kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Special epereshen iliyogharimu maisha ya majenerali zaidi ya 22..., asikari wa kawaida zaidi ya 25000..,makumi elf ya vifaru..,ndege kadhaa..., magari ya kivita kadhaa..., helicopter kadhaa..., fuel tank..., boat kadhaa..,meli kadhaa..,nk nk nk..,ni special epereshen hiyo??Tulia wewe pro nato hii small op sisi ndio tuna i control iendeje tukiamua ata leo hii tuimalize hii op no simu moja tu putin anampigia shoigu anampa order hypersonic zinamaliza kazi sema tunataka twende ivi mdogo mdogo ili akili zenu zirudi ili sikunyingine mkiambiwa Russia ni masikini wa kutupwa muwe mnajiuliza mara mbili mbili
Acha tu mzee baba, hizi man pad stringers, javeline n.k ni silaha simple sana lakini balaa lake sio dogo. Teknolojia za Ulaya ni mziki mnene. Mwanzoni mwa vita helikopta, ndege, vifaru na magari viliisumbua mno Ukraine. Walipoanza kutumia zana hizo, Russia akapoteza zana nyingi, akaanza kutumia kurusha mabomu kutokea mbali.Siraha kama
Juveline apo mwanzo, na hizi HIMARS wala sio tegemeo za jeshi la marekani afu zimekiwasha kule balaa, yani ni kama Siraha ambazo Marekani kafungulia kwa kuwa sio tegemezi ila kwa Mrusi ni Jini lililoachiwa, na zinachakaza hatari
Leo hii ndo useme Urusi apigane na Marekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aya bna
ICBM tangu lini ikatumika kushambulia carrier. Unajua CEP ya makombora ya North Korea yale kina Nodong na Pakgungsong sijui nimelipatia jina? Hata ballistic missile au cruise missile ya kawaida haitumiki kupiga meli. Meli inapigwa na anti ship missiles ambazo zinatakiwa kuwa extremely accurate na zina mambo mengi kupitiliza. Carriers zikiwa baharini huwa hazisimami na haziendi kwenye straight line, ili uipige inabidi ujue iko wapi hundreds of kilometres away kisha uwe na real time data na positioning, kisha na missile uliyotuma iweze kuvuka defense zote za destroyers na cruisers ambapo kuna layers kama tatu tofauti. Mwishoni ikutane na CIWS, na missile iwe na speed kubwa au sea sea skimming ya hali ya juu. Sifa ambazo hakuna kombora la North Korea linazo.Intercontinental Ballistic Missiles, ICBM. Nasikia Mr Kiduku hata akiamua kudungua mwezi, ni suala la dakika chini ya 20, shughuli imekamilika.
Hiyo speech ya Putin I think ni ya New Year 2019. Nikumbushe ni lini alitangaza Poseidon wakaonesha na CGI yake na Burevertsnik ikazungumziwa. Russia docktline yake anajua hana ubavu wa kumfuata Marekani kumpigia kwake. Wala Marekani hajawahi ota kupigana na nchi yeyote ile kuanzia mainland kwake. Marekani ana bases zaidi ya 50 duniani kwa sababu hiyo, ana dedicated 82nd Airborne Division kwa ajili ya rapid development popote pale duniani. Ana tactical airlifters za AMC na mambo mengi kuhakikisha hapiganii vita kwake.Ngoja niwape ufafanuzi kidogo kuhusu Aircraft carriers.
1. Yatupasa tuelewa kwamba, kila nchi inatofautiana kwenye "Military Doctrine".
2. Kazi ya Aircraft carriers Ni " kubeba zana za Vita" (hasa hizo ndege au helicopter au drones). Aircraft carriers hairushi makombora.
Sasa, Military Doctrine ya US Ni kuwa na base nyingi za jeshi na kupigana Vita nyingi mbali huko na America continent.
Russia yeye miaka yote hana mpango wa kuwa na base za jeshi nyingi na kupigana Vita nyingi mbali huko na mipaka yake.
Hadi hapo mtakuwa mmeshaona utofauti.
