Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tusiwe wabishi wa kidwanzi Kama vile wanavyokuaga Wana-NATO,ukweli China Leo kapigwa middle finger mchana kweupeee.Hakuna Cha kujifariji kwny Hilo.
Kiukweli mchina kama kakosea hesabu, alitakiwa akinikishe kipindi pelosi kageuza ndege yaani, yaani ilitakiwa asije kabisa Kwa sababu ya Vita au uchina ingekaa kimya halafu akitoa mguu anaingiza yeye
 
China wamebaki na misemo yao ya kihenga na kiuhakika wanayo mengi.

China imeshadharaulika, inaonesha si mshirika wa kumwamini hususani ushirika wa kijeshi.

UK ilipojaribu kuvuka mipaka ya bahari na kujaribu kuingia Russia kilichofanyika Russia alipiga risasi za onyo kuonyesha ukithubutu tunafyatua kitu kamili.

Jeshi la Marekani lilipojaribu na merkebu yao kuingia mipaka ya Iran, jeshi la Iran liliwadhibiti na kuwaweka mateka.

Russia ilipoivamia Georgia makamanda wa NATO wakasema wanampa Russia juma moja! Russia ikajibu tunawasubiri. NATO haikuthubutu!

Kipindi cha Obama Marekani iliingia kwenye mgogoro mkubwa na North Korea. Kim akafunga balozi zote nchini mwake na kutangaza anajiandaa na vita na yupo tayari kwa lolote. Akasema ndani ya dakika 30 vita ameshaimaliza. UK iliingilia kati na kutaka huu mgogoro umalizwe kidipolmasia.

China huo ubavu hana! Ubavu huo alikuwa nao Mao ze Dong.
 
Hapana MKUU hazifiki hata 5% kachukua sijui % ngapi Elensky anajua
Kama us hana faida aliongea na lavrov akawaokoe raia wao waliokamatwa pale kwamabadilishano kisa nn hao ndio waliokamatwa mnaowajua ambao hamuwajui watajua wenyewe wakifa
us anapeleka misaada yakazi gani kama ukraine ikianguka hafaidi
Hii SMO lazma watu wafe ili malengo yafikiwe na yanafikie kwausahihi mkubwa sanaaa
Kama mnataka watu wapigane halaf wasife pole
Pia lazma wa RUSSIA wafe ili kuhakikisha taifa lao linakua salama
Nyie kaeni hivyo hivyo muogope kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uchina hawana akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akigusa nchi ya NATO hata kwa inch moja, ndio ataona NATO iko vipi.. pia si aliahidi kufanya hivyo vipi kafanya?

Mpaka sasa US kapoteza wanajeshi wangapi ukraine?[emoji3] Sijui hata Kama yupo

Na Russia kapoteza wangapi? Sasa nani anachakazwa!
Shida yake ukraine naanaiadabisha kama muonavyo
NATO wapeleke wagambo wao kama walivyofanya LIBYA na kule SYRIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akigusa nchi ya NATO hata kwa inch moja, ndio ataona NATO iko vipi.. pia si aliahidi kufanya hivyo vipi kafanya?

Mpaka sasa US kapoteza wanajeshi wangapi ukraine?[emoji3] Sijui hata Kama yupo

Na Russia kapoteza wangapi? Sasa nani anachakazwa!
Shida yake ukraine naanaiadabisha kama muonavyo
NATO wapeleke wagambo wao kama walivyofanya LIBYA na kule SYRIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida alikua na mbwembwe sana jamaa khaa
Pua uchina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Never kujitangazia . hilo ni tangazo la vita. China asapoti Russia . US anataka kuidisturb China auwe ishu ya BRICS
Siyo hilo tu maana mteja mkubwa wa gas ya urusi ni uchina marekani anaona Kama mchina atakuwa vitani na kuhakikisha uchina anaingia damage kubwa basi atapunguza uwezo wa China kununua gas na bidhaa za urusi na Kwa namna moja au nyingine anakuwa amefanikiwa kumdhoofisha urusi
 
Sasa fujo zote 20% plus hv karibun hakuna hatua kubwa waliopiga.

Madhara kwa russia kwenye hiyo vita haiwezi kuwa sawa na US. Na ukiona Vita imedumu kwa muda mrefu jua anaepigana anazidi kupoteza nguvu ya kijeshi.

Ndio maana Russia alkuwa analia Ukraine isipewe misaada
 
πŸ˜„πŸ˜„ Kule hawawezi wakasogeza pua,afu yule kadrov alipost kwamba Leo ndio dunia itajua Ni Nani gani super power Kati ya China vs US ukiwato wao Russia.

Nadhani atakua amepata jibu πŸ˜„πŸ˜„
Kaposti nyingine 🀣🀣🀣🀣🀣🀣


"Well, why was it so much to catch up with horrors, scare people, raise a fuss when it was so easy to let the poor old woman fly to Taiwan? β€” Kadyrov.

PATRON - Subscribe
Backup channel - Subscribe
 
Ndio c waona SMO imeisha
Miezi sita mingi
RUSSIA anaipigania SYRIA mwaka wangapi huu jiulize mwenyewe
Endeleeni kujifariji kama RUSSIA anaumia wakat ukweli tunauona sirikali hapo EU zinavyodondoka sababu ya SMO inayoendelea
UKRAINE anapigwa kimahesabu utajua karibuni
Ulitaka awaambie wapeleke silaha nyie vijana muko nashida ipi!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…