T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Why now?Serbia inamtishia Kosovo ambayo ni breakaway region. Kosovo kuna vikosi vya NATO na Serbia somehow Rais wao ni pro Russia ingawa raia wanaipenda EU zaidi. Nchi zote former Yugoslavia na former USSR zinauadui au urafiki wa mashaka
Hii ya wa Africa kwenda kuchukua nchi zao ki tachtical inaitwaje hii?Wakishindwa kujitawala no way out sie Waafrika tutapaswa kwenda kuchukua nchi zao hadi amani irejee.
East Africa ianze kuandaa jeshi kwenda kulinda amani Ulaya na Taiwan
TACTICAL INTERPOSITION. Kwa wale ambao wanaweza kupata utata kidogo, hii ina tofauti fulani na TACTICAL INTERVENTION ambapo ni mbinu ya mapebari kutumia kisingizio cha instability (ambayo pengine waliipandikiza wenyewe) kwenye nchi fulani maskini ili kujipenyeza, kuidumaza kisiasa, na kunyonya rasilimali zake.Hii ya wa Africa kwenda kuchukua nchi zao ki tachtical inaitwaje hii?
Hizi jitihada za Marekani kujisafisha aibu yake kuhusu Russia hadi ziishe zitai-cost sana dunia. Sasa hivi JB anapokea ushauri wa kila aina tu ilimradi ku-boost mood ya Marekani na kujisafisha fedheha plus kuondoa mawazo ya raia wake kwenye internal problems.Marekani imefanya shambulizi mjini Kabul, Afghanistan. Mojawapo ya waliokufa ni kijana wa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Taliban na mkwe wa Waziri huyo.
Ni fujo tu duniani kwa sasa
Secret services wakimpeleka Pelosi nitaona ni ujinga koz hawawezi kujihakikishia usalama koz swepers wao siyo wengi ndani ya Taipei.View attachment 2311705
[emoji779]️Bomb Threats Received at Taipei’s Taiyuan International Airport
Local media reports that authorities received a tipoff that three explosive devices have been allegedly placed at the airport.
That comes as US House Speaker Nancy Pelosi is scheduled to visit Taiwan Tuesday, though she will arrive at another airport.
Alishajijibu huyo " Urusi ana Air Defense System nyingi kuliko USA sio kwamba USA hana uwezo wa kutengeneza ".... Ila mapenzi yanampofua.... waswahili wanasema KIMFAACHO MTU CHAKE... Sioni umuhimu wa Carriers nimejikita kwenye Air Defense wewe unayeona Air Defense sio muhimu kwako jikite na maKARAI Pooh sorry MaKRIA...mchezo uishie Hapo.... Kila nchi inafanya lile Bora Kwa nchi yake....Labda umeamua kuwa mbishi au umeamua kutotaka kuelewa.
Kama Aircraft carriers haipo inline na doctrine yako, sasa unaitengeneza ya kazi gani. Pia, kutokuwa na aircraft carriers nyingi sio conclusion ya kusema kwamba "hawezi kuunda".
Ni technology gani ambayo Russia hana..
Ukishaona nchi inatumia misamiati complex kama hizi, basi jua kwamba kiwango cha mahaba yao kiko almost kileleni. Tell me anything and I'll be happy, they say!Mwenye uelewa na hili wakuu atusaidie kudadavua nini maana ya "stronger union than a federation"
Jesus Mlokozi ,Bwana Utam ,T14 Armata 🇷🇺🇷🇺🇷🇺👇👇
Nk
Russia and Belarus Could Become Closer – Lukashenko
The nations could form a union stronger than a federation or confederation without losing their sovereignty, Belarusian President Alexander Lukashenko said Monday.
As reported by local media outlets, the Belarusian leader noted that his country’s sovereignty and independence were “a constant.”
Lukashenko went on to say that “by preserving the independence of Russia and Belarus, we will build such a union that both federal and confederate states, and, perhaps, even unitary states will be envious of.” He added that, “We are quite smart people. The Russian president is an absolutely reasonable person and understands in which direction we should move.”
