Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Which ultimatums,specify them as l have done!
 
Aegis ina kazi tofauti kidogo na Iron Dome, the first inalinda meli the later inalinda ardhi. Aegis ndio complicated zaidi
Dah!.. teknolojia kubwa Sana na ghali hii.

Ukitoa US, NATO na Japan kuna nchi zina teknolojia mbadala au shindani ya hii?
 
Kuna watu hapa ukiwasikia wanavyo izungumzia United "Shit" of America akilini unaweza fikiri ni a country from another planet, the Superior of all by very far... Kwamba untouchable kwa kila kitu.

Lakini huwezi amini ndio hao hao walio tumia dolla trillion 8 kwa miaka 20 kuondoa "watalebani" kuweka "watalebani" pale Afghanistan kwa wazee wa makobazi.

Vile na "taizi" zao huwezi amini kama huwa wanapewa lift anga za juu 😂.

Mara ooh budget ya Uncle Sam kubwa kuliko wote, mara sijui nyambizi hii imeenda ikarudi he he he!

Helloooo wamarekani wa manzese, there z no room for propaganda kwenye aw modern world. We know each and everything mazee. Ile picha ya "Simba wa Nyika" ishakojolewa imeharibika. Rudini studio mkachore nyingine. Naona ka mnajichoresha hiviiii 🤔.
 
Cjawah kuona kichwaa maji kama hii mtu inaitwaa t14..yaan ni maji maji...
 
Serbia inamtishia Kosovo ambayo ni breakaway region. Kosovo kuna vikosi vya NATO na Serbia somehow Rais wao ni pro Russia ingawa raia wanaipenda EU zaidi. Nchi zote former Yugoslavia na former USSR zinauadui au urafiki wa mashaka
Mkuu huwa unaniharibia sana siku kwa comment zako...yaan unakera ile mbaya....sasa unavyosema raia wa serbia wanakubali eu...ww uliingia mioyoni mwao? Ulikusanya sample ngapi ukajua...kuna mijitu ni mipuuz mno..had keroo
 
Mkuu huwa unaniharibia sana siku kwa comment zako...yaan unakera ile mbaya....sasa unavyosema raia wa serbia wanakubali eu...ww uliingia mioyoni mwao? Ulikusanya sample ngapi ukajua...kuna mijitu ni mipuuz mno..had keroo
Hawa wa Serbia si ndio huandamana kuwaunga mkono Warusi kiwaziwazi.

Tena wanasema wao ni brother nation na Urusi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
🇮🇷⚡Iran Promises to create nuclear warheads and warns that it has the ability to turn New York into "hellish ruins".

The Islamic Revolutionary Guards Corps released a statement promising to quickly begin production of nuclear bombs if "the American or Zionist regime makes any stupid mistakes."
 
Taratiiibu watu wanaachia wenyewe na kula matapishi yao

🇷🇺🇬🇧The UK has eased anti-Russian sanctions in the field of aviation insurance.

According to the document, it will now be possible to insure counterparties associated with Russia.

For example, companies that purchase aircraft engines and their components.

The easing of restrictions does not affect military goods and technologies.

Subscribe to @Sputnik
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 

North Korea ni nchi ambayo mambo yao mengi wanafanya kwa siri siri kitu ambacho hata NATO wana struggle kupata info zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…