Kazi iendeleeMambo yanazidi kuwa mambo
‼️🇩🇿🤝🇧🇷🇷🇺🇨🇳🇿🇦🇮🇳 — The Government of Algeria announced that it intends to join the BRICS‼️
How many soldiers are in a battalion?
BATTALION. Battalions consist of four to six companies and can include up to about 1,000 soldiers. They can conduct independent operations of limited scope and duration and are usually commanded by a lieutenant colonel.
thats a big loss over a single night. I cant buy your lies that Russia can wipe away 1000 soldiers, his own men erroneously 😁😁😁😁😁😁
Hata hiyo miji ya Ukraine wanayoichukua ni propaganda tu hawajachukua eneo lolote [emoji41][emoji41][emoji41]Urusi kama Mandonga tu. Mikwara mingiii matokeo ziro [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2310541
Maybe he's changed. Who knows? In the postmodern world, the changes are immediate and occur too fast, too soon almost as though they take place before they actually do.🇪🇸🇷🇸🇽🇰Spanish Prime Minister Pedro Sanchez:
"We support Serbia when it comes to Kosovo. Spain has been, is and will always be on Serbia's side"
But Pedro saying that because he has same problems with Catalonia not because he cares about the teritorial integrity of Serbia
Warusi ni hatari zaidi unavyowaza wao wana mbinu nyungi za kivita ile waliweka msafara mkubwa wa mavifaru mabovo Ukraine wakajaa upande huo kumbe jamaa kawazuguka. sasa ona walivyochachafya.Jibu ni ukishashika mji mkuu ushachukua nchi
Kuwa na uelewa bas, acha pumba
Ndo maana Urusi ilivyoingia uelekeo ilikuwa ni Kiev, ila walivyoshindwa na msafara kufyekwa ndo akaona apo hawezi chochote na akabadirisha mipango na kurudi kuyapigania majimbo yaliojitenga tangu mwanzon mwa vita
Na ndo vita vilivyo
Sa kama unabisha kitu kilicho wazi ni kuwa unamapungufu kichwan
Hii kazi ya Tecno kinachonitisha ni Huo muda uliotumwa post hii 02;41 hrs 🤣🤣🤣🤣🤣Totktkggi,ktlmkkk mt,,kz,y8lik68,ot.k9z9k88ztt8yyk8g88kgkmkk8k,k,m,zk
8T88t,kzoozzzim8ztzzmztmzy8,88mki8ikkkiiiz,ktikkkkk888iz,mIzkz,iz,**.¥8£888££8---£kKkIkikkok8im,,i.,m,mmzkkKSks
mkuu asikupe shida uyo jina lake limekatwa aliomba ukarani wa sensa ana stress[emoji38][emoji38]Hii kazi ya Tecno kinachonitisha ni Huo muda uliotumwa post hii 02;41 hrs [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wameacha kufatilia uchaguzi wao wanakuja na vithread vya kutungaUkiona watu wanaanzisha thread hataka haraka ujue hao ni wakenya.
Comedian anaona bado Yuko site..... 1,2, 3 Action.....Oleksiy Vadatursky: Tajiri wa nafaka wa Ukraine auawa katika shambulio la Urusi
Mfanyabiashara mmoja tajiri zaidi nchini Ukraine ameuawa akiwa na mkewe katika shambulizi ‘’kubwa’’ la Urusi katika mji wa kusini wa Mykolaiv.
Oleksiy Vadatursky, 74, na mkewe Raisa walikufa wakati kombora lilipopiga nyumba yao usiku kucha, maafisa wa eneo hilo walisema.
Bw Vadatursky alimiliki Nibulon, kampuni inayohusika na mauzo ya nafaka nje ya nchi.
Pia alikuwa amepokea tuzo ya ‘’shujaa wa Ukraine’’.
Meya wa Mykolaiv Oleksandr Senkevych alisema huenda ni mashambulizi makubwa zaidi ya Warusi katika jiji hilo kufikia sasa.
Kulikuwa na uharibifu wa hoteli, uwanja wa michezo, shule mbili na kituo cha huduma, pamoja na nyumba.
Mykolaiv iko kwenye njia kuu kuelekea Odesa, bandari kubwa zaidi ya Ukraine kwenye Bahari Nyeusi, na imepigwa mara kwa mara tangu Urusi ilipoanzisha uvamizi wake tarehe 24 Februari.View attachment 2310319
Au tufanye ni kiazi Mbatata.....Unafurahishaga snaa aisee unasemaga hunaga ushabiki Ila wee ni mshabiki mkubwa sana WA NATO porojo nyingiii alafu hamna kitu mlikuwa mnasema Russia Hana uwezo WA kuhimili vita Kwa miezi mingi mkaja na mbwembwe kuwa uchumi wake ni Sawa na Jimbo moja pale USA saivi naona unakuja na mbwembwe mpya kuwa Hana pesa wala yard wala teknolojia ya kutengeneza Carrie kweli kiazi ni kiazi tu
Labda tuelewane,kabla hujapost unajua maana ya battalion, je unajua battalion Ina wanajeshi kuanzia wangapi,?Jamaa wanapoteana mpaka wanafyekana wenyewe
In Donetsk region, the Russian military rained fire on the 2nd battalion of the 1st army corps of the "DPR people's militia,” fighting as part of the Russian army, in an apparent coordination failure.
That’s according to an intercept released by the Security Service of Ukraine (SBU), Ukrinform reports.
Although the Russians are trying to cover up the incident, soldiers mobilized in the so-called "LPR/DPR" start realizing that they are being used as cannon fodder.
“DPR” battalion destroyed in Russian friendly fire
In Donetsk region, the Russian military rained fire on the 2nd battalion of the 1st army corps of the "DPR people's militia,” fighting as part of the Russian army, in an apparent coordination failure. — Ukrinform.www.ukrinform.net
Huyo jamaa ana ubishi wa ajabu kabisa...ni zaidi ya ubishi wa kitoto..Yaani bado anadhani aircraft carriers ni deal....Fikiria Ndugu yangu li-Aircraft carrier kama Nimitz Lina Askari zaidi ya 4000 halafu linadunguliwa kiulaini na hypersonic missile moja..just imagine....hizo ni sitting ducks....hata zilindwe namna gani zinadunguliwa tu...We jamaa una ubishi wa kitoto sana aircraft carriers kwa sasa ni hasara mtu anakupigia akiwa kwao inatumwa hypersonic kwisha habari. Tuko kwenye tech mpya kwa sasa.