Subscribe to RT
Ugomvi wao kwa miaka ya hivi karibuni hata mwaka juzi huwa inaletwa na number plate za magari. Wale watu wana ethnic problems, wenye asili ya Serbia wanaoishi Kosovo mpakani na Serbia huwa hawajiamini kwahiyo hawasajili magari yao kwa namba za Kosovo bali za asili yao wakiofia muda wowote hali ikichafuka warudi asili yao na wavuke haraka mpakani. Kosovo haipendi watu wanaoishi kwake wasajili magari kwa namba za Serbia, ila Serbia inaona ndio wanaweza kutambuliwa kirahisi. Kosovo ikikazana kuzuia number plate au kulazimisha usajili ndio hutokea fujo mpakani.Why now?
This is what grinds my head.
OK turudi kwenye game ,ngapingapi JESUS mulokosUgomvi wao kwa miaka ya hivi karibuni hata mwaka juzi huwa inaletwa na number plate za magari. Wale watu wana ethnic problems, wenye asili ya Serbia wanaoishi Kosovo mpakani na Serbia huwa hawajiamini kwahiyo hawasajili magari yao kwa namba za Kosovo bali za asili yao wakiofia muda wowote hali ikichafuka warudi asili yao na wavuke haraka mpakani. Kosovo haipendi watu wanaoishi kwake wasajili magari kwa namba za Serbia, ila Serbia inaona ndio wanaweza kutambuliwa kirahisi. Kosovo ikikazana kuzuia number plate au kulazimisha usajili ndio hutokea fujo mpakani.
Likeness ya vita haipo. Ila kukitokea mataifa makubwa duniani yana mgogoro, mataifa madogo yenye visasi hupata upenyo
Kama walikua hawajamaliza kilo wapeleka kule c wangebakiaMarekani imefanya shambulizi mjini Kabul, Afghanistan. Mojawapo ya waliokufa ni kijana wa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Taliban na mkwe wa Waziri huyo.
Ni fujo tu duniani kwa sasa
NATO kwa Matangazo. Hakika mmejipanga vizuri. Yaani hata Manati inaweza kupambwa hadi kikosi cha adui kikakimbiaDah!.. teknolojia kubwa Sana na ghali hii.
Ukitoa US, NATO na Japan kuna nchi zina teknolojia mbadala au shindani ya hii?
[emoji779]️Chinese Foreign Ministry Reaffirms Beijing Will Respond with Serious Measures Should Nancy Pelosi Visit Taiwan
That’s as Chinese media has published footage of recent PLA military exercises and media reports all flights have been canceled in the region.
Video uploaded to social media also purports to show Chinese military equipment and troops being deployed to the beaches of the Fujian province.
Subscribe to RT
MKUU sijui kwawenzangu wanaweza wakajua ila binafsi sijui juu ya hiloMwenye uelewa na hili wakuu atusaidie kudadavua nini maana ya "stronger union than a federation"
Jesus Mlokozi ,Bwana Utam ,T14 Armata [emoji635][emoji635][emoji635][emoji116][emoji116]
Nk
Russia and Belarus Could Become Closer – Lukashenko
The nations could form a union stronger than a federation or confederation without losing their sovereignty, Belarusian President Alexander Lukashenko said Monday.
As reported by local media outlets, the Belarusian leader noted that his country’s sovereignty and independence were “a constant.”
Lukashenko went on to say that “by preserving the independence of Russia and Belarus, we will build such a union that both federal and confederate states, and, perhaps, even unitary states will be envious of.” He added that, “We are quite smart people. The Russian president is an absolutely reasonable person and understands in which direction we should move.”
Subscribe to RT
Nakubali mkuuMKUU hata IRAN haina udhaifu wakupigwa na KARIA yaani taifa la IRAN linapigika sawa ila sio kwa KARIA
KARIA upelekee LIBYA huko na SYRIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kherson 60%?Bado mpo snake island mkuu,
Hapo Kherson asilimia 60 tayari imechukuliwa.
Pengine usichokijua mkuu Ni Kwamba Hakuna mfumo ulio na usahihi kwa asilimia 100 dhidi ya makombora au ndege Vita.Vikosi vyake vilikuwa hatarini maana hana mifumo mizuri ya ulinzi, ata hayo madude ma s400 au s500 hayana uwezo tunaoaminishwa, otherwise yangewalinda