China kuichukua Taiwan ni easy, maana ni ndogo na ni kisiwa, Ata kutuma silaha zinaonekana na wachinaView attachment 2311283
On the eve of the 95th anniversary of the army and against the backdrop of rising tensions in the Taiwan Strait, China released (at the 9th second of the video) footage of the launch of a missile similar to the hypersonic "aircraft carrier killer" Dongfeng-17.
According to experts, if the video really shows the DF-17, which China first demonstrated at a military parade on October 1, 2019 in Beijing (pictured by RIA Novosti), then these are the first shots of live firing with its use.
Chinese military analysts note that the ability to launch from a highway shows that it does not require a pre-prepared position - which makes the missile very flexible, extremely difficult to detect and hit before launch, and after - almost impossible, given the unpredictable trajectory and speed of more than 5 Makhov.
Hizo silaha za US sio za sikuizi, Russia ndo anatumia siraha za kisasa, sema nazo ni chache ndo maana anatumia za kizamani, ni kama Su 57 zipo nne
Ata hizo HIMARS ni za zamani, na najua ulikuwa huzijui kabla ya hii vita
Ukitaja Siraha za US huwez kutaja hizo zilizopo Ukraine, HIMARS ana kaka zake ambao Range zao ni kubwa sana, ila Marekani kagoma kuzipeleka,
Apo mnagombana na mtu anaesaidiwa na anapewa tujisilaha twa zamani ambazo zina modification tu na apoapo wanajeshi wake wana limited training
Sa mkigombana na za kisasa, maana apo Ukraine advantage zote Russia anazo na kila mtu dunia nzima alijua ndo hvyo Ukraine imeanguka, sa leo ni mwezi wa 6 na furaha yenu ni kupigana kwa propaganda, Yaani Superpower anagombana na kinchi kidogo Jiran kwa Propaganda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zile Meli, zile S 400, zile ndege jeshi na milipuko ya kutisha iko wapi sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iskander iko wapi sasa[emoji23][emoji23][emoji23], Themobarric, Vaccum bombs hazisaidii
Tulitegemea ndani ya wiki Ukraine iwe ishageuzwa na kuchukulia, ila leo mnagombana mitandaoni sijui mmeziharibu Howtizers[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunahitaji Balance duniani ila Russia kakosea sana, tena ye ndo kavamia kibaya
Za ndani kabisa,jamaa wameshtukiwa kuwa hiyo agency ni kichaka cha majasus na huwa wanauza taarifa kwa wamagharib.Putin amewatolea nje wajumbe wa Israel walioenda kulialia kwake Urusi....Mshua Putin hataki kuvuna mabua hivyo ameamua kutowachekea kima
View attachment 2311231
Atapiga US ila hilo pigo litakuwa na impact yoyote!???
Wenzako wanaona kutungua bomb ni kama kutungua Ndege, angalia Irone dome ya israel inavyofanya kazi ndo utajua vita ya sikuizi sio unayodhani
Haya maelezo mengi hayana maana, ungesema tu Russia ni defensive na USA ni offensive.Hiyo speech ya Putin I think ni ya New Year 2019. Nikumbushe ni lini alitangaza Poseidon wakaonesha na CGI yake na Burevertsnik ikazungumziwa. Russia docktline yake anajua hana ubavu wa kumfuata Marekani kumpigia kwake. Wala Marekani hajawahi ota kupigana na nchi yeyote ile kuanzia mainland kwake. Marekani ana bases zaidi ya 50 duniani kwa sababu hiyo, ana dedicated 82nd Airborne Division kwa ajili ya rapid development popote pale duniani. Ana tactical airlifters za AMC na mambo mengi kuhakikisha hapiganii vita kwake.
Russia ni kinyume kwa kuwa docktline yake vs USA sanasana ni kupigania nyumbani. Anapanga defensive warfare ambayo anaamini kwenye largest landmass kulinda inland. Ndio maana wakati Marekani ana stealth jets aina tatu tofauti zikiwa ni mamia, Russia anayo aina moja ambayo hata units 20 haina. Marekani ana ndege nyingi 4th, 4.5, 5th gen. na bombers nyingi wakati Russia ana chache. Russia inacompensate hilo kwa kuwa na air defence systems nyingi na aina tofauti zikiwa layered, wakati Marekani ana air defence systems chache. Russia hana haja na carriers ila bado hana uwezo kuzitengeneza, na hili haliondoi umuhimu wa carriers
Iron Dome inapata kiki kwa kuwa ndio hutumika sana kwa level za vikundi kama Hezbollah na Hamas. Wala hata sio most advanced air defence system in Israel, huo ndio mfumo wao wa kupigana na maroketi ya wanyonge.Hiyo mifumo hufanya kazi kama Iron dome ?
hyo moja tu ingekuwepo uko ingewaokoa warusi kutoka kwa HIMARSIrome dome ina maajabu gani? Unajua inakamata nafas ya ngapi?
Nafasi ya ngapi according to who!????Irome dome ina maajabu gani? Unajua inakamata nafas ya ngapi?
