Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Then tunaweza tambua kwamba Russia hawezi unda carrier na wala carrier sio sitting duck. Hizo ndio point za ubishi wote huu
Labda umeamua kuwa mbishi au umeamua kutotaka kuelewa.

Kama Aircraft carriers haipo inline na doctrine yako, sasa unaitengeneza ya kazi gani. Pia, kutokuwa na aircraft carriers nyingi sio conclusion ya kusema kwamba "hawezi kuunda".

Ni technology gani ambayo Russia hana..
 
Medvedev hajapost hilo tukio mpaka sasa?😆😆😆
 
Kwa hiyo hizo HIMARS zimeludisha miji mingapi iliyo twaliwa na Russia??
 
Angekuwa kama kila Teknolojia anayo tayari angejua weakness ya HIMARS.

Halafu pia vifaru vyake kukung'utwa na NLAW na Javelin hiyo pia ni kuonesha mwenzake anamjua vizuri.

Ule msafara 45km uko wapi...!?
Au warirudi kimya kimya.

Mpaka sasa vifaru Russia kuanzia T70-T80
Vimebaki majivu.
 
Bado mpo snake island mkuu,
Hapo Kherson asilimia 60 tayari imechukuliwa.
Mkuu kabisa unataka kunifanyia u-Mandonga!! Et snake Island ulitutoa wewe kwa HIMARS au mipango yetu tu??[emoji16][emoji16]

Tume waruhusu musafirishe chakula msije kufa njaa. Lakini huko mbele mtajasema ni HIMARS!![emoji16][emoji16]
 
Ndiye huyu Jane Goodall mwanzilishi wa utafiti wa sokwe Gombe national park?
 
Je ukrean wanasemaje kuhusu vita Leo hii


‼️ 🇺🇦 The main thing from the summary of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine:

In the Kharkiv direction, the Armed Forces of the Russian Federation fired from tanks, barrel and rocket artillery at a number of positions of the Armed Forces of Ukraine.
In the Slavyansk direction, the Russian army inflicted a fiery defeat,
in the Kramatorsk direction, they fired from barrel, rocket artillery and tanks. Airstrikes were launched.
Attacks were also recorded in the Bakhmut direction. The Russian military is conducting assault operations in the direction of the Vershiny and Soledar. They are attacking in the direction of Artemovsk.
In the Avdiivka direction — shelling and assault actions in the direction of Peskiy.
On Novopavlovsky, Zaporizhia and Yuzhnobuzhsky directions — shelling and airstrikes. The Russian troops conducted a reconnaissance in the direction of Maryinka. There is a regrouping of Russian troops in the Zaporozhye direction.
There is an increase in the grouping of Russian troops in e Krivoy Rog direction.
 
Hilo dude ukiwa na makombora ya ballistic sio tishio kwako hata Iraq kwa kutumia makombora ya scud wanaweza kulisambara tisha
 
Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kulipua HIMARS Rocket Launchers 2 za Ukraine walizopewa na Marekani katika eneo la Energy Machines Plan lililopo Kharkov.

Wanasema wanajeshi 53 wa Ukraine pamoja na wale wa nchi nyingine wame uwawa kwenye tukio hilo.

Tuna subiri ushahidi wa video kama kawaida ya Wizara ya Ulinzi huwa inatoa kuthibitisha tukio hilo.
 
Hilo dude ukiwa na makombora ya ballistic sio tishio kwako hata Iraq kwa kutumia makombora ya scud wanaweza kulisambara tisha

Kweli kabisa.

Silaha ni impact yake kwa wakati uliopo(sasa ivi s300-s550) zimeomenya matokeo chanya au matokeo tarajiwa.

Kwa nchi zilizoendelea au zenye technology kubwa zitaunda silaha za kuichalenje s550 kivip mimi sijui.
 
maajabu ya dunia aya zelensk mwenyew anasema kwa siku wanakufa wanajeshi wake zaid ya 150 alafu uyo uyo mtu anayepigwa eti anapata na muda wa kuesabu athari alizopata anayembonda[emoji1787][emoji1787] Pro nato inabid mkapimwe mkojo siyo bure kuna sehemu kwenye vichwa vyenu umeme aufiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…