umaarufu kupitia majarida.
View attachment 2306462