Ndiyoo maana nakuitaga mpiga buluji maelezo mengi ili kufananisha mifumo ya mataifa tofauti ilingane kitu ambacho hakiwezekani Marekani yye kuwa na carriers ni muhimu kwake sababu ya geographical ya eneo lake lilivyo pwani ya bahari ni kubwa kuliko WA Rusia na siyo WA kugandisha barafu kama eneo la Rusia sehemu iliyo salama Kwa Rusia ni creamia na ndyo maana alipawai baada ya Ukrein kuanza kujitoa mikononi mwake ata kwenye mapigano Rusia hayuko vizuri kwenye vita vya majini kama UK au Spain au Us ata vita ya japani na Rusia alipigwa Kwa sababu izo izo ndyo maana hajawai kujiona Bora kwenye vita ivyoo ata silaha zake mpya na za kisasa ni makombora mswala ya anga na vita vya ardhini vita vyake vyote amepigana ardhini na angani sababu eneo lake kubwa halijazungukwa na majiMarekani ilipoteza carriers 12 kwenye WW2. Huwezi acha kutengeneza silaha fulani kisa itashambuliwa, mbona Russia iliipoteza Kursk nuclear submarine mwaka 2000 na kuua wote zaidi ya 100 ila Russia haijaachana na subs.
Carriers zitaendelea kuwepo maana mifumo ya ulinzi ipo. Kwanza hazihitaji kukaribia, carrier battle group inaweza kaa 1000 away na ikaestablish naval blockade kwako. Zinakuja kuleta air dominance, sasa kwanini Russia asiachane nayo ile yake kama haina maana. Maintenance ya nini na kitu hakihutajiki
Bado kuna Kosovo kule kikosi cha NATO kimetoa tamko dhidi ya chokochoko za SerbiaSasa dunia inaelekeza macho Taiwan tukija kurudi Ukraine tutakuta imebaki robo tu.
Nan kasema Urusi ana mifumo ya kujilinda best, according to who!!??Haya maelezo mengi hayana maana, ungesema tu Russia ni defensive na USA ni offensive.
Ndio maana Urusi ana best mifumo ya kulinda anga kama S300, S400, S500, S550 na huku Wazee wa ugasho Wana Aircraft carrier aka Kambi katoto
Wakati huo Russia bajeti yake ya jeshi zima haifiki $70 billion. Nchi ambayo tangu carrier yao chovu waiweke dockyard kuifanyia marekebisho 2018 hadi leo ipo inasubiri ndio ipate hela ya kujenga carrier. Wakati Wachina ndani ya muda huohuo wamejenga Type 003 na kuizindua mwishoni mwa mwezi janaCarrier moja inacost $10b, na apo uwe na technologia, bila technologia ni kupoteza hela
Snake island ina faida gani Rusia aliona hakuna chochote pale zaidi ya kuviweka vikosi vyake hatarini ni kama vile unaleta mabishano ya watoto Kiev walirudi nyuma ili mazungumzo ya Amani yaendelee maana sharti moja wapo ni vikosi vya Rusia vitoke mbali na eneo la Kiev ili kufanya mazungumzo ya aman yaendelee Ila pro NATO mnakuja kujisifu uku kuwa Rusia alifurushwa Leo la Kwanza la Rusia ni kuchukua jimbo la donbase Ayo mengine yalikuwa kunogesha Sherehe tuScott Ritter huwa namsoma. Hayo ni maoni yake na nayaheshimuz HIMARS ni silaha mojawapo kati ya silaha tofauti. Sio pekee inayotumika kupigana, haiwezi kushinda vita hiyo tu. Basi Russia ishinde maana Western weapons hazibadili kitu. Hii misafara ilikuwaje kama Western advanced weapons hazibadili kituView attachment 2311041 Safari ya Kyiv iliishia wapi. Occupation of Snake island iliishia wapi. HIMARS won't change anything on their ownView attachment 2311052
Naam ndie yeyeNdiye huyu Jane Goodall mwanzilishi wa utafiti wa sokwe Gombe national park?
Vikosi vyake vilikuwa hatarini maana hana mifumo mizuri ya ulinzi, ata hayo madude ma s400 au s500 hayana uwezo tunaoaminishwa, otherwise yangewalindaSnake island ina faida gani Rusia aliona hakuna chochote pale zaidi ya kuviweka vikosi vyake hatarini ni kama vile unaleta mabishano ya watoto Kiev walirudi nyuma ili mazungumzo ya Amani yaendelee maana sharti moja wapo ni vikosi vya Rusia vitoke mbali na eneo la Kiev ili kufanya mazungumzo ya aman yaendelee Ila pro NATO mnakuja kujisifu uku kuwa Rusia alifurushwa Leo la Kwanza la Rusia ni kuchukua jimbo la donbase Ayo mengine yalikuwa kunogesha Sherehe tu
Huu ndio mwandiko wako au you was writing under pressure?Ndiyoo maana nakuitaga mpiga buluji maelezo mengi ili kufananisha mifumo ya mataifa tofauti ilingane kitu ambacho hakiwezekani Marekani yye kuwa na carriers ni muhimu kwake sababu ya geographical ya eneo lake lilivyo pwani ya bahari ni kubwa kuliko WA Rusia na siyo WA kugandisha barafu kama eneo la Rusia sehemu iliyo salama Kwa Rusia ni creamia na ndyo maana alipawai baada ya Ukrein kuanza kujitoa mikononi mwake ata kwenye mapigano Rusia hayuko vizuri kwenye vita vya majini kama UK au Spain au Us ata vita ya japani na Rusia alipigwa Kwa sababu izo izo ndyo maana hajawai kujiona Bora kwenye vita ivyoo ata silaha zake mpya na za kisasa ni makombora mswala ya anga na vita vya ardhini vita vyake vyote amepigana ardhini na angani sababu eneo lake kubwa halijazungukwa na maji