Pia, Kama Ni wafuatiliaji vizuri wa speech za Putin, miaka ya nyuma kidogo wakati kwa Mara ya kwanza anazindua prototype ya hypersonic missile alisema kwamba, hili kombora linafika popote duniana kwa hiyo hakuna haja ya kuwa na aircraft carrier (Kama 3 yrs ago).
China yeye amefata nyayo za US za kuwa na bases nyingi za jeshi. Ndio maana aircraft carrier zinakuwa za muhimu.
KREMLIN kila GOTI litapigwaSerikali nyingine ya EU [emoji1099] yaanguka.
Raisi wa Bulgaria kavunja bunge masaa machache yaliyopita na kuunda serikali ya mpito. Uchaguzi mpya kufanyika mwezi wa kumi.
Chanzo kina semekana ni mvutano mkubwa kuhusu kupeleka au kitopeleka silaha Ukraine.
Ina semekana kazi kubwa kwa Waziri mkuu wa mpito Galab Donev itakuwa ni kurudisha mahusiano mazuri na Russia ili wapate gesi. Kumbuka kuwa Russia ilikata huduma ya gas Bulgaria tarehe 27 mwezi wa 4 baada ya nchi hiyo kugoma kulipia kwa Ruble.
Bulgaria inatumia zaidi billion 3 cubic meter ya gas kwa mwaka. Na zaidi ya 90% walikuwa wana nunua kutoka Russia.
Kazi nyingine itakuwa kurudisha uhusiano wa kidiplomasia na Russia baada ya serikali iliyopita chini ya Waziri mkuu Kiril Petkov kuwa fukuza wana diplomasia 70 wa Russia huko Bulgaria tarehe 28 mwezi wa 6.
Bulgaria alisema hahitaji gesi ya Russia kwa kuwa wana karibia kumaliza ujenzi wa bomba lingine kutoka Greece.
Tutapata taarifa zaidi siku zijazo.
Sio hakuna alobaki, bali hawakuchukua mtumwa kupeleka kwao bali walikuwa wanawauza kwa waliokuwa wanawahitajiSiku zote za maisha yangu nitakuwa upande wa Marekani sababu,
Ni nchi pekee iliyobaki na waafrika ingawaji ubaguzi hauwezi isha lakini utu kwao ulikuwepo kiasi,
Watumwa wa Africa walisambaa karibu dunia nzima lakini hapo bara Asia kwa nini hakuna hata weusi waliobaki huko..!?
Hao tunaowatetea ni watu wa hovyo kabisa kuanzia China hao ni hatari mno,
🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪💪🙌Serikali nyingine ya EU [emoji1099] yaanguka.
Raisi wa Bulgaria kavunja bunge masaa machache yaliyopita na kuunda serikali ya mpito. Uchaguzi mpya kufanyika mwezi wa kumi.
Chanzo kina semekana ni mvutano mkubwa kuhusu kupeleka au kitopeleka silaha Ukraine.
Ina semekana kazi kubwa kwa Waziri mkuu wa mpito Galab Donev itakuwa ni kurudisha mahusiano mazuri na Russia ili wapate gesi. Kumbuka kuwa Russia ilikata huduma ya gas Bulgaria tarehe 27 mwezi wa 4 baada ya nchi hiyo kugoma kulipia kwa Ruble.
Bulgaria inatumia zaidi billion 3 cubic meter ya gas kwa mwaka. Na zaidi ya 90% walikuwa wana nunua kutoka Russia.
Kazi nyingine itakuwa kurudisha uhusiano wa kidiplomasia na Russia baada ya serikali iliyopita chini ya Waziri mkuu Kiril Petkov kuwa fukuza wana diplomasia 70 wa Russia huko Bulgaria tarehe 28 mwezi wa 6.
Bulgaria alisema hahitaji gesi ya Russia kwa kuwa wana karibia kumaliza ujenzi wa bomba lingine kutoka Greece.
Tutapata taarifa zaidi siku zijazo.
