Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
I second you....All this drama, all this money wasted, for something no doubt they could have achieved with a simple video call.
Blatant provocation, poking the bear and risking a 3rd world war. This administration is the biggest disgrace in US history and anyone who disagrees is an utter moron.
Mm humu nina Id 60 kwa uchache ni hiziUjue kujua Id ya mtu yuleyule sema ni majina tofauti ni kazi ndogo sanaa kuna floo ya maandishi,kuna hisia zinakua sawa,kuna matumizi ya neno flani,kuna aina za rangi ata aweke profile picture gani ila ni lazima rangi flani itamalaki mfano blue(mr.blue[emoji23][emoji23][emoji23])
Kupitia huu uzi nikajua matumizi ya ignore [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikomaliaga id ziunganishwe kumbe hiyo fashen imepitwa na wakati coz watu wengi wana misafara ya ID.
We ukigundua piga nyundo tuu.
#usinyanyue kidole walii badoo hajastaafu[emoji23][emoji23][emoji23](nyundo)
Hapana mkuu pelosi akiondoka China inachukua hicho kisiwaDah sitaki kuamini kama China nae mdebwedo kiasi hiki. Anachofanyiwa sasa ni sawa na Muhuni kuja kumtafuna mwanao nyumbani kwako halaf usimfanye kitu. China katuangusha kifala sana! A p**y paper tiger!