Nitakujibu swali lako hapa MKUU silaha yeyote itatumika kushambulia KARIA inategemea na silaha inavyotumikaHiyo speech ya Putin I think ni ya New Year 2019. Nikumbushe ni lini alitangaza Poseidon wakaonesha na CGI yake na Burevertsnik ikazungumziwa. Russia docktline yake anajua hana ubavu wa kumfuata Marekani kumpigia kwake. Wala Marekani hajawahi ota kupigana na nchi yeyote ile kuanzia mainland kwake. Marekani ana bases zaidi ya 50 duniani kwa sababu hiyo, ana dedicated 82nd Airborne Division kwa ajili ya rapid development popote pale duniani. Ana tactical airlifters za AMC na mambo mengi kuhakikisha hapiganii vita kwake.
Russia ni kinyume kwa kuwa docktline yake vs USA sanasana ni kupigania nyumbani. Anapanga defensive warfare ambayo anaamini kwenye largest landmass kulinda inland. Ndio maana wakati Marekani ana stealth jets aina tatu tofauti zikiwa ni mamia, Russia anayo aina moja ambayo hata units 20 haina. Marekani ana ndege nyingi 4th, 4.5, 5th gen. na bombers nyingi wakati Russia ana chache. Russia inacompensate hilo kwa kuwa na air defence systems nyingi na aina tofauti zikiwa layered, wakati Marekani ana air defence systems chache. Russia hana haja na carriers ila bado hana uwezo kuzitengeneza, na hili haliondoi umuhimu wa carriers
Hakuna zana ya kisasa ya kivita ambayo haina maana (hata hizo aircraft carriers Zina maana kubwa tu). Pia tambua kwamba, kuna tofauti ya kimtazamo wa kijeshi wa nchi na nchi, na namna ulivyoli organise hilo jeshi lao.Hiyo speech ya Putin I think ni ya New Year 2019. Nikumbushe ni lini alitangaza Poseidon wakaonesha na CGI yake na Burevertsnik ikazungumziwa. Russia docktline yake anajua hana ubavu wa kumfuata Marekani kumpigia kwake. Wala Marekani hajawahi ota kupigana na nchi yeyote ile kuanzia mainland kwake. Marekani ana bases zaidi ya 50 duniani kwa sababu hiyo, ana dedicated 82nd Airborne Division kwa ajili ya rapid development popote pale duniani. Ana tactical airlifters za AMC na mambo mengi kuhakikisha hapiganii vita kwake.
Russia ni kinyume kwa kuwa docktline yake vs USA sanasana ni kupigania nyumbani. Anapanga defensive warfare ambayo anaamini kwenye largest landmass kulinda inland. Ndio maana wakati Marekani ana stealth jets aina tatu tofauti zikiwa ni mamia, Russia anayo aina moja ambayo hata units 20 haina. Marekani ana ndege nyingi 4th, 4.5, 5th gen. na bombers nyingi wakati Russia ana chache. Russia inacompensate hilo kwa kuwa na air defence systems nyingi na aina tofauti zikiwa layered, wakati Marekani ana air defence systems chache. Russia hana haja na carriers ila bado hana uwezo kuzitengeneza, na hili haliondoi umuhimu wa carriers
Mkuu statistics nyeti Kama hizo huwezi wewe tu kuzijua kirahisi. Hakuna Nchi inayo disclose 100% ya mambo ya Military Power na Technology zao.Huo ni moshi ya burning fuel. Russia hawajawahi kuwa na nuclear carrier, hilo dude linakunywa diesel na linalazimika kuwa na mission fupi au kusindikizwa na meli ya mafuta wakati Marekani wao carriers zao ni nuclear powered zinakaa miaka hata 10 bila refuering mpaka zipate mid life upgrade. Admiral Kuznetsov haiwezi hata kutoka Mediterranean sea mpaka Cape Town, gari la mkaa hilo. Tangu 2018 itoke Syria iko inakarabatiwa hadi leo na kabla ya hapo ilishakarabatiwa kabla ya kwenda, yani China kaanza kuiunda Type 003 kaimaliza ila Urusi hajamaliza ukarabati. Alafu watu wanakuja hapa wanadai eti Russia hapendi carriers
Mkuu uko vizuri sana kwenye kufariji penye uzuni. HongeraHIMARS zinasumbua kwa zile GMRLS zake ambazo ni ghali sana. Ila kuna Caesar (France) na Pz2000 (Germany) self propelled howitzer zina accuracy ingawa range yake sio kubwa sana. Ingetokea Marekani ikapeleka Excalibur shells za kutosha basi zingesumbua sana.
Marekani anatoa intel kwa Ukraine. Build up, command centres, ammo depots, fortifications vikionekana Marekani inawaambia Ukraine na kukaa kimya. Usiku Urusi ina performance mbaya, Ukraine wanashambulia asubuhi unakutana na taarifa
Kati ya nilichosema kuna kitu nyeti chochote hapo. Hivi kuna unyeti gani hapa kusema Nimitz zipo 10 na bado kuna Ford class zinakuja na zote kwa pamoja ni nuclear poweredMkuu statistics nyeti Kama hizo huwezi wewe tu kuzijua kirahisi. Hakuna Nchi inayo disclose 100% ya mambo ya Military Power na Technology zao.
Hata hizo open records tunazojua kua US ni wa pili kwa wingi wa nuclear warheads baada ya Russia yaweza kuwa, fact empirical data ni zingine kabisa. Wao wanajuana na ndo maana hawa ingiliani kirahisi.
Waweza kuta Russia anamzidi kila kitu US kwenye ST ya vita na mbinu.
Tujitahidi kurejea statistics lakini kumbuka Propaganda ipo mpaka kwenye sensitive Military data.
Russia ni hatari sana Kivita.
Achana na US+NATO wana mambo ya sawa na mtu kujitungia paper, kisha ajisahihishe na ajizajie alama na kisha anataka umwamini [emoji16][emoji16]
Zimechakaza nini chenye impact kijeshi!! Au kuua mateka wa jeshi la Ukraine? Au Yale madaraja tunayoweza kuya restore??Siraha kama
Juveline apo mwanzo, na hizi HIMARS wala sio tegemeo za jeshi la marekani afu zimekiwasha kule balaa, yani ni kama Siraha ambazo Marekani kafungulia kwa kuwa sio tegemezi ila kwa Mrusi ni Jini lililoachiwa, na zinachakaza hatari
Leo hii ndo useme Urusi apigane na Marekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aya bna
Then tunaweza tambua kwamba Russia hawezi unda carrier na wala carrier sio sitting duck. Hizo ndio point za ubishi wote huuHakuna zana ya kisasa ya kivita ambayo haina maana (hata hizo aircraft carriers Zina maana kubwa tu). Pia tambua kwamba, kuna tofauti ya kimtazamo wa kijeshi wa nchi na nchi, na namna ulivyoli organise hilo jeshi lao.
Kila kitu kinafanyika kwenye optimal. Ukishaona jeshi lako limesha align na doctrine uliyoitengeneza, kunakuwa hakuna sababu ya kuendelea na overspending za jeshi.
Hivi zana za US+NATO zimekomboa mji gani uliokua unakaliwa na Russia huko Ukraine? Maana unasifia negative ufanisiHahaaaa hapo ndio Russia akili imemrudi kaogopa balaa, mpaka ikabidi akakae kikao maana hapo ndio utaona Marekani Teknolojia yake ipo juu na katoa kakifaa kadogo tu maana hataki wahuni waibe Teknolojia.
Between the line unaonesha kukata tamaaNyie jamaa humu mnachekesha sana,
Yani jf ukiwa unachart humu maisha ya humu ni tofauti kabisa na uhalisia,
Yani mfano ukiwa humu unachart kuhusu Tanzania unaweza zani Tz haina mwelekeo ukitoka nje mtaani maisha kama kawaida nilisha shindwa kuelewa nahisi jf ni away from planet Earth.
Hatimaye umekata tamaa kabisa😂Siku zote za maisha yangu nitakuwa upande wa Marekani